Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
ulipoona mbona hukununua? ungenunua ukasoma mwenyewe
malaria sugu hata Tshs. 400 ya kununua gazeti la uhuru huna, duh inadhihirisha bei yako ilivyo chini na unavyotumika kwa bei chee, pengine bure.
Jana nilimsikia Mh. Lipumba kwamba Dk Slaa sio tishio ktk siasa, utishio wake unakuja kwenye magazeti na vyombo vya habari na sio kwenye ulingo wa kisiasa.
Alisema Chadema ni wazuri katika kumili vyombo vya habri na kuvilaumu vyombo hivyo kwa kutomuandika yeye. Alisema kuna TV moja tayari imepata amri kutoka kwa mmiliki kutomuonyesha yeye. sijui tv gani hiyo kwani jana nilimuona ktk tv ya itv na Star TV.
Alisema kujenga hoja kwenye ubunge sio sawa na mapambano kwenye irais, na hivyo Dk Slaa sio tishio kabisa kwa Jk na kwake.
kuhusu kuunganisha na kumuachia Dk Slaa alisema Dk Slaa kaibuka ghafla kwa hivyo kunamfaya hata kutokuwa na mgombea mwenza makini jambo linalomfanya kutokubali kumuachia yeye.
chadema kijiba hichooooooooooooo kichomoeni
http://www.malariasugu.blogspot.com/
source: mahojiano yake na bbc jana jioni
mimi mtanzania maskini, napigania uhuru wangu
Lipumba toka lini akaweza kupambana na Slaa?Hapo anajaribu tu kuwateka watu maana hakuna anyemuongelea yeye kutokana na watu kumchoka.Amwache huru mwenzie ambaye nyota yake inang'aa kwa sasa na akubali ukweli kwamba kwa Tanzania bara CUF hawatopata hata jimbo moja sembuse huo urais anaoutakaJana nilimsikia Mh. Lipumba kwamba Dk Slaa sio tishio ktk siasa, utishio wake unakuja kwenye magazeti na vyombo vya habari na sio kwenye ulingo wa kisiasa.