SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,240
- 4,376
799AD76 edited
799AD76 edited
Jimixin kwa Tot bila kufatilia kuwa Westham ana mechi sita anashinda mfululizo yakukute badae ulalamike
Sema sportybet Wana bonus tamu Sana mpaka naona betpawa ni ujinga tu46FB3C | SportyBet
Huu mkeka nimeusuka nikiwa juu ya kifua cha mtoto wa kipemba
Weka ukoo wenu wote, kama huna stake kakope 🔞
Hao wahuni ni wengi sana betting ni bahati tu na kufatilia historia ya timu ,kumwamini mtu na kumlipa akutumie mkeka eti sure odd huko ni kujitia kitanzi km yeye ni betting master si angebet mpunga mrefu akaachana na njaaa njaa za kushadadia magroupTuwataje wahuni wanaotumia ujanja kuwatapeli watu kupitia mikeka .
Naamza na MTU anayedanganya watu kuwa yeye ni betting master na ansunda magroup ndani ya magroup ya wenzake Ili apige watu.
Anatumia Namba za Simu 0748963883.
Jeshi la Polisi na TCRA wamchunguze huyu mwizi Wa kwenye mtandao.
.
Nawaza na kutafakali...
Hivi huu msimu arsenal watafanya ujinga na kuukosa ubingwa wa EPL?!!
Nawaza tu
Siyo kuwaza mkuu inabidi ashinde mechi muhimu, weekend hii anaenda villa park ambapo mwenzie kaacha zote 3, akitoka hapo anaenda anfield usishangae baada ya hizo mechi mjadala ukabadilika tena ikawa top four badala ya ubingwa🏃🏃🏃Nawaza na kutafakali...
Hivi huu msimu arsenal watafanya ujinga na kuukosa ubingwa wa EPL?!!
Nawaza tu
3F0D8AF editedKama unapunguza timu kwa hii code....
•Toa timu za Iran pekeyake! Tatu za over 0.5,
•Moja ya rwanda it's 50/ 50 over 1.5,
Then Stake hii code kibabe....! ukiwa umevua Shati kabisa!!!
32CCD039 Sporty
We Koma we,tena wewe ndio nilikuwa nakutafuta,maana nilikuwa namtafuta Binti Yangu kumbe yupo kwako na unajisifia alaaa46FB3C | SportyBet
Huu mkeka nimeusuka nikiwa juu ya kifua cha mtoto wa kipemba
Weka ukoo wenu wote, kama huna stake kakope 🔞
Sio kudanganya watu, ni watu hao waliotuma pesa ndio wajinga. Hakunaga fixed match kwenye betting. Huwezi kulipia ili eti upewe sure odds wakati Hakuna anayejua matokeo kabla ya mpira..watu wajifunze kuwa betting Ni bahati nasibu tuu.Tuwataje wahuni wanaotumia ujanja kuwatapeli watu kupitia mikeka .
Naamza na MTU anayedanganya watu kuwa yeye ni betting master na ansunda magroup ndani ya magroup ya wenzake Ili apige watu.
Anatumia Namba za Simu 0748963883.
Jeshi la Polisi na TCRA wamchunguze huyu mwizi Wa kwenye mtandao.
.
Inashangaza mnooo. Bora ingeenda na odd ya 3. But faida ya elfu 10 kwa laki 4 hell Noo.Watu wengine..... Hata mkiliwa ni sawa kabisa!....
Stake ya 404,000 unatafutia faida ya elf 10!?.... Shiit.....
Mkeka wa dizaini hiyo ukichanika... Huwa nafurahi mnoo!!! Utafikiri nimekula vile!
Hela yoyote inayotumwa kwa Consent(hiyari) ya mtu mwenyewe...Tuwataje wahuni wanaotumia ujanja kuwatapeli watu kupitia mikeka .
Naamza na MTU anayedanganya watu kuwa yeye ni betting master na ansunda magroup ndani ya magroup ya wenzake Ili apige watu.
Anatumia Namba za Simu 0748963883.
Jeshi la Polisi na TCRA wamchunguze huyu mwizi Wa kwenye mtandao.
.
Mnavyoandikaga hivi mnastake kweli au mnatutisha tu
Ndio Maana tunatoa tahadhari.Hela yoyote inayotumwa kwa Consent(hiyari) ya mtu mwenyewe...
Pasipo kushurutishwa na mtu wala mtutu wa bunduki....
Mtumaji ndie taahira! Ama ndie fursa yenyewe!
Usiwashirikishe polisi.... kwa ujinga Wa mpumbavu Fulani mmoja....polisi Wana kazi nyingi za kufanya tofauti na hiyo.