PJ na Hando ni watangazaji wenye I.Q kubwa sana

donga

JF-Expert Member
Sep 13, 2017
2,475
4,926
Aise kwangu mimi
PJ kutoka clouds FM na Gerald Hando kutoka Wasafi Media hawa watu huchoki kuwasikiliza wana madini,
● Wazuri katika uwasilishaji wa mambo magumu katika lugha rahisi
● Wachambuzi wazuri hasa wa habari ngumu za kisiasa
● Pia wana kaliba km ya uongozi hivi
 
Vyombo vyote Tz vya habari but hapa tunaongelea mtu sio taasisi
Hando, Zembwela na Kitenge walipigia debe sana mkataba wa DPW upitishwe

PJ anapata wapi nafasi ya kujadili na kuchambua mambo mazito na wakati yuko kwenye media ya machawa wa CCM

Atleast Masoud Kipanya
 
Hando, Zembwela na Kitenge walipigia debe sana mkataba wa DPW upitishwe

PJ anapata wapi nafasi ya kujadili na kuchambua mambo mazito na wakati yuko kwenye media ya machawa wa CCM

Atleast Masoud Kipanya
Elewa sifa binafsi
Hata CCM kuna watu wazuri personal mmoja mmoja..

Rudia tena kuwaangalia au kuwasikiliza
 
Back
Top Bottom