Sitasahau Special Thread

Yan siwezi sahau sku ambayo niliacha shule kwa ujauzito na aliyenipa alisepa aliniacha kwenye mataa bt nashukuru mungu mtoto amekuwa ananipa faraja

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hongera kwa kuweza kusurvive katika hyo hali
 
Nilikamatwa live shuleni niki_make love na kitoto cha 4m one nikiwa 4m 2,jamani balehe hii acheni kabisa! Nilisimamishwa masomo.Mambo yaliharibika pale mama alipojua uchafu huo,weeee...! Mwenzenu nakumbuka mbali,anyway,for he who will need to know more what happened afterthen,hasitate not to PM me!
 
Sir h. Nashukuru ndo mapito kaka yangu hayo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
sitasahau nkiwa std 3 kuna mtoto alkua mkubwa na mbabe kulko wote clas bt kichwan c k2 cku ticha akaulza sugar kwwa kiswahl n nn ananforce nmwambie c nkamdanganya n mchanga tcha akamchagua akajibu kwa cnfdnc mchangaaaaaaaaaaaaa wa2 woote cls kicheko ucnkumbushe machungu nlopata break tym

kwi kwi kwi kwi.
 
aaah mii sisaha Tambaza tulikuwa tunakojolea ukuta wa shule hadi ulipoanguka.. chezea KOJO la wanafunzi wewe? tulitembeza kichapo hadi kituo cha polisi Msimbazi kilifungwa. ungeniona mimi enzi hizo weeeeeee sasa kinachonikumbusha sana ni sikumoja tulimkamata konda wa daladala mitaa ya Polisi Ufundi, tulipiga hadi alijinyea. mii nashangaaga sana madenti wa siku hizi wanaonewa sana na makonda!!!!! sisi enzi zetu tulikuwa tunachagua basi la kupanda.. iwe Ekarusi, au madaladala maarufu ya Temeke enzi zile kama MV Mapenzi, Remember Bulongwa, Safari sound, Programs, White star, Harambee n.k.. Konda akinizuia tu basi tunamshusha kitakachofuata hapo ni balaaa... Chezea Tambaza wewe?
Tambaza ipi ya father K? kwa upande wangu daladala za route ya ubungo,kimara,mwenge makonda wanakonda akwa ajili yetu yaani ,ingekuwa sasa tungepata kesi ya ugaidi na utekaji nyarasa nikireflect siamini kama huko ndiko tulikotoka!
 
Tambaza ipi? Ya mushi 1993 na savimbi teacher wa chemistry. Enzi za kina puzza ---- 007, fungus, elison mahabusu aliyetabiri kifo chake. Hii itakuwa kipindi kile cha gemu ya mgulani na tambaza. Rest in peace konda.
 
Nakumbuka wakati tupo primary turiani primary. Kuna mshikaji alikuwa mtundu mpaka watundu walionekana si watundu kwake. Tulikuwa na ugomvi kwenye mechi, siku ya pili tupo mstarini wakati tunaimba mungu ibariki(wimbo wa taifa) imagine ule utulivu. Jamaa alikuwa nyuma yangu akawa ananitukana. Nilishindwa kuvumilia, tukaanza kuzichapa huku " mungu ibariki inaendelea". E bwana wimbo ulipoisha nakumbuk alikuwa mw. Gumbo yule. Akatupeleka ofisini. Kilichoendelea wewe acha .....
 
nlipokuwa form 3 cku ambayo nlijificha chini ya dawat ndan ya sket ya class mate wangu siku nliyokuwa natafutwa kama osama na ticha m1 katili, baada ya hapo mtoto akawa dem wangu bila hata kusema neno
 
Tukiwa std I tulikuwa tunafundishwa kuunganisha Herufi na Irabu ili kupata silabi. Siku moja mvulana mmoja akaulizwa na mwalimu "tutaunganisha nini na nini ili kupata Silabi" Yule mvulana akanyoosha mkono kwa ujasiri akajibu "tunaunganisha ugali na nyama" Darasa zima full kicheko.....
 
Habari wakuu!!

Basi katika maisha haya tunayopitia, kila mtu lazima ana kitu/tukio, liwe la furaha/aibu liliopata kutokea katika maisha yake, ambalo hatasahau!

Mimi binafsi sitasahau, kipindi hicho tulikuwa darasa la pili, siku hiyo nlichelewa shule sasa kuliwa na mwalimu mmoja hivi ni mzee alafu mnoko balaa! Yule ticha akaja darasani nikaitwa mbele ya darasa.

Nlitandikwa fimbo za nguvu kama tatu hivi, sasa ile kunyanyuka nikakae, nilijamba kwa nguvu balaa yan darasa zima walisikia, yaani hata sijui nlijiachiaje nikashindwa kubana. Wanafunzi darasni walicheka sana, kutwa nzima hapo shuleni stori ilikuwa hiyo tu!

Dah, nlijisikia aibu sana ukizingatia kipindi kile mwanafunzi wa darasa la pili tulikuwa wakubwa,,hicho kitu mpaka leo huwa sisahau!

Basi nawe tiririka sitasahau yako!!
 
Unanipa wasiwasi na michezo ya kimombasa
 
Mi sintosahau nikiwa mdogo siku nimepanga kutoa sadaka kanisani sh 10 nikajikuta nimetoa sh 200 ambayo ndo ilikua hela ya kulia maandazi nikitoka church...nimeenda kwenye maandazi najikuta na sh 10 sikuamini
 
Sinto msahau mwl jaalia,pale tumaini p/s,alikuwa hanipendi aisee,rip,ikla swali ni mimi na mastiki juu dah?!
 
Mi sintosahau nikiwa mdogo siku nimepanga kutoa sadaka kanisani sh 10 nikajikuta nimetoa sh 200 ambayo ndo ilikua hela ya kulia maandazi nikitoka church...nimeenda kwenye maandazi najikuta na sh 10 sikuamini

We jamaa kiboko
 
Tambaza ipi? Ya mushi 1993 na savimbi teacher wa chemistry. Enzi za kina puzza ---- 007, fungus, elison mahabusu aliyetabiri kifo chake. Hii itakuwa kipindi kile cha gemu ya mgulani na tambaza. Rest in peace konda.
Henzi za mushi nami umenikumbusha rafiki Yangu Mashaka chande T 1 Sijui yuko Wapi sasa enzi usiseme Tambaza bi balaa Konda akiona uniform anashuka mwenyewe.
 
Siku niliposikia wimbo mpya wa Dudubaya(mamba) huitwao "tumchore kwa jicho" sikuamini mwanamziki mkongwe wa bongo anaweza kuimba upuuzi akiwa kama kioo cha wasanii wachanga
 
sitosahau wakati nikiwa form one,shuleni kulikuwa na mto sasa nilikuwa pekeyangu jioni nanawa hapo baada ya kucheza mpira, nilipomaliza nikasogea pembeni,nyoka mkubwa sana alianguka pale nilipokuwa nimechuchumaa kutoka kwenye mti ulio kando ya mto.. nilikimbia kwa supersonic speed mpaka bwenini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom