Hela yoyote inayotumwa kwa Consent(hiyari) ya mtu mwenyewe...

Pasipo kushurutishwa na mtu wala mtutu wa bunduki....

Mtumaji ndie taahira! Ama ndie fursa yenyewe!

Usiwashirikishe polisi.... kwa ujinga Wa mpumbavu Fulani mmoja....polisi Wana kazi nyingi za kufanya tofauti na hiyo.
Ndio Maana tunatoa tahadhari.
Japo pia ni kosa la jinai kuhadaa watu Ili upate fedha.
Betting ni biashara mana watu wanaweka pesa zao.Na Kodi inalipwa hivyo wakitokea wahuni kuchafua biashara za watu Kwa hadaa ni kosa kisheria.
Hatuwezi kuacha kuwataja wahuni wanapojaribu kuwaibia Wananchi Kwa Sababu ya ujinga wao.

Ni kazi ya wenye Elimu kuwasaidia wajinga Ili waerevuke.

Wewe kama unajua Jambo ambalo linafanywa na wahuni na kuwaibia watu ukikaa kimya Utakua umeshindwa KUTIMIZA wajibu wako.

WATANZANIA ni watu Wa ajabu Sana .Hata kwenye daladala WATANZANIA wanatabia ya kukaa kimya wanapomuona MTU anachomolewa pesa mfukoni. Huu ni ujinga zaidi mana anayezoea kupata fedha za hadaa Kesho akikosa atanunua Bunduki na kuikodisha Kwa majambazi na watakuja kukuvamia nyumbani Kwako na majirani watasema wewe ni mjinga mana hukufuga mbwa na kuweka walinzi.
 
Ijumaa Kareem
IMG_8917.jpeg
 
Boss hii mechi niliichambua od 1.03 nikaona feyeroord ana ushindi nnjenje kwa timu kibonde ambayo ina kalibia mechi kumi rose

Usku kama saa mbili nikatamani niamke angalau na hela ya supu 15000 nikaweka laki4 nikalala

Nimekuja kuamka saa6usku naangalia mkeka mechi iko dakika ya 89 wako 1-1 yaani jasho lilinitoka usku huo nkaamka kunywa maji moyo uliuma balaa chaajabu wakaongezewa dakika6 Feyenoord likaongeza bao mbili dakika ya 94

Hakuna timu kibonde
View attachment 2836177
Mkuu level yako ya kujilipua ni kubwa sana 😂😂😂😂😂
 
Arsenal hawez kubeba ubingwa ndg bado hana kikosi imara cha kumudu nyakati ngumu
Hebu apate majeraha ya Rice na odergad ndo uone kitatokea nn? Halaf msimdharau City hata kdg me nishashindana nae mara 3 najua ubora wake huwa ni mwisho wa Ligi
Zile mechi 10 za mwisho City huwa anashinda zote narudia zote na wakat pale ndo huwa timu zimetumika wachezaji wameanza kuchoka na wengine wanapata majeraha
Still ubingwa watakaoshindana ni Liver na city basi huyo Arsenal tumsifu tu Arteta ni kichwa mzur sana maana ameweza kutengeneza timu bora tofaut na ilivyokuwa na anatupa ushindani but ubingwa never
Kwani ata uyo Liverpool alichukua ubingwa baada ya miaka mingapi Yan mtoto anazaliwa anakua mpaka anaoa na anapata mtoto liver ndo anakuja kubeba ubingwa ko ata liver simuesabu kwenye ubingwa usishangae Man City akabeba Tena japo nilitaman sana kuona ata sisi Wana gunners tunanyanyua kwapa
 
Risk to reward iwe reasonable maana kuna kupoteza pia
Kwenye betting akili za kuambiwa changanya na zako,stake kama hiyo kwa odds 10 ukiliwa umepoteza sana,tamaa mbaya maana mi naona hata uwe na milioni 10 kwenye account unaweza kuimaliza ndani ya week kwa hiyo aina ya betting.

Betting ni bahati na ujanja,unaweza kuweka stake ya 100,000 odds 2 au 3 unaliwa halafu anatokea mtu kaweka jero anapiga mil 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom