Hivi hawa betpawa wanashida gani? Nashindwa ku withdrawal money
Screenshot_2023_1104_200544.jpg
 
Kwanini nibeti Kaka? Kwanini?

Mikeka yoooote ya maana imeenda umebaki mmoja wa kushinda elfu 4 ambao niliuweka chap nikiwa kwa office ili badae niuekee stake kubwa sinikajisahau! Yaani huo tu ndo upo tena unaelekea kushinda, nimejaribu kuudelete ata usishinde lakini ndo haiwezekani. Sitaki ata kuuona!

Hasara niliyokula leo nimeamua nipitie kabisa kanisani jioni hii ili kesho nilale tu siku nzima! Na nione yeyote nyumbani kwangu anawasha TV kesho aangalie mpira, nione!
Acha kupeleka stress zako nyumbani, umebet kimyakimya kwa kuificha familia, hayo maumivu yafiche kwao pia.

 
Back
Top Bottom