rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,523
- 42,033
Kagongwaa 3 kiufupii Kanji leo atalipaaa hela zoteeeNa fenerbahçe huyo
Kagongwaa 3 kiufupii Kanji leo atalipaaa hela zoteeeNa fenerbahçe huyo
daah 432
Kapata penalty moja katupia tayari. Wait tuone atachomoa zote tatu?????Kagongwaa 3 kiufupii Kanji leo atalipaaa hela zoteee
Usicheke mkuu vipigo vinachanganya akiliHapo unataka kuwithdraw sh ngapi sasa?
Comment za usiku zinanifanya nicheke Kwa sauti hapa dukan kwangu😁😁Nimejaribu kisaasi hicho ili nipime uaminifu wao
HahahahahHaHapo unataka kuwithdraw sh ngapi sasa? 🤣🤣
Huyu mwamba Katia fora eti napima uaminifu wao🤣🤣🤣
yani server zipo busy kutoa hela za maana anatoa 200Huyu mwamba Katia fora eti napima uaminifu wao
Kwanza haitoki maana wamepandisha withdraw mpaka 1000yani server zipo busy kutoa hela za maana anatoa 200
sasa si ndio kuninyima pesa kwenyewe huko mkuu, mana nilipick over 0.5Hawakunyima mzee Cardifd na stoke wametoka 0:0 mzee hakuna goal lolote kwa hiyo mkeka umechanika