DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 8,993
- 18,592
Hapana tunza hii comment kwenye dakika ya kuanzia 70 mpaka 85 kuna goal mmoja atapataHii gemu ni bila bila
Hapana tunza hii comment kwenye dakika ya kuanzia 70 mpaka 85 kuna goal mmoja atapataHii gemu ni bila bila
Mzee kwa mechi za usiku hizi tulia kwanza mkuu labda za kuanzia keshoJamani anayejua ma hndikapuuuuu atengeneze aiseeeee...
Newcastle goli limekataliwaAsernal kashinda
Tuvumilieaseo na nyukasto hakuna kona na nimewaomba 9?
bora nisingerebet pumbafu kabisa
Li.ekataliwa kivipiNewcastle goli limekataliwa
Kiwango cha chini cha kuweka ni 1500.Ok sawa sawa shukrani nitatumia hiyo mitandao
Wanasema offside japo tayari wameshacorrect ni goli halaliLi.ekataliwa kivipi
Mwenzetu unaangalia mpira ganiNewcastle goli limekataliwa
NdioIvi 1x bet wamerudisha njia ya kudepost na kuwithdraw kwa njia ya simu (mtandao) au??
Apo kwa Voda username unaandkaj
Newcastle vs AsernalMwenzetu unaangalia mpira gani
Username unajazaje kila nikijaza inagomaKiwango cha chini cha kuweka ni 1500.
Sio mbaya kilichoninyong'onyesha kwenye withdraw bado akuna tigo Wala Airtel Hila kwenye deposit hipo very sad 😢Kiwango cha chini cha kuweka ni 1500.
User name za 1x bet uwa wanakupa wenyewe ni za namba nyingi nying hivi nafikili kama sijakoseaUsername unajazaje kila nikijaza inagoma