Serikali Kutoa kauli Kuhusu Mgomo wa Madaktari kesho

Naunga mkono 200% ajiuzuru yule mnafiki mkubwa anajifanya mtoto wa mkulia kumbe ni kafisadi kakubwa haka!
 
sasa nimeipata kamili. HII INATISHA! hIVI wanadhani wanachofanya ni sahihi? Haya mambo mbona yalishapitwa na wakati?
KWA KWELI AJIUZULU HARAKA SANA.
 
Kauli aliyoitoa kwa bongo wataona ni kitu cha kawaida ingekua kwa wenzetu na yaliyotokea kwa Dr. tayari angekuwa sero
 
Kuna tetesi kwamba mtoto wa mkulima kesho anaachia ngazi kwani tatizo la madaktari limekuwa gumu kwake na kwa kifupi limemshinda hivyo ni bora akaachia ngazi kwani mpaka sasa hawezi kubadili lolote na hivyo watanzania wataendelea kupoteza maisha asipofanya hivyo.
My take
Tusubiri kesho lakini mwishi Vipi?
 
Bunge nalo ni hovyo sana. Nafikiri hawa wameongezewa posho, walitakiwa kukataa katika mazingira kama haya. Ahhh huuu ni upuuuuzi.
 
Kuna tetesi kwamba mtoto wa mkulima kesho anaachia ngazi kwani tatizo la madaktari limekuwa gumu kwake na kwa kifupi limemshinda hivyo ni bora akaachia ngazi kwani mpaka sasa hawezi kubadili lolote na hivyo watanzania wataendelea kupoteza maisha asipofanya hivyo.
My take
Tusubiri kesho lakini mwishi Vipi?

Source-ya hii tetesi
 
Uongo mtupu, kama kawaida yenu.

Kesho madaakatari wote wataokuwa hawapo kazini watakuwa wamejiwachisha kazi. Na kila mmoja anafunguliwa kesi ya kuuwa, wale wagonjwa wote waliokufa wakati wao waliamriwa na mahakama wasigome kwani suala lao liko mahakamani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom