errynest s Lukindo
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 484
- 164
Wenyew wanakulipa kutokana na kias cha pesa walichokiweka kwa hzo mech kumiHivi kwenye m -bet perfect12 ukishinda game 10 na jumla ya odd ni 13 unakuwa umepata sh ngapi na unaipataje?salio lao la kubet ni 1000