Soma vizuri option shot on target zilipigwa over hio number apo

Wewe jana arsenal alipiga shot ngapi
Inawezekana Mkuu ulikosa...japo ukiangalia Statistics za FT zinaonesha On Target za Arsenal ni 7 (Live Score) 8 (Skysports)
Sasa ubaya mpira ukishaisha unaoneshwa takwimu za Full Time huoneshwi za First Half. Next time mpira ukiwa Half Time cheki statistics then screenshot ili kuondoa hizi sintofahamu.
 
Na ndio nilicheki
 
dakika 10 zote hizo?, waliamua kutukomoa.

huu mkeka wa lsfootball nilijiwekea bima ya onecut sportybet, nikajua hata ikichana mechi moja bado nitapata faida inayozidi stake, kumbe onecut miyeyusho tu, nimepata faida kiduchu sana pungufu ya stake.

option za bima za onecut na flexible hazina faida yoyote ile, heri mara mia cash-out, cash-out unapata hela nzuri zaidi
Yn hayo mambo ya onecut na flexible hata sizielew japokuwa hua nayaona hayo maneno sportbety
 
Nakubaliana na kauli ya mdau humu inayosema bora kumpa pesa kanji moja kwa moja kuliko kubeti under.

Almeria vs Girona...under 4.5

Game inaisha 3:2
hii option inanilipa Sana ila kuna vitu vya kuangalia, kama ugumu wa ligi kama uingereza, ugumu wa mechi, na hata ligi ya bongo inatoa Sana kwa timu za kawaida
 
Hivi wale wa jackpot, mnatumia mbinu gani? Au hapa kila mtu na siri yake...kila nikijaribu betpawa naishia timu 11 max kama ni mechi 17, 9 max kama ni mechi 13....
Wanapanga matokeo mbwa wale..😎
 
Leo nataka niwasilishe mbinu kabambe ya kusuka TRENI::

Watu wengi wamekuwa si wapenzi wa matreni maana probability ya kushinda huwa ni finyu mno ila leo nataka niwasilishe ni jinsi gani unaweza kusuka treni la timu kuanzia 20 mpaka 50.

Binafsi wakati ligi inaendelea huwa naangalia timu zenye kupata matokeo katika kila ligi. Betting imenifanya kujua timu mbalimbali hapa ulimwenguni ligi za india,mongolia,vietnam,malaysia,Australia,New zealand mpaka amerika ya kusini huko peru,paraguay,brazil na bolivia.

Kikawaida huwa ninaorodhesha strong teams katika kila ligi!! Strong teams huwa ni timu tatu za juu katika msimamo wa kila ligi iliyofikisha mechi 6 na kuendelea.

Hizi ndio huwa timu za matokeo na huwa zina uwezekano mkubwa wa kushinda au kudraw mechi zake kila wiki.Japo kufungwa pia kunaweza kutokea ila si mara zote.

Mfano
1:La liga...ni Real madrid, Barcelona na real sociedad

2:Epl...ni Man city, Arsenal na Chelsea/Liverpool

3: Bundesliga ...ni Bayern munchen, Union Berlin (ligi bado haijatulia)

4: Serie A .. Ni Napoli, intermilan na Ac milan

5: NBC ni Simba na Yanga

6: Ivory coast ni ASEC mimosas

7: Egypt ni Al Ahly,Zamalek na Pyramid

8: Morocco Botola : ni Wydad Ac na Raja casablanca

9: Iran Pro ni Persepolis ,Esteghlal,foolad mobarakeh sepahan fc

10: South Africa SPL : Ni mamelodi sundowns

11: Ethiopia ni Saint George

12:Malawi ni Nyasa Big bullet

13:Angola Gorabola ni Petro atletico de luanda.

13: Eredivisie : Ni Ajax ,PSV na Az alkmaar/Feyernood

14: Bundesliga 2 : ni darmstadt,Pederbon na Hamburger Sv.

15: Austria Bundesliga ni Salzburg na Sturm graz

16: Norway eliteserien : Molde,Bodo/Glimt na Rosenborg

17: Denmark : midtyland,randers

18: Croatia HNL: ni Dinamo zagreb, Hadjuk split na Osijek

19: Serbia superliga : Crvena zvezda, Partizan belgrade na Backa topola.

20: Australia A-league : Melbourne city

21:Romania Liga 1: Farul constanta na CFR Cluj

22: Greece superleague : Panathinaikos na AEK athens

23: Primeira liga Portugal : Fc Porto,Benfica na Sporting lisbon/Braga

24: malaysia super league: Johor Darul Taazm na Terrenganu

25: Singapore league : Albirex niigata, Tampine rovers na tampines rovers

26: Azerbaijan: Qarabag na Sabah

27: Scotland : ni Celtic na Rangers

28: Ligue 1 France: PSG

29: Belgium : Genk na Union st gilloise

30: Costa rica FPD : Herediano,Deportivo saprissa na Alajuelense

31: Bulgaria : Ludogorets na CSKA sofia

32: Czech 1.Liga: Viktoria Plzen na Slavia praha

33: slovakia premier league : Slovan bratislava na Spartak trnava

34:Russian premier league : Zenit st petersburg

35: Ecuador Liga Pro : Aucas na Universidad catolica

36: Thailand league 1: Buriram united na Pathum united

37: Uruguay primera division : Nacional na Liverpool montevideo

38: Paraguay division professional : ni Nacional na Olimpia

39: Peru primera division: ni Melgar na
Alianza lima

40: Brazil serie A: palmeiras,internacional na flamengo.

Hizi ni baadhi tu ya strong teams katika ligi mbalimbali ninazozifatilia.

VIPI USUKE TRENI:

Huwa naangalia kwanza mpinzani anayekutana na hiyo top team ,je matokeo yake ktk mechi tano zilizopita yapoje!? Kama sio ya kueleweka basi naipa strong team ishinde mechi au isuluhu.

Nazingatia pia timu dhaifu zinapokutana na timu strong huwa zinakawaida ya kuzuia sana kulazimisha suluhu. so kama unataka kujilinda unaweza kucheza Double chance na kama unataka kujilipua unaweza kucheza direct win (sishauri sana)

Strong team Vs Strong team huwa nairuka mechi hiyo kwani upinzani huwa ni mkali so lolote linaweza kutokea. Mfano wiki hii kuna game kati ya Fc porto na Benfica ni game ngumu na yeyote anaweza kuibuka mshindi so ni vema kuiepuka, pia game kama Liverpool na Man city ni vema kuziepuka, Local derbies ni vema kuziepuka mfano ni Brentford vs Chelsea mliona game ilivyokuwa na upinzani.

So kwa wikiend kama unatafuta teams ambazo angalau zinaweza kutoa magoli basi dili na hizi timu hapo juu.

Vyema ukicheza defensive betting....double chance au handicap (Asian handicap au European handicap)

Pia timu tatu za juu zinapokutana na timu za katikati au chini ya msimamo huwa kuna uwezekano wa mechi kutoa magoli zaidi ya 1...so ni safe kucheza over 1.5 goal ( japo matokeo ya 1-0 au 0-0 pia yanaweza kutokea.
 
Fanya usuke treni alafu utume mkeka huku mkuu
 
Mwingine wa nne huyu nae kanji kapita na keka lake
 
Attachments

  • Screenshot_20221021-103446_Twitter.jpg
    Screenshot_20221021-103446_Twitter.jpg
    164.3 KB · Views: 8

Hii naifanyi kazi weekend hii. Nimezicopy timu zote
 
Kwema wazee poleni na majukumu nimeona sikuhizi watu hawatumii helabet vipi?ni kweli wanachelesha kutuma hela kutoka kwao kwenda kwako maana jana nimeona wameniambia hela kutoka kwenye akaunti kwenda kwenye Airtel money itachukuwa dakika 15 mpaka masaa 24 sijui kuna mtu ishawai mtokea hii kama mimi
 
Naomba betting site nzuri nataka nirudi kwenye gemu ya betting.. Sasa hivi nabet Kama starehe kwahyo ntakuwa naweka kile nilichonacho tiyari kukopoteza .. nilikuwa nabet Kwa umaskini na tamaa kipindi nipo chuo mwaka elfu 2018/19 ili kutafta hela ya kula nkawa naweka y
Tamaa mbele nkawa naliwa Sana nakula kidogo.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
dakika 10 zote hizo?, waliamua kutukomoa.

huu mkeka wa lsfootball nilijiwekea bima ya onecut sportybet, nikajua hata ikichana mechi moja bado nitapata faida inayozidi stake, kumbe onecut miyeyusho tu, nimepata faida kiduchu sana pungufu ya stake.

option za bima za onecut na flexible hazina faida yoyote ile, heri mara mia cash-out, cash-out unapata hela nzuri zaidi
Nilishatoa somo kuhusu one-cut kwamba haina faida zaidi ya kulinda stake yako isiishe yote.

Ni kheri u-apply flexible unaweza kupata faida nzuri.
 
TTu
Naomba betting site nzuri nataka nirudi kwenye gemu ya betting.. Sasa hivi nabet Kama starehe kwahyo ntakuwa naweka kile nilichonacho tiyari kukopoteza .. nilikuwa nabet Kwa umaskini na tamaa kipindi nipo chuo mwaka elfu 2018/19 ili kutafta hela ya kula nkawa naweka y
Tamaa mbele nkawa naliwa Sana nakula kidogo.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Tumia Parimatch
 
Kwema wazee poleni na majukumu nimeona sikuhizi watu hawatumii helabet vipi?ni kweli wanachelesha kutuma hela kutoka kwao kwenda kwako maana jana nimeona wameniambia hela kutoka kwenye akaunti kwenda kwenye Airtel money itachukuwa dakika 15 mpaka masaa 24 sijui kuna mtu ishawai mtokea hii kama mimi
Mimi nimetoa 230,000 jana usiku mpaka sasa sijapata. hawa ndio walewale 22bet, wananiambia ni subiri mpaka masaa 24 isipofika niandike email kwa wataalam wao. yaan napenda app yao lakini wanachelesha malipo sana. kuna kipindi hela ilikaa kwao mwezi mzima ndio nikaipata. hivyo hawafai parimatch wanalipa hapo hapo hawacheleweshi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom