Kwa muhindi leo naweza kutusua set ni 10170
Club brugge vs gent nimempa gent
Bournemouth vs washika bunduk niwepa asernal
Wazee Wa daraj vs mashetan wekundu nimewapa man
Fc Porto nimempa vs arouca nimeampa Porto
Granada imewAalika real Madrid nimewafata wagen real Madrid
Ufaransa wenyej Marseille wana ugen ambao unaweza batilisha ule usem Wa kiswahili mcheza kwao utunzwa m nimeamua kuwapigia kura Paris saint German nimeweka jero imekuja 56800,wakaribishwa kuedit huku mkeka
 
Edit kwa man u mkuu
 
gemu iloyo pita kapigw 3 nyumban na huyoo anaechez nae

Ile game ilikua ya kombe la ligi kama unavyokua timu nyingi kwenye mashindano yale uwa aziweki vikosi imara, ukiangalia msimamo wa ligi hii game ni muhimu sana kwa psv mana wapo mbele kwa point 1 dhidi ya ajax na ukiangalia form ya utrecht ni mbovu si nzuli sana na kwenye ligi psv wapo form sana hata kwenye head2head psv anamgonga sana utrecht..
 
ok
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom