Kwa hii PA ya leo kuhusu maandamano, hamna mtu ambaye atasema hakusikia

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,483
20,434
Baada ya maandamano ya Chadema Dar kushindwa kufana kama ilivyotakiwa, sababu kubwa ilisemwa ni taarifa kushindwa kuwafikia wananchi kwa wakati.

Hili tatizo haliwezi kujitokeza tena Mwanza, maana magari yamezunguka Mwanza nzima kutoa taarifa. Kila baada ya saa moja kulikuwa na gari linapita likiwa na taarifa ya kila kitu kuanzia mahali, saa,route na viongozi watakaokuwepo.

Ikitokea maandamano na haya yakafeli tena sababu haitakuwa department ' habari' Chadema.

Itakuwa ni upungufu wa ushawishi Chadema.
 
Wrong timing, siku za kazi ngumu kufanikiwa, labda kwa wale waliosafirishwa kwa mabasi kutoka Kagera, Mara, Simiyu,Shinyanga, Tabora na Singida. Nawaona hapa mwanza wanagawana hela kwenye mahoteli na gesti, halafu wanasaini, kila kikundi na kiongozi wake akiwa na kiroba cha pesa.

Sasa sijui kwa nini maandamano mtu alipwe

Proper timing ni ijumamosi
 
Tupia picha hizi ni zama za technologia. Ukisema bila picha tunawezasema mwongo
 
Wrong timing, siku za kazi ngumu kufanikiwa, labda kwa wale waliosafirishwa kwa mabasi kutoka Kagera, Mara, Simiyu,Shinyanga, Tabora na Singida. Nawaona hapa mwanza wanagawana hela kwenye mahoteli na gesti, halafu wanasaini, kila kikundi na kiongozi wake akiwa na kiroba cha pesa.

Sasa sijui kwa nini maandamano mtu alipwe

Proper timing ni ijumamosi
Ila si mlisema CHADEMA hawana pesa, sasa hizo za kugawa wanazitoa wapi?
 
Back
Top Bottom