Sitasahau Special Thread

Siwezi kusahau siku ambayo nimechukua gari langu bandarini,wakati naelekea nyumbani nikamgonga mtu.It was a day fixed with different emotions!!
 
:shock: ikawaje tena mayenga pole sana

Ahsante,nilienda polisi kutoa taarifa,nikapewa PF3 tukaenda hospitali nikagharamia matibabu yake,Mungu ni mwema after some days,akawa amepona.Nilimaliza siku kadhaa bila kugusa gari because of illussions!
 
My mum left me when I was 6 yrs, and frm then I didnt see her until I was 18, alipokuja hm kwa kuumwa na cha kushangaza aliumwa kdg tu na kufa huku nikimshuhudia tn tukiwa pekee tu wawili ni kama alikuja kuniaga ktk siku zake za mwisho. Cant ever 4get coz nililelewa bila mama na baba mzazi. Can u imagine wat I miss? May Allah 4give her na amlaze mahali pema. Its 16 years nw.
 
Sintosahau nilipopata matokeo mazuri second yr engineering, 2002. Kwani wakati tunaanza tu final exams nilifiwa na kakangu mpendwa ambaye ndie alikuwa nguzo yangu
 
Sintosahau nilipobikiliwa na mdada aliyenizi umri,aloo wakati nakitupa si nikatoa ukelele mpaka majirani wakasikia,alafu wakaja kukaa kwa nje ili waone anayetoka ni nani ilikuwa bonge la noma.
 
Ha ha ha ha, vitoto lazima vikuumbue

Sintosahau nilipobikiliwa na mdada aliyenizi umri,aloo wakati nakitupa si nikatoa ukelele mpaka majirani wakasikia,alafu wakaja kukaa kwa nje ili waone anayetoka ni nani ilikuwa bonge la noma.
 
Siwezi sahau nlikaa SIKU TATU bila kufunga jicho,nlikuwa na usingizi kiasi nilitaka anguka njiani nkitembea. nlikuwa namuuguza mgonjwa KCMC.Na bado alifariki. ya Mungu mengi.
 
Nikiwa o-level mwalimu alitoa home work. Mimi baada ya kuipitia ile h/w niligundua maswali yote kuwa marahisi na majibu yake nilikuwa nayo hivyo nikaamua kutofanya ile h/w. Asubuhi yake mwalimu aliniuliza kwa nini sikufanya h/m. Nilimjibu kuwa maswali yote niliona marahisi na hivyo sikuona umuhimu wa kufanya h/m labda niulize nikujibu. Alinipiga vibaya.
 
My mum left me when I was 6 yrs, and frm then I didnt see her until I was 18, alipokuja hm kwa kuumwa na cha kushangaza aliumwa kdg tu na kufa huku nikimshuhudia tn tukiwa pekee tu wawili ni kama alikuja kuniaga ktk siku zake za mwisho. Cant ever 4get coz nililelewa bila mama na baba mzazi. Can u imagine wat I miss? May Allah 4give her na amlaze mahali pema. Its 16 years nw.

pole sana mpendwa pole sana kwani hili janga lilikutokea ukiwa mdogo sana,
Mungu ataendelea kukupa ujasiri
 
Nikiwa o-level mwalimu alitoa home work. Mimi baada ya kuipitia ile h/w niligundua maswali yote kuwa marahisi na majibu yake nilikuwa nayo hivyo nikaamua kutofanya ile h/w. Asubuhi yake mwalimu aliniuliza kwa nini sikufanya h/m. Nilimjibu kuwa maswali yote niliona marahisi na hivyo sikuona umuhimu wa kufanya h/m labda niulize nikujibu. Alinipiga vibaya.

wewe ulikuwa na matatizo Sunshow hata kama uliyajua ulikosea kutokuyafanya!
 
Siwezi sahau nlikaa SIKU TATU bila kufunga jicho,nlikuwa na usingizi kiasi nilitaka anguka njiani nkitembea. nlikuwa namuuguza mgonjwa KCMC.Na bado alifariki. ya Mungu mengi.

pole sana Valid statement kweli hii ni mitihani ya maisha..
 
Mie ninayo mengi ya kukumbuka lakini haya ndo yalikuwa funga kazi kwangu..

Nikiwa nasoma chuo jpili moja tuko na wenzangu tunaenda church mara bonge la mvua likamwagika ,tukakimbia nyumba ya jirani kujikinga ,,broda mmoja akatuita ingieni ndani kina dada najua nyie ni wanafunzi ngoja niwaandalie menu kidogo,Tukajichana hao mvua ilipokatika tukaondoka zetu na kubeba menu nyingine kwenye Hotpot ya kaka wa watu.
Jnne ya week inayofatia tunarudisha hotpot jioni tunaambia huyu kaka Tony alifariki Jtatu mchana na wamesafirisha maiti moshi...uwiiiiiiiiiiiiii sitasahau .
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom