Kwahiyo hata zisiposhinda zote zikashinda 9,10,11 unapata angalau kifuta jasho? Mfano 9 utapata kiasi gani mkuu?
inategemea na walioshinda wangap wanagawa labda milion moja tu kwa washind hao kwa kuigwa kima kund wale wa 9,10,11 kwahiyo inategema na upepo utakavo kuwa siku hiyo tembelea m bet uone mgawo unavyo fanywa,,,
 
Nime download app ya m bet, ntaangalia wapi mgawo huo unavyofanyika mkuu.
 
Jamani wazee wenzangu naombeni kama kuna mwenye mtaji wa kutosha anisaidie buku 10 tu au buku 5 hata buku 2 tu, ili nikomboe pesa yangu iliyopotea juzi na Jana, naumia sana nnavyoona hayo maWON yananipita, nisaidieni jamani kanji katafuna kila kitu sasaivi nabet kwa macho tu, naomba kusaidiwa jamani, chukulia kama unamsaidia maskini tu, leo kwangu kesho kwako kanji hatabiriki huyu, wote tuko vitani ndugu zangu,. namba yangu ni 0768-931271,. na ushahidi huo hapo.
 
Attachments

  • IMG_201612360_100827.jpg
    IMG_201612360_100827.jpg
    58.2 KB · Views: 26
  • IMG_201612360_100940.jpg
    IMG_201612360_100940.jpg
    48.1 KB · Views: 28
  • Screenshot_2016-12-25-22-23-39.png
    Screenshot_2016-12-25-22-23-39.png
    38.5 KB · Views: 29
na wewe mwenyew utafuatilia kwenye livescore kama timu zako zimeshinda ngap ktika 12 za mwazo so ukijua kama kati ya hizo 9 ama 10 na kuendelea mpaka 12 we una enda tu kwenye m bet result ya perfect 12 na kuangalia mgao wa siku maana kila siku mgao hutofautiana kulingana na washindi wa siku hiyo......
 
Jamani wazee wenzangu naombeni kama kuna mwenye mtaji wa kutosha anisaidie buku 10 tu au buku 5 hata buku 2 tu, ili nikomboe pesa yangu iliyopotea juzi na Jana, naumia sana nnavyoona hayo maWON yananipita, nisaidieni jamani kanji katafuna kila kitu sasaivi nabet kwa macho tu, naomba kusaidiwa jamani, chukulia kama unamsaidia maskini tu, leo kwangu kesho kwako kanji hatabiriki huyu, wote tuko vitani ndugu zangu,. namba yangu ni 0768-931271,. na ushahidi huo hapo.
Kuna mtu alikuambia umkumbushe asubuhi kama sijakosea.
 
Huddersfield Town - Nottingham Forest
Huddersfield Town. 1.74

Aston Villa - Burton Albion
Aston Villa. 1.70

Newcastle United - Sheffield Wednesday
Newcastle United. 1.67

Peterborough Utd - Gillingham FC
Peterborough United. 1.80

Newport County - Portsmouth FC
Portsmouth FC. 1.76

Notts County - Doncaster Rovers
Doncaster Rovers. 1.88

AFC Fylde - Chorley FC
AFC Fylde and Over 2.5 goals. 2.12

Altrincham FC - FC United of Manchester
yes and Over 2.5 goals. 1.92

Fleetwood Town - Bury FC
Fleetwood Town and Over 1.5 goals. 1.83

Rochdale FC - Chesterfield FC
Rochdale AFC. 1.60

Sheffield United - Oldham Athletic
Sheffield United and Over 1.5 goals. 1.56

Bolton Wanderers - Shrewsbury Town
Bolton Wanderers. 1.45

Bradford City - Scunthorpe Utd. X/2. 1.68

Plymouth Argyle - Wycombe Wanderers. X/2. 1.60

Braintree Town - Dagenham & Redbridge
Dagenham & Redbridge. 2.23

Dover Athletic - Maidstone United Fc
Dover Athletic. 1.53

Tranmere Rovers - Macclesfield Town
Tranmere Rovers. 1.76

Stake: 1000.00
Odds: 12802.56
Possible Return: 12802560.00
Tax 18%: - 2304279.90
Bonus: + 2304279.90
Total Return: 12802560.00

Hapo vepee wadau mchawi nani hapo tumtoe
 
na wewe mwenyew utafuatilia kwenye livescore kama timu zako zimeshinda ngap ktika 12 za mwazo so ukijua kama kati ya hizo 9 ama 10 na kuendelea mpaka 12 we una enda tu kwenye m bet result ya perfect 12 na kuangalia mgao wa siku maana kila siku mgao hutofautiana kulingana na washindi wa siku hiyo......
Thanks kwa hilo mkuu.
 
me nmeshashinda team 9 na pale wananiiandikia wimner lakin hela nliyotumiwa ni buku 2 na nmeshinda hvyo kama siku mbili hvi, lakin nmesikia kama ukishinda kwa series yaaan team ya kwanza badi ya tisa ukapatia ndo utapewa hyo figure ya milion lakin kama ni randomly utaishiwa kupoozwa na buk 2 kama mim
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom