BET WONWashington Capitals, Nashville Predators all win
Watakuwekea mkuu huwa mara nyengine wanachelewa sanaHawa premier wamefilisika? Tokea jana jioni hawajaniwekea mpunga wangu.
Mwenye maono totauti plz!Leo naamka hiviiii
JUVE WIN
AC MILLAN WIN
NICE WIN
me jananm bet wameniwekea mpunga saa 7 ucku baada ya game zote kuisha yn nmeshangaaWatakuwekea mkuu huwa mara nyengine wanachelewa sana
Asante broooo!naona wanakaribiana sana na st.atiene.nilimpa direct win coz yuko home na trend yake pia.ila ngja nifanye hivyoIngekuw pouw zaidi kama nice ungemuweka double chance 1x
hahahaa mzee mwenzangu ulikuwa karibu kushika sharubu za kanji aiseeInamaana baada ya mbwana samata kuumia genk wanakuwa WA ngese kiasi hiki!
Nimekupata mkuu, thanx muchOver maanake izidi na under means isizidi au isifike. Handicap means unaipa team moja upungufu au unaiongezea.
Example.
Over 1.5 goals maanake hiyo mechi wafungane kuanzia goli mbili nakuendelea, wakati under 1.5 goals ni vice versa.
Tuje kwenye handicap.
E.g Man utd vs Simba fc. Tuseme ukaipa simba handicap ya +1 halafu ukachagua man utd to win. Inamaana ili Man utd washinde hiyo mechi, washinde kwa difference ya goli 2 na kuendelea. Ila ukichagua simba to win, inamaana atleast simba watoke draw au washinde mechi ndo bet yako inakuwa imewin.Basically unachukua final score halafu unajumlisha au unatoa goli la handicap, kulingana na option uliochagua.
Hopefully nimeelezea vizuri.
Huwenda sijaelewa, kuwekewa unapowithdrawl au baada ya bet kuwa WON?me jananm bet wameniwekea mpunga saa 7 ucku baada ya game zote kuisha yn nmeshangaa
nazungumzia baada ya kubet....me uwa wananiingzia kwny tgo pesa automatically...m betHuwenda sijaelewa, kuwekewa unapowithdrawl au baada ya bet kuwa WON?
Kwa mbet unawekewa direct kwenye mpesa ukishawin mkuuHuwenda sijaelewa, kuwekewa unapowithdrawl au baada ya bet kuwa WON?
Ac Millan na Nice hao siku hizi sio wa kuwaaminiLeo naamka hiviiii
JUVE WIN
AC MILLAN WIN
NICE WIN