The Salt
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 390
- 1,026
Kweli Mkuu... nimeonaFlashscore na sofascore wanakuonesha zote ni ww tu kuchagua za first half, second half au full angalia screenshort kwenye reply yangu hapo

Na ndio nilichekiInawezekana Mkuu ulikosa...japo ukiangalia Statistics za FT zinaonesha On Target za Arsenal ni 7 (Live Score) 8 (Skysports)
Sasa ubaya mpira ukishaisha unaoneshwa takwimu za Full Time huoneshwi za First Half. Next time mpira ukiwa Half Time cheki statistics then screenshot ili kuondoa hizi sintofahamu.
Yn hayo mambo ya onecut na flexible hata sizielew japokuwa hua nayaona hayo maneno sportbetydakika 10 zote hizo?, waliamua kutukomoa.
huu mkeka wa lsfootball nilijiwekea bima ya onecut sportybet, nikajua hata ikichana mechi moja bado nitapata faida inayozidi stake, kumbe onecut miyeyusho tu, nimepata faida kiduchu sana pungufu ya stake.
option za bima za onecut na flexible hazina faida yoyote ile, heri mara mia cash-out, cash-out unapata hela nzuri zaidi
Option usipoijua anapigwa za usoo chapGame ya Arsenal haikuwa na short on target first half. Yaonekana tunabet option tusizozijua
View attachment 2393494
hii option inanilipa Sana ila kuna vitu vya kuangalia, kama ugumu wa ligi kama uingereza, ugumu wa mechi, na hata ligi ya bongo inatoa Sana kwa timu za kawaidaNakubaliana na kauli ya mdau humu inayosema bora kumpa pesa kanji moja kwa moja kuliko kubeti under.
Almeria vs Girona...under 4.5
Game inaisha 3:2
Wanapanga matokeo mbwa wale..😎Hivi wale wa jackpot, mnatumia mbinu gani? Au hapa kila mtu na siri yake...kila nikijaribu betpawa naishia timu 11 max kama ni mechi 17, 9 max kama ni mechi 13....
Fanya usuke treni alafu utume mkeka huku mkuuLeo nataka niwasilishe mbinu kabambe ya kusuka TRENI::
Watu wengi wamekuwa si wapenzi wa matreni maana probability ya kushinda huwa ni finyu mno ila leo nataka niwasilishe ni jinsi gani unaweza kusuka treni la timu kuanzia 20 mpaka 50.
Binafsi wakati ligi inaendelea huwa naangalia timu zenye kupata matokeo katika kila ligi. Betting imenifanya kujua timu mbalimbali hapa ulimwenguni ligi za india,mongolia,vietnam,malaysia,Australia,New zealand mpaka amerika ya kusini huko peru,paraguay,brazil na bolivia.
Kikawaida huwa ninaorodhesha strong teams katika kila ligi!! Strong teams huwa ni timu tatu za juu katika msimamo wa kila ligi iliyofikisha mechi 6 na kuendelea.
Hizi ndio huwa timu za matokeo na huwa zina uwezekano mkubwa wa kushinda au kudraw mechi zake kila wiki.Japo kufungwa pia kunaweza kutokea ila si mara zote.
Mfano
1:La liga...ni Real madrid, Barcelona na real sociedad
2:Epl...ni Man city, Arsenal na Chelsea/Liverpool
3: Bundesliga ...ni Bayern munchen, Union Berlin (ligi bado haijatulia)
4: Serie A .. Ni Napoli, intermilan na Ac milan
5: NBC ni Simba na Yanga
6: Ivory coast ni ASEC mimosas
7: Egypt ni Al Ahly,Zamalek na Pyramid
8: Morocco Botola : ni Wydad Ac na Raja casablanca
9: Iran Pro ni Persepolis ,Esteghlal,foolad mobarakeh sepahan fc
10: South Africa SPL : Ni mamelodi sundowns
11: Ethiopia ni Saint George
12:Malawi ni Nyasa Big bullet
13:Angola Gorabola ni Petro atletico de luanda.
13: Eredivisie : Ni Ajax ,PSV na Az alkmaar/Feyernood
14: Bundesliga 2 : ni darmstadt,Pederbon na Hamburger Sv.
15: Austria Bundesliga ni Salzburg na Sturm graz
16: Norway eliteserien : Molde,Bodo/Glimt na Rosenborg
17: Denmark : midtyland,randers
18: Croatia HNL: ni Dinamo zagreb, Hadjuk split na Osijek
19: Serbia superliga : Crvena zvezda, Partizan belgrade na Backa topola.
20: Australia A-league : Melbourne city
21:Romania Liga 1: Farul constanta na CFR Cluj
22: Greece superleague : Panathinaikos na AEK athens
23: Primeira liga Portugal : Fc Porto,Benfica na Sporting lisbon/Braga
24: malaysia super league: Johor Darul Taazm na Terrenganu
25: Singapore league : Albirex niigata, Tampine rovers na tampines rovers
26: Azerbaijan: Qarabag na Sabah
27: Scotland : ni Celtic na Rangers
28: Ligue 1 France: PSG
29: Belgium : Genk na Union st gilloise
30: Costa rica FPD : Herediano,Deportivo saprissa na Alajuelense
31: Bulgaria : Ludogorets na CSKA sofia
32: Czech 1.Liga: Viktoria Plzen na Slavia praha
33: slovakia premier league : Slovan bratislava na Spartak trnava
34:Russian premier league : Zenit st petersburg
35: Ecuador Liga Pro : Aucas na Universidad catolica
36: Thailand league 1: Buriram united na Pathum united
37: Uruguay primera division : Nacional na Liverpool montevideo
38: Paraguay division professional : ni Nacional na Olimpia
39: Peru primera division: ni Melgar na
Alianza lima
40: Brazil serie A: palmeiras,internacional na flamengo.
Hizi ni baadhi tu ya strong teams katika ligi mbalimbali ninazozifatilia.
VIPI USUKE TRENI:
Huwa naangalia kwanza mpinzani anayekutana na hiyo top team ,je matokeo yake ktk mechi tano zilizopita yapoje!? Kama sio ya kueleweka basi naipa strong team ishinde mechi au isuluhu.
Nazingatia pia timu dhaifu zinapokutana na timu strong huwa zinakawaida ya kuzuia sana kulazimisha suluhu. so kama unataka kujilinda unaweza kucheza Double chance na kama unataka kujilipua unaweza kucheza direct win (sishauri sana)
Strong team Vs Strong team huwa nairuka mechi hiyo kwani upinzani huwa ni mkali so lolote linaweza kutokea. Mfano wiki hii kuna game kati ya Fc porto na Benfica ni game ngumu na yeyote anaweza kuibuka mshindi so ni vema kuiepuka, pia game kama Liverpool na Man city ni vema kuziepuka, Local derbies ni vema kuziepuka mfano ni Brentford vs Chelsea mliona game ilivyokuwa na upinzani.
So kwa wikiend kama unatafuta teams ambazo angalau zinaweza kutoa magoli basi dili na hizi timu hapo juu.
Vyema ukicheza defensive betting....double chance au handicap (Asian handicap au European handicap)
Pia timu tatu za juu zinapokutana na timu za katikati au chini ya msimamo huwa kuna uwezekano wa mechi kutoa magoli zaidi ya 1...so ni safe kucheza over 1.5 goal ( japo matokeo ya 1-0 au 0-0 pia yanaweza kutokea.
Nlisuka treni wiki hii na nikatupia code humu...tayari mechi 11 zishachezwa na linaendelea kupumuaFanya usuke treni alafu utume mkeka huku mkuu
Amekupa majina ya nchi hadi timu tena zile strong, akusukie mkeka tena akuletee code si ajabu ukaomba na stake ya jero.Fanya usuke treni alafu utume mkeka huku mkuu
Hii naifanyi kazi weekend hii. Nimezicopy timu zoteLeo nataka niwasilishe mbinu kabambe ya kusuka TRENI::
Watu wengi wamekuwa si wapenzi wa matreni maana probability ya kushinda huwa ni finyu mno ila leo nataka niwasilishe ni jinsi gani unaweza kusuka treni la timu kuanzia 20 mpaka 50.
Binafsi wakati ligi inaendelea huwa naangalia timu zenye kupata matokeo katika kila ligi. Betting imenifanya kujua timu mbalimbali hapa ulimwenguni ligi za india,mongolia,vietnam,malaysia,Australia,New zealand mpaka amerika ya kusini huko peru,paraguay,brazil na bolivia.
Kikawaida huwa ninaorodhesha strong teams katika kila ligi!! Strong teams huwa ni timu tatu za juu katika msimamo wa kila ligi iliyofikisha mechi 6 na kuendelea.
Hizi ndio huwa timu za matokeo na huwa zina uwezekano mkubwa wa kushinda au kudraw mechi zake kila wiki.Japo kufungwa pia kunaweza kutokea ila si mara zote.
Mfano
1:La liga...ni Real madrid, Barcelona na real sociedad
2:Epl...ni Man city, Arsenal na Chelsea/Liverpool
3: Bundesliga ...ni Bayern munchen, Union Berlin (ligi bado haijatulia)
4: Serie A .. Ni Napoli, intermilan na Ac milan
5: NBC ni Simba na Yanga
6: Ivory coast ni ASEC mimosas
7: Egypt ni Al Ahly,Zamalek na Pyramid
8: Morocco Botola : ni Wydad Ac na Raja casablanca
9: Iran Pro ni Persepolis ,Esteghlal,foolad mobarakeh sepahan fc
10: South Africa SPL : Ni mamelodi sundowns
11: Ethiopia ni Saint George
12:Malawi ni Nyasa Big bullet
13:Angola Gorabola ni Petro atletico de luanda.
13: Eredivisie : Ni Ajax ,PSV na Az alkmaar/Feyernood
14: Bundesliga 2 : ni darmstadt,Pederbon na Hamburger Sv.
15: Austria Bundesliga ni Salzburg na Sturm graz
16: Norway eliteserien : Molde,Bodo/Glimt na Rosenborg
17: Denmark : midtyland,randers
18: Croatia HNL: ni Dinamo zagreb, Hadjuk split na Osijek
19: Serbia superliga : Crvena zvezda, Partizan belgrade na Backa topola.
20: Australia A-league : Melbourne city
21:Romania Liga 1: Farul constanta na CFR Cluj
22: Greece superleague : Panathinaikos na AEK athens
23: Primeira liga Portugal : Fc Porto,Benfica na Sporting lisbon/Braga
24: malaysia super league: Johor Darul Taazm na Terrenganu
25: Singapore league : Albirex niigata, Tampine rovers na tampines rovers
26: Azerbaijan: Qarabag na Sabah
27: Scotland : ni Celtic na Rangers
28: Ligue 1 France: PSG
29: Belgium : Genk na Union st gilloise
30: Costa rica FPD : Herediano,Deportivo saprissa na Alajuelense
31: Bulgaria : Ludogorets na CSKA sofia
32: Czech 1.Liga: Viktoria Plzen na Slavia praha
33: slovakia premier league : Slovan bratislava na Spartak trnava
34:Russian premier league : Zenit st petersburg
35: Ecuador Liga Pro : Aucas na Universidad catolica
36: Thailand league 1: Buriram united na Pathum united
37: Uruguay primera division : Nacional na Liverpool montevideo
38: Paraguay division professional : ni Nacional na Olimpia
39: Peru primera division: ni Melgar na
Alianza lima
40: Brazil serie A: palmeiras,internacional na flamengo.
Hizi ni baadhi tu ya strong teams katika ligi mbalimbali ninazozifatilia.
VIPI USUKE TRENI:
Huwa naangalia kwanza mpinzani anayekutana na hiyo top team ,je matokeo yake ktk mechi tano zilizopita yapoje!? Kama sio ya kueleweka basi naipa strong team ishinde mechi au isuluhu.
Nazingatia pia timu dhaifu zinapokutana na timu strong huwa zinakawaida ya kuzuia sana kulazimisha suluhu. so kama unataka kujilinda unaweza kucheza Double chance na kama unataka kujilipua unaweza kucheza direct win (sishauri sana)
Strong team Vs Strong team huwa nairuka mechi hiyo kwani upinzani huwa ni mkali so lolote linaweza kutokea. Mfano wiki hii kuna game kati ya Fc porto na Benfica ni game ngumu na yeyote anaweza kuibuka mshindi so ni vema kuiepuka, pia game kama Liverpool na Man city ni vema kuziepuka, Local derbies ni vema kuziepuka mfano ni Brentford vs Chelsea mliona game ilivyokuwa na upinzani.
So kwa wikiend kama unatafuta teams ambazo angalau zinaweza kutoa magoli basi dili na hizi timu hapo juu.
Vyema ukicheza defensive betting....double chance au handicap (Asian handicap au European handicap)
Pia timu tatu za juu zinapokutana na timu za katikati au chini ya msimamo huwa kuna uwezekano wa mechi kutoa magoli zaidi ya 1...so ni safe kucheza over 1.5 goal ( japo matokeo ya 1-0 au 0-0 pia yanaweza kutokea.
Sio kama nashindwa ila nipate na mawazo yake ya kwangu tayari hii hapaAmekupa majina ya nchi hadi timu tena zile strong, akusukie mkeka tena akuletee code si ajabu ukaomba na stake ya jero.
Nilishatoa somo kuhusu one-cut kwamba haina faida zaidi ya kulinda stake yako isiishe yote.dakika 10 zote hizo?, waliamua kutukomoa.
huu mkeka wa lsfootball nilijiwekea bima ya onecut sportybet, nikajua hata ikichana mechi moja bado nitapata faida inayozidi stake, kumbe onecut miyeyusho tu, nimepata faida kiduchu sana pungufu ya stake.
option za bima za onecut na flexible hazina faida yoyote ile, heri mara mia cash-out, cash-out unapata hela nzuri zaidi
Tumia ParimatchNaomba betting site nzuri nataka nirudi kwenye gemu ya betting.. Sasa hivi nabet Kama starehe kwahyo ntakuwa naweka kile nilichonacho tiyari kukopoteza .. nilikuwa nabet Kwa umaskini na tamaa kipindi nipo chuo mwaka elfu 2018/19 ili kutafta hela ya kula nkawa naweka y
Tamaa mbele nkawa naliwa Sana nakula kidogo.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mimi nimetoa 230,000 jana usiku mpaka sasa sijapata. hawa ndio walewale 22bet, wananiambia ni subiri mpaka masaa 24 isipofika niandike email kwa wataalam wao. yaan napenda app yao lakini wanachelesha malipo sana. kuna kipindi hela ilikaa kwao mwezi mzima ndio nikaipata. hivyo hawafai parimatch wanalipa hapo hapo hawacheleweshiKwema wazee poleni na majukumu nimeona sikuhizi watu hawatumii helabet vipi?ni kweli wanachelesha kutuma hela kutoka kwao kwenda kwako maana jana nimeona wameniambia hela kutoka kwenye akaunti kwenda kwenye Airtel money itachukuwa dakika 15 mpaka masaa 24 sijui kuna mtu ishawai mtokea hii kama mimi