Viongozi wa CHADEMA wanaelekea Monduli kumzika Lowassa, Watavalia Magwanda kwa sababu Edward alivaa gwanda akiwa Upinzani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,984
142,000
Ndio Taarifa zilizopo hapa Arusha Mjini ambapo safari ya Viongozi hao wakuu wanaotokea Mwanza inaratibiwa

Chadema Arusha wamewashukuru Wana Mwanza kwa kumuenzi Lowassa kwa nyomi ya kihistoria siku ya jana.

Ikumbukwe hakunaga Mwanasiasa yeyote aliyewahi kuvijaza viwanja vya Jangwani na njia zote kufungwa kama Laigwanani Edward Lowassa Wakati anafunga kampeni za 2015.

Inadaiwa hata Liprofeseri ameomba avae Gwanda kumuenzi Lowassa kwani aliwapa Wabunge wengi sana 2015.
 
IMG_9566.jpg

Huyu alikuwa mwamba haswa!Tumepoteza jembe lingine kwa kweli
 
Back
Top Bottom