khalfan shaban
Senior Member
- Jan 1, 2013
- 110
- 55
Duh! Halaf timu alizoweka leo huwa hazitabiriki.me nmeshashinda team 9 na pale wananiiandikia wimner lakin hela nliyotumiwa ni buku 2 na nmeshinda hvyo kama siku mbili hvi, lakin nmesikia kama ukishinda kwa series yaaan team ya kwanza badi ya tisa ukapatia ndo utapewa hyo figure ya milion lakin kama ni randomly utaishiwa kupoozwa na buk 2 kama mim