uviko-19

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bahati93

    Watanzania tubadilike tulifeli pakubwa kwenye drill ya UVIKO-19

    Yajayo yanaogyofya, Dunia nzima mwaka 2019 ilifanya Drill ya kupima utayari wa nchi kukabiliana wa virusi. Tanzania kama mojawapo ya nchi ilipuuzia kwa kiwango kikubwa Drill hio. Hali hii inafanya watanzania kutokuwa watiifu kwa mamlaka husika endapo watapewa tahadhari juu ya ujio wa janga...
  2. A

    DOKEZO Waziri Ummy sisi Watumishi tuliohudumia Wagonjwa wa UVIKO-19 Amana Hospital hatujalipwa posho mpaka leo

    Nadhani mnakumbuka Hospitali ya Amana ilishiriki kuhudumia Wagonjwa wa COVID-19 hiyo ilikuwa kuanzia Mwaka 2020, sasa katika ile kazi kulikuwa kuna posho ambayo Watumishi na Vibarua ilitakiwa tupewe. Makubaliano ya awali yalikuwa kulipwa Shilingi 50,000 kwa siku japo baadaye walishusha hadi...
  3. GENTAMYCINE

    #COVID19 Mnaotishia watu wanaotaka kupata Chanjo ya UVIKO-19 mna shida vichwani mwenu

    Kabla ya kuchanja rasmi leo Chanjo yangu ya UVIKO-19 aina ya J&J nilijaribu kuwataarifu watu kadhaa, ila cha kushangaza wote waliishia kunitishia huku wengine waitaka ninunue kile cheti cha uthibitisho wa kupata chanjo kwa Tsh 30,000/= ila nisichanje kabisa, ila nikawakatalia na kuamua kuchanja...
  4. BARD AI

    Ripoti ya CAG 2021/22: Hizi ndio Wizara 5 zilizofanya ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 212 za UVIKO-19

    Ripoti hiyo ya CAG imeibua hoja nyingi zinazoonyesha matumizi mabaya ya fedha hizo zilizopelekwa kwenye wizara mbalimbali za serikali (Afya, Elimu, Utalii, Maji na Watu wenye Ulemavu). Jumla ya thamani ya hoja zote za ukaguzi zinazoashiria kuwepo kwa matumizi mabaya zinathamani ya Shilingi...
  5. O

    CAG abainisha madudu fedha za Uviko-19

    Moshi. Ripoti ya ukaguzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika fedha za Uviko-19 imebainisha madudu kadhaa, ikiwemo kwamba bidhaa zenye thamani ya zaidi ya Sh50 bilioni zilizolipiwa fedha hazijapokewa. Septemba 7, 2021 Tanzania ilipokea mkopo wenye masharti nafuu wa...
  6. MoseKing

    Idara ya afya Wilaya ya Rombo imegeuka Kikosi kazi cha kumwaga Chanjo za UVIKO-19, kupika majina ya watu kuwa wamechanja

    This is Tanzania. Yaliyoendelea, yanayoendelea yanasikitisha. Umeona takwimu za chanjo ya UVIKO-19 kuwa 86% ya Watanzania Wamechanja 😅 Kwa sample ndogo ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo kazi iliyokuwa inafanyika inasikitisha. Vials za chanjo za UVIKO-19 zimemwagwa sana kwa kushirikiana na...
  7. K

    Miaka miwili ya Rais Samia alifanya maamuzi ya busara kuruhusu chanjo ya UVIKO-19

    Ikiwa ni miaka miwili tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani kuna mengi ameyafanya lakini kuruhusu chanjo ya UVIKO-19 nchini na yeye kuwa wa kwanza kuchoma chanjo mbele ya watanzania wote yalikua ni maamuzi ya busara na ujasiri. Ilionyesha jinsi gani yeye ni kiongozi kwenye chochote...
  8. BARD AI

    Serikali yakiri uzembe kwenye utoaji Chanjo za Magonjwa mengine baada ya kutokea UVIKO-19

    Wizara ya Afya imebaini kuwepo uzembe katika utoaji wa Chanjo za Magonjwa kutokana na Serikali kuwekeza nguvu kubwa katika Chanjo ya #UVIKO19 na kusahau Chanjo za magonjwa mengine. Waziri wa Afya #UmmyMwalimu, Amesema hali hiyo imeleta madhara makubwa kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa #Surua na...
  9. chizcom

    #COVID19 Awamu ya Tano ilituaminisha kuwa Mungu kaondoa Uviko-19 ili tufarijike

    Kiukweli uviko 19 au corona ilitikisa dunia na kufikia kupoteza watu wengi. Kipindi cha mwendazake kutuambia mungu kaondoa uviko 19 baada ya kuomba mimi kwangu nililipa asilimia 2%. Uviko 19 nchi zilizokumbwa ulivua nguo sekta za afya nyingi tena hizi za serikali. Kuna mda mwengine tulikubari...
  10. JanguKamaJangu

    China yasema Watu 60,000 wamefariki kwa UVIKO-19 ndani ya mwezi mmoja

    China imetoa ripoti ikieleza vifo vilivyorekodiwa kuwa ni 59,938 kati ya Desemba 8, 2022 hadi Januari 12, 2023 ambapo wengi waliofariki ni wenye umri wa miaka 80 waliokuwa na matatizo ya upumuaji. Inadaiwa takwimu kamili ya vifo inaweza kuwa kubwa kwa kuwa zilizotolewa ni zile ambazo...
  11. JanguKamaJangu

    #COVID19 China yazuia visa za wasafiri kutoka Korea Kusini, Japan sababu ya UVIKO-19

    Imechukua uamuzi huo ambao utaendelea hadi vikwazo walivyoita vya ‘kibaguzi’ dhidi ya Wachina wanaotaka kuingia katika Nchi hizo vitakapoondolewa. Japan na Korea Kusini ni baadhi ya mataifa ambayo yameweka vikwazo dhidi ya wasafiri wanaotoka China kutokana na taifa hilo kulegeza msharti ya...
  12. Rashda Zunde

    Matunda ya fedha za Uviko-19

    Wakati Shirika la Fedha Duniani (IMF) likitoa fedha shilingi trilioni 1.3 kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa virusi vya Korona, matumizi yake nchini Tanzania yalikua ya tofauti jambo lililoibua mijadala kwenye makundi mbalimbali wakihoji uamuzi uliochukuliwa na Rais Samia Suluhu. Rais Samia...
  13. JanguKamaJangu

    China yafungia akaunti za mitandao ya kijamii zinazokosoa sera ya UVIKO-19

    Zaidi ya akaunti 1,000 baadhi zikiwa na wafuasi zaidi ya milioni zimefungiwa kwa kuonekana zinaikosoa Serikali katika mkakati wake unaoendelea kuhusu maambukizi ya ugonjwa huo. Hivi karibuni China ililegeza masharti ya wasafiri kuhusu tahadhari za ugonjwa huo na inadaiwa imechangia kuongezeka...
  14. JanguKamaJangu

    #COVID19 China: Vifo vya watu maarufu vyaongeza taharuki kuhusu UVIKO-19

    Wakati China ikiendelea na msimamo wake wa kulegeza masharti ya tahadhari ya UVIKO-19 kwa wasafiri, upande wa pili vifo hivyo vimeendeleza maswali kuhusu uhalisia wa maambukizi ya virusi ilivyo Nchini humo. Baada ya kifo cha mwanamuziki Chu Lanlan (40), hivi karibuni, familia ya msanii huyo...
  15. L

    Neema kubwa yaanza kuonekana baada ya China kufunguliwa na kulegeza kanuni za UVIKO-19

    Mwaka mpya wa 2023 umekuwa mzuri na wa neema hapa nchini China kwani kuanzia tarehe 8 Januari milango yote ya China inafunguliwa na kuruhusu wageni na wenyeji kuingia na kutoka China, hii ikiwa ni hatua ya kulegeza kanuni zote za UVIKO-19, ambazo zilisababisha nchi kufungwa tangu virusi vya...
  16. JanguKamaJangu

    WHO yaitaka China kutoa takwimu za UVIKO-19

    Tamko hilo la Shirika la Afya (WHO) limetolewa baada ya Nchi kadhaa kuanza kuweka vikwazo na masharti mapya kwa wasafiri wanaotoka China hivi karibuni. WHO wamesema wanahitaji kujua takwimu za waliolazwa, walio katika hali mbaya, vifo na matumizi ya chanjo, hiyo ni baada ya China kuamua...
  17. Roving Journalist

    #COVID19 Jukwaa la Wahariri lawapa Tuzo Waandishi wa Habari za Watoto na walioripoti UVIKO-19

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limetangaza kampeni ya kutoa elimu kwa waandishi ya namna ya kuhamasisha jamii kutoa maoni yao kupinga ndoa za utotoni. Akizungumza katika hafla ya kutoa Tuzo kwa Waandishi wa habari za Watoto, pamoja na mambo mengine Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile amesema...
  18. BARD AI

    Wizara ya Afya: Kuna ongezeko la kasi la UVIKO-19 nchini

    Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya zimeonesha ongezeko la wagonjwa wa Uviko-19 nchini kutoka asilimia 4.1 hadi asilimia 5.5. Takwimu za wiki ya kwanza ya Novemba 2022 zinaonesha kati ya watu 1,154 waliopima Uviko-19, waliokuwa wanaugua ni 47, huku takwimu za wiki ya pili zikionesha kati ya...
  19. BARD AI

    Waliopata chanjo ya Uviko-19 Dar yafikia milioni 3.4

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema hadi sasa idadi ya waliochanja chanjo ya Uviko-19 katika mkoa huo ni milioni 3.4. Makalla ameyaeleza hayo leo Jumamosi Novemba 27, 2022 baada ya matembezi ya hiari yaliyoandaliwa na Huduma za Afya Aga Khan Tanzania (AKHS, T) kwa kushirikiana...
  20. JanguKamaJangu

    #COVID19 China: Maambukizi ya UVIKO-19 yarejea kwa kasi

    Takwimu zimeonesha kuwa China imerekodi maambukizi mengi zaidi kuwahi kutokea tangu mlipuko wa virusi hivyo ulivyotokea, majiji ya Beijing na Guangzhou yakiwa vinara kwa walioambukizwa. Hadi kufikia Novemba 23, 2022 walioambukizwa ni 31,527 wakati rekodi ya mwisho kwa idadi kubwa ilikuwa ni...
Back
Top Bottom