hiyo ndio fimbo aliyobakiwa nayo dakitari,hana jinginehalamu mtu akisema rais ni dhaifu.....serikali daifu.... ccm dhaifu Ntolwa bungeni ndo wataanza kuelewa nini maana ya kauli ya mnyika sasa
Kuna tetesi kwamba mtoto wa mkulima kesho anaachia ngazi kwani tatizo la madaktari limekuwa gumu kwake na kwa kifupi limemshinda hivyo ni bora akaachia ngazi kwani mpaka sasa hawezi kubadili lolote na hivyo watanzania wataendelea kupoteza maisha asipofanya hivyo.
My take
Tusubiri kesho lakini mwishi Vipi?
Source-ya hii tetesi
Halafu tunasahau watanzania wanaanza kuelewa na wanaona haya mambo jinsi yanavyokwenda