mkenda1000
Member
- Jul 27, 2010
- 85
- 0
Dr slaa the man of vission,mission and action,vote for him
matusi hayo, i am muslim
kwa hivyo tusiihusishe cuf na udini?
Nlishasahau kama Prof yupo anagombea..
Thanx BBC kwa kutukumbusha...
Kwani nani kakuzuia mkuu?hivi hatuna haki ya kujadiliu vyama vingine kila wakati chadema tu
Jana nilimsikia Mh. Lipumba kwamba Dk Slaa sio tishio ktk siasa, utishio wake unakuja kwenye magazeti na vyombo vya habari na sio kwenye ulingo wa kisiasa.
Alisema Chadema ni wazuri katika kumili vyombo vya habri na kuvilaumu vyombo hivyo kwa kutomuandika yeye. Alisema kuna TV moja tayari imepata amri kutoka kwa mmiliki kutomuonyesha yeye. sijui tv gani hiyo kwani jana nilimuona ktk tv ya itv na Star TV.
Alisema kujenga hoja kwenye ubunge sio sawa na mapambano kwenye irais, na hivyo Dk Slaa sio tishio kabisa kwa Jk na kwake.
kuhusu kuunganisha na kumuachia Dk Slaa alisema Dk Slaa kaibuka ghafla kwa hivyo kunamfaya hata kutokuwa na mgombea mwenza makini jambo linalomfanya kutokubali kumuachia yeye.
chadema kijiba hichooooooooooooo kichomoeni
http://www.malariasugu.blogspot.com/
source: mahojiano yake na bbc jana jioni