Joninho
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 559
- 611
ok mkuu celew ni weke tim gani leokwa odds zao leo ni wa kuwaogopa alafu kule kamari nyingi na wameshinda game nyingi mfululizo wanaweza wakakuliza na vipoint vyao vidogo ni kuachana nao tu..
ok mkuu celew ni weke tim gani leokwa odds zao leo ni wa kuwaogopa alafu kule kamari nyingi na wameshinda game nyingi mfululizo wanaweza wakakuliza na vipoint vyao vidogo ni kuachana nao tu..
namtaman sana ila wadau wanadai leo ata win dah pasua kichw PSVKafa 3 juzi
Acha kubisha psv unajua kacheza lini hana hata siku 3 tokea apigwe
hakun alie bish mkuu swali lipo kwa leo jee atawin au atapigw tena?kwani kuna mtu kabisha kua psv hakupigwa?
pw pw mkuuKama unaweka mzigo wa maana iache
Club brugge vs Gent ni game ngumu sana.Kwa muhindi leo naweza kutusua set ni 10170
Club brugge vs gent nimempa gent
Bournemouth vs washika bunduk niwepa asernal
Wazee Wa daraj vs mashetan wekundu nimewapa man
Fc Porto nimempa vs arouca nimeampa Porto
Granada imewAalika real Madrid nimewafata wagen real Madrid
Ufaransa wenyej Marseille wana ugen ambao unaweza batilisha ule usem Wa kiswahili mcheza kwao utunzwa m nimeamua kuwapigia kura Paris saint German nimeweka jero imekuja 56800,wakaribishwa kuedit huku mkeka
Mkuu kama timu inakupasua kichwa achana nayonamtaman sana ila wadau wanadai leo ata win dah pasua kichw PSV
ok mkuuMkuu kama timu inakupasua kichwa achana nayo
Mwana hapo kwa chelsea na man u...ni either chelsea ashinde au droo bt sio man u kushindaClub brugge vs Gent ni game ngumu sana.
Hawa meridian wamekua magumashi sanaHii meridian inazingua balaa
Waitaliano hao na club brugge bado ni shida tuLeo nimeamua kuyapiga chini majina yote makubwa.Nimeamua kutoka kivingine:
RB Leipzig
FC St Pauli
Club Brugge
Sassuolo
Osasuna
All to win