Boss hii mechi niliichambua od 1.03 nikaona feyeroord ana ushindi nnjenje kwa timu kibonde ambayo ina kalibia mechi kumi rose

Usku kama saa mbili nikatamani niamke angalau na hela ya supu 15000 nikaweka laki4 nikalala

Nimekuja kuamka saa6usku naangalia mkeka mechi iko dakika ya 89 wako 1-1 yaani jasho lilinitoka usku huo nkaamka kunywa maji moyo uliuma balaa chaajabu wakaongezewa dakika6 Feyenoord likaongeza bao mbili dakika ya 94

Hakuna timu kibonde
View attachment 2836177
Mkuu mtaji huu wote nataman niwe nao unauletea masihara....meme nifika huo mtaji mrusi atafurahia shooo
 
Tuwataje wahuni wanaotumia ujanja kuwatapeli watu kupitia mikeka .
Naamza na MTU anayedanganya watu kuwa yeye ni betting master na ansunda magroup ndani ya magroup ya wenzake Ili apige watu.
Anatumia Namba za Simu 0748963883.
Jeshi la Polisi na TCRA wamchunguze huyu mwizi Wa kwenye mtandao.

.
 
Kama unapunguza timu kwa hii code....

•Toa timu za Iran pekeyake! Tatu za over 0.5,
•Moja ya rwanda it's 50/ 50 over 1.5,

Then Stake hii code kibabe....! ukiwa umevua Shati kabisa!!!

32CCD039 Sporty
 
Tuwataje wahuni wanaotumia ujanja kuwatapeli watu kupitia mikeka .
Naamza na MTU anayedanganya watu kuwa yeye ni betting master na ansunda magroup ndani ya magroup ya wenzake Ili apige watu.
Anatumia Namba za Simu 0748963883.
Jeshi la Polisi na TCRA wamchunguze huyu mwizi Wa kwenye mtandao.

.
Hao wahuni ni wengi sana betting ni bahati tu na kufatilia historia ya timu ,kumwamini mtu na kumlipa akutumie mkeka eti sure odd huko ni kujitia kitanzi km yeye ni betting master si angebet mpunga mrefu akaachana na njaaa njaa za kushadadia magroup
 
Nawaza na kutafakali...

Hivi huu msimu arsenal watafanya ujinga na kuukosa ubingwa wa EPL?!!

Nawaza tu

Arsenal hawez kubeba ubingwa ndg bado hana kikosi imara cha kumudu nyakati ngumu
Hebu apate majeraha ya Rice na odergad ndo uone kitatokea nn? Halaf msimdharau City hata kdg me nishashindana nae mara 3 najua ubora wake huwa ni mwisho wa Ligi
Zile mechi 10 za mwisho City huwa anashinda zote narudia zote na wakat pale ndo huwa timu zimetumika wachezaji wameanza kuchoka na wengine wanapata majeraha
Still ubingwa watakaoshindana ni Liver na city basi huyo Arsenal tumsifu tu Arteta ni kichwa mzur sana maana ameweza kutengeneza timu bora tofaut na ilivyokuwa na anatupa ushindani but ubingwa never
 
Tuwataje wahuni wanaotumia ujanja kuwatapeli watu kupitia mikeka .
Naamza na MTU anayedanganya watu kuwa yeye ni betting master na ansunda magroup ndani ya magroup ya wenzake Ili apige watu.
Anatumia Namba za Simu 0748963883.
Jeshi la Polisi na TCRA wamchunguze huyu mwizi Wa kwenye mtandao.

.
Sio kudanganya watu, ni watu hao waliotuma pesa ndio wajinga. Hakunaga fixed match kwenye betting. Huwezi kulipia ili eti upewe sure odds wakati Hakuna anayejua matokeo kabla ya mpira..watu wajifunze kuwa betting Ni bahati nasibu tuu.
 
Tuwataje wahuni wanaotumia ujanja kuwatapeli watu kupitia mikeka .
Naamza na MTU anayedanganya watu kuwa yeye ni betting master na ansunda magroup ndani ya magroup ya wenzake Ili apige watu.
Anatumia Namba za Simu 0748963883.
Jeshi la Polisi na TCRA wamchunguze huyu mwizi Wa kwenye mtandao.

.
Hela yoyote inayotumwa kwa Consent(hiyari) ya mtu mwenyewe...

Pasipo kushurutishwa na mtu wala mtutu wa bunduki....

Mtumaji ndie taahira! Ama ndie fursa yenyewe!

Usiwashirikishe polisi.... kwa ujinga Wa mpumbavu Fulani mmoja....polisi Wana kazi nyingi za kufanya tofauti na hiyo.
 
Betpawa

B2EDBBE
20231208_111539.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom