Hilo kokoro linaitwa saka shimo,yapo menzie kibao hapa.

Hayo huwa sio ya kuyachungulia siku ya tukio bali siku moja baada ya tukio unaangalia balance tu kama kuna 6 digits au.:D:D
hakika mkuu. na hata kama timu moja ikichana hupaswi kulaumu sana. umeona eeh?
 
Thanx God for your charity,inplay imenipa kamtaji kaleo ambako nitatengeneza kokoro la dbc tu litakalomng'oa meno huyu manywele.
Pongezi zingine ni kile kitendo cha kuniarlet nisimpe win huyu wala over huyu SHEEVA.
Ila wakuu niwaase jambo moja juu ya mechi ya MAN CITY,kuwa kutoa over 2.5 ni kama tajiri kupenya tundu la sindano ili kuingia mbinguni japo anaweza akapenya,maana jana niliona kuna mtu anataka kuipa over 3.5

PIA ningeomba tuifanye ile kampeni ya Mr.wise ya kukusanya odds mbili tu ili tutengeneze pesa.
Mie nitazileta hivi punde wakuu.
 
pongezi mkuu kwa ushauri wako mujarabu.
 
Wadau mi mgeni kidogo wa mikeka.naomba msaada namna ya kubeti banko cep na namna ya kulipia.
 
Wakuu nimeamua kujilipua kama ifuatavyo pasipo kushinikizwa wala kushurutishwa na mtu yeyote...nataka kunenepesha kamtaji. Na liwalo liwe...kama kanji anakula hii ndoano, aimeze tu!
upload_2016-12-26_8-18-55.png
 
Team Odd Selection
ARSENAL 1.26 WIN 
MANCHESTER
UTD 1.20 WIN 
HULL CITY 1.30 LOSE 
ASTON VILLA 1.65 WIN 
NEWCASTLE 1.62 WIN 
OOSTENDE 1.40 WIN 
BOLTON 1.47 WIN 
CLUB BRUGGE 1.16 WIN 
umebeti kama mimi mkuu...ngoja tumsubiri kanji kama anakuja kuchukua chake, achukue tu.
 
Hii mechi ya Lakers ni shidaaaa... 1st quarter nimewapa over51.5 wametoa, quarter ya pili nikawapa over 51.5 wametoa... Nkaona sio ishu... Nawapa quarter ya 3 over 50.5 wameishia 50,doooooooooh.... Basi ya nne niwape over 51.5 dalili ni hawafiki... Mamaaaae..... Nimekula quarter mbili naliwa quarter mbili.... Bora ningelala tu
 
Back
Top Bottom