Bila CHADEMA kushiriki, Chaguzi za Tanzania zitaendelea kuwa vichekesho na vituko vitupu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,707
218,255
Taarifa zinaonyesha kwamba Nchini Tanzania leo zinafanyika Chaguzi kadhaa, za marudio, kutokana na nafasi kadhaa kuwa wazi, kwa sababu ya vifo pamoja na mambo mengine yaliyowatokea waliokuwepo.

Eti unaambiwa kabla ya chaguzi hizo kulikuwa na mikutano ya kampeni , hivi kuna mmoja wenu ameona au kusikia kampeni hizo?

Hakika Tanzania hakuwezi kuwa na Uchaguzi bila Chadema , Wallah Wabhillah !
 
Taarifa zinaonyesha kwamba Nchini Tanzania leo zinafanyika Chaguzi kadhaa ,za marudio , kutokana na nafasi kadhaa kuwa wazi , kwa sababu ya vifo pamoja na mambo mengine yaliyowatokea waliokuwepo .

Eti unaambiwa kabla ya chaguzi hizo kulikuwa na mikutano ya kampeni , hivi kuna mmoja wenu ameona au kusikia kampeni hizo ?

Hakika Tanzania hakuwezi kuwa na Uchaguzi bila Chadema , Wallah Wabhillah !
Na hakika itakuwa maonyesho ya ujuha wa kitanzania 😀
 
Eti unaambiwa kabla ya chaguzi hizo kulikuwa na mikutano ya kampeni , hivi kuna mmoja wenu ameona au kusikia kampeni hizo ?

CHADEMA mmekuwa hapa na kampeni zenu za kufukuzana na kaburi weeee!

Sasa mnataka kutulaghai kwamba kulikuwa hakuna taarifa...? wakati ni wazi mlikuwa nazo na mkazifunika, mkachagua propaganda za vinyongo na uhasama, nyie mlipaswa kuwaelimisha Wananchi na masuala ya Uchaguzi mkachagua kampeni za maji taka!

Hamchaguliki
 
Huu uchafu chadema ilishaupuuza kitambo tu
 
Taarifa zinaonyesha kwamba Nchini Tanzania leo zinafanyika Chaguzi kadhaa, za marudio, kutokana na nafasi kadhaa kuwa wazi, kwa sababu ya vifo pamoja na mambo mengine yaliyowatokea waliokuwepo.

Eti unaambiwa kabla ya chaguzi hizo kulikuwa na mikutano ya kampeni , hivi kuna mmoja wenu ameona au kusikia kampeni hizo?

Hakika Tanzania hakuwezi kuwa na Uchaguzi bila Chadema , Wallah Wabhillah !
Mmeshindwa kushika bomba mpaka mwanza kibaha tu mmeomba siti ruzuku haijawahi muacha mtu salama!
 
Chaguzi za za marudio bila Chadema kushiriki ni kama comedy tu hakuna anayejali hata kama kuna tuvyama mamluki tungeshiriki kwa kupenda au kuahidiwa kitu na watawala
 
Taarifa zinaonyesha kwamba Nchini Tanzania leo zinafanyika Chaguzi kadhaa, za marudio, kutokana na nafasi kadhaa kuwa wazi, kwa sababu ya vifo pamoja na mambo mengine yaliyowatokea waliokuwepo.

Eti unaambiwa kabla ya chaguzi hizo kulikuwa na mikutano ya kampeni , hivi kuna mmoja wenu ameona au kusikia kampeni hizo?

Hakika Tanzania hakuwezi kuwa na Uchaguzi bila Chadema , Wallah Wabhillah !
Sawa lakini,

Tunaendelea na msimamo wa hakuna uchaguzi mpya Hadi katiba mpya ipatikane au tumefika bei nusu mkate!!?
 
Huu uchafu chadema ilishaupuuza kitambo tu
Basi ni wazi hamna mnachouliza.
Subirini nusu mkate-Boflo la asali na mchuzi wa nyama mbusi-ifikapo 2025 unaibu Wizara mbili tatu ukatibu mkuu na wabunge wa kuteuliwa.

Kwishney

Uzeni sera, hamaaisheni na kuongeza elimu kwa wapiga kura.

vita za makaburi muwaachie wenye imani zao
 
Back
Top Bottom