Kuna jamaa Kamla mhindi kama siku Tatu mfululizo juzi Ile nilileta mkeka wake na jana kampiga ila odd ni chache View attachment 2393376View attachment 2393377
Mimi namfata kila siku, he's super good. Small odds zenye uhakika zaidi ni bora kuliko mikeka timu 30 kila siku unaliwa, nikiweka treni ni kwa vile najaribu bahati, nikiona treni lina matumaini naweka, ila primarily naweka hizo ndogo, walau!!!
 
Hivi wale wa jackpot, mnatumia mbinu gani? Au hapa kila mtu na siri yake...kila nikijaribu betpawa naishia timu 11 max kama ni mechi 17, 9 max kama ni mechi 13....
 
Hivi wale wa jackpot, mnatumia mbinu gani? Au hapa kila mtu na siri yake...kila nikijaribu betpawa naishia timu 11 max kama ni mechi 17, 9 max kama ni mechi 13....
Tumia angalau Sportpesa kwenye Jackpot yao angalau utakuwa vizuri huwezi kosa chochote kitu
 
Kumekucha kusemana
Screenshot_20221021-074956_Chrome.jpg
Screenshot_20221021-074908_Chrome.jpg
Screenshot_20221021-074827_Chrome.jpg
 
Sio kwamba nawachukia 1xbet ila kuna siku watakuja nidhulumu nishaona , ukiondoa ushindi wa kawaida yaani win ,lose au draw kwenye option zingine 1xbet wanatabia isiovumilika japo mara chache kuweka matokeo tofauti na apps zote zinazoonesha matokeo na ukiwauliza watakujibu wanavyanzo vyao wanavyoviamini kuhusu kuweka matokeo.
Si mara moja au mara mbili nimekua nikinyima matokeo ambayo kihhalisia unakuta yako sasa ( nimewin), ila wananinyima haki yangu kwa kua kuna kampuni ingine inazo soon nitahamia huko jana odd 129 timu iliochana ni arsenal na matokeo hayo yalikua nimewin ushahidi huu apa chini
Wacha makasiriko tuliza kichwa. On target 1st half ilkuwa 0 bin 0
 
Sio kwamba nawachukia 1xbet ila kuna siku watakuja nidhulumu nishaona , ukiondoa ushindi wa kawaida yaani win ,lose au draw kwenye option zingine 1xbet wanatabia isiovumilika japo mara chache kuweka matokeo tofauti na apps zote zinazoonesha matokeo na ukiwauliza watakujibu wanavyanzo vyao wanavyoviamini kuhusu kuweka matokeo.
Si mara moja au mara mbili nimekua nikinyima matokeo ambayo kihhalisia unakuta yako sasa ( nimewin), ila wananinyima haki yangu kwa kua kuna kampuni ingine inazo soon nitahamia huko jana odd 129 timu iliochana ni arsenal na matokeo hayo yalikua nimewin ushahidi huu apa chini
First half kwa timu zote mbili hakukuwa na short on target hata moja hizo Saba kwa arsenal zilipatikana second half. Hakuna ulichoibiwa Mazee.
 
Inawezekana Mkuu ulikosa...japo ukiangalia Statistics za FT zinaonesha On Target za Arsenal ni 7 (Live Score) 8 (Skysports)

Sasa ubaya mpira ukishaisha unaoneshwa takwimu za Full Time huoneshwi za First
Flashscore na sofascore wanakuonesha zote ni ww tu kuchagua za first half, second half au full angalia screenshort kwenye reply yangu hapo
 
Soma vizuri option shot on target zilipigwa over hio number apo

Wewe jana arsenal alipiga shot ngapi
Inawezekana Mkuu ulikosa...japo ukiangalia Statistics za FT zinaonesha On Target za Arsenal ni 7 (Live Score) 8 (Skysports)
Sasa ubaya mpira ukishaisha unaoneshwa takwimu za Full Time huoneshwi za First Half. Next time mpira ukiwa Half Time cheki statistics then screenshot ili kuondoa hizi sintofahamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom