Nyengine hiyo
IMG_20170208_070033_910.JPG
 
Kanji anazidi tu kunipiga n muda wiki ya pili sasa inaishia tangu nimkamatie chini,ngoja Leo nianzishe oparesheni [HASHTAG]#SAFISHA[/HASHTAG] KANJI
 
Inamaana baada ya mbwana samata kuumia genk wanakuwa WA ngese kiasi hiki!
2f933c8d955b1fb13a0c827ade15f1ee.jpg
 
Over maanake izidi na under means isizidi au isifike. Handicap means unaipa team moja upungufu au unaiongezea.

Example.
Over 1.5 goals maanake hiyo mechi wafungane kuanzia goli mbili nakuendelea, wakati under 1.5 goals ni vice versa.

Tuje kwenye handicap.
E.g Man utd vs Simba fc. Tuseme ukaipa simba handicap ya +1 halafu ukachagua man utd to win. Inamaana ili Man utd washinde hiyo mechi, washinde kwa difference ya goli 2 na kuendelea. Ila ukichagua simba to win, inamaana atleast simba watoke draw au washinde mechi ndo bet yako inakuwa imewin.Basically unachukua final score halafu unajumlisha au unatoa goli la handicap, kulingana na option uliochagua.

Hopefully nimeelezea vizuri.
Nimekupata mkuu, thanx much
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom