Leo natok,Kihivyo
 

Attachments

  • 1454813718603.jpg
    1454813718603.jpg
    39.5 KB · Views: 27
Aliulizwa mara yako ya ngapi kubet kabla hajala hakujibu neno hata moja tulijua au kaiba su anaiga? au akiri sio sawa maana kumua man cty home kwel?
 
jamaa jana kapoteza 1.5 million kwa mkeka huo apo chini

bayern over 0.5 lost
dortmund over 0.5 lost

hii betting imekuwaje cku hizi
Tatizo la kubet kwa kufata jina la team linawaathiri watu wengi. H.Berlin vs Dortumnd mechi ilikua ngumu hata wadau wengi wa statistics walitabiri draw
 
labda game ilikuwa fixed na alijua.. inawezekana maana hivi karibuni mara nyng kunakuwa na matokeo ya ajabu sana na kusikitisha
Mkuu Leicester saiv wapo on fire hamna cha game kuwa fixed pale. Tatizo mnabetia majina. Msimu huu Leicester ni hatari. Hapigwi kizembe.
 
H
Na invest kwenye research ya betting kiujumla nikirud hawa mbwa popote duniani watakiona cha moto.. Majinga yananyoosha madevu tu kazi kutupiga kila siku.. matunda ya research ntayaanika hapahapa hata kama itachukua mwaka na zaidi.
Na invest kwenye research ya betting kiujumla nikirud hawa mbwa popote duniani watakiona cha moto.. Majinga yananyoosha madevu tu kazi kutupiga kila siku.. matunda ya research ntayaanika hapahapa hata kama itachukua mwaka na zaidi.
Mkuu pamoja.nami kuna option bado nazifanyia research
 
Kuna hii option nilikuwa naijaribu ya NB GG nime ibetwiki nzima sili wala siliwi nataka niibadilishie strategy toka juma mosi iliyopita nikila napigwa hivyo hivyo hadi sa hvile ipo vilevile
 
UNDER:
Ajax
Verona
Paek iraklis
Lille
Akhisar belediye
Club brugge
De Gracfchap
Sassuolo
Hamburger
Betis
Atromitos Athion
Bordeaux
Alaves
Mallonea
Independiente:
1000=1,170,000/=
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom