Serikali Kutoa kauli Kuhusu Mgomo wa Madaktari kesho

Kauli yake ile sasa itamgharimu! Pinda chuja kauli kabla hujatoa, sasa itakugharimu, ukweli ni kuwa tunakuchukia sana mana kwa kauli ile Watanzania wanaamini kuna mkono wako! inaumiza sana!
 
Kwa hili Mcharuko hata mimi nakuunga mkono kweli Mheshimiwa Pinda ajiuzulu tu maana hana jipya mwisho wa yote ataanza kulia wakati sisi tunahitaji mtu strong...
 
Inatakiwa ajiuzuru hiyo nafasi kuendelea kuikalia ni kujizaririsha ila ataishia kulia ili tumuonee huruma
 
Naunga mkono hoja, tena ingependeza tuuitishe maandamano ya amani kushinikiza serikali yote iachie ngazi
 
Siyo Mh.Pinda tu, bali serikali nzima hivisasa. Ni dhahiri sasa wengiwetu hatuna imani tena na serikali hii.
 
Kwa hili lililotokea la Dr. Ulimboka ambalo limehusishwa sana na kauli
yako ya LIWALO NA LIWE ni busara kwako ukiamua kujiuzulu.
Bila shaka umenielewa kwani nina wasiwasi wa kuhusishwa na mengine
makubwa zaidi ambayo pengine utakuwa huhusiki nayo.
Jiuzulu Mheshimiwa ili kulinda Imani ya wapiga kura wako wa Rukwa.

:welcome: Tujuze zaidi kuhusu Dr. Ulimboka na Pinda. Ni kweli Pinda ameongea utumbo kwamba serekali itatoa tamko kesho.:llama:
 
hata katika hili mapaparazi wamo... duh!
kiddy adams
; karibu jamii forums the home of great thinkers; nimeona umejiunga na jukwaa hili leo kwa lengo hilo.
 
Ukishapeleka mgojwa wako Kwa daktari halafu akakuambia kagoma halafu ukarudi nyumbani unamfagilia daktari kwa sababu yeyote ile huo utakuwa uendawazimu! Pinda kesho toa tamko ambalo serikali imechelea siku nyingi watz tupo nyuma yako

Tatizo hujui hata implication zake. Serikali hii haiwezi kulipa madaktari kutoka nje, unajua mishahara yao? Tukate mishahra ya wabunge tuwape madaktari, basi.
 
Kauli yake ile sasa itamgharimu! Pinda chuja kauli kabla hujatoa, sasa itakugharimu, ukweli ni kuwa tunakuchukia sana mana kwa kauli ile Watanzania wanaamini kuna mkono wako! inaumiza sana!

mbona unatusemea na wengine sema ninakuchukia sana usitusemee wengine bana
 
Kauli yake ile sasa itamgharimu! Pinda chuja kauli kabla hujatoa, sasa itakugharimu, ukweli ni kuwa tunakuchukia sana mana kwa kauli ile Watanzania wanaamini kuna mkono wako! inaumiza sana!

kabla kujiuzulu wapiga kura wake wanatakiwa kumfahamu yeye ni mtu wa namna gani.tunamfahamu kuwa mika mingi alikuwa usalama wa taifa , kwa sasa tunatambua kuwa yeye ndo alikuwa naendesha kitengo cha uuaji huku kila wiki anakwenda hannasifu RC KUSALI
 
Back
Top Bottom