tandale

Tandale is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 45,058.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    Jerry Silaa, mbona hututembelei Manzese na Tandale, au kwa Mpalange unapita pita maeneo ya matajiri tu, hatukuoni vijijini!

    Najua kwamba katika moja ya mambo ambayo SSH alitilia mkazo, ni ile migogoro yenye sura ya kitaifa, vijiji na hifadhi za taifa, vijiji na mapori, maeneo ya serikali na wananchi, na mengine kama hayo, akaunda kamati ya kitaifa ya mawaziri. Mbona ndugu Silaa hajihusishi na hayo ambayo SSH...
  2. chiembe

    Mafuriko Dar es Salaam: liko wapi ziwa Mwananyamala, Ziwa Tandale na ziwa Magomeni?

    Wakati tunajadili mafuriko, pia tujipe tafakari ya Dar es salaam ilivyopaswa kuwa na sisi tumeenda kinyume na hali ya mazingira kwa kiasi gani. Ninaamini mito inayotoka maeneo mbalimbali ukanda wa pwani inaamini bado haya maeneo ya maziwa yapo, hivyo mito hiyo inaleta maji ziwani. Tunashangaa...
  3. T

    Goba ni uswazi iliyochangamka ni Manzese ama Tandale ya miaka 30 ijayo

    Wikiendi iliyopita, Jumamosi na Jumapili nilipata wasaa wa kutembea Goba kwa sehemu kubwa kwa sababu nilikua na ndugu yangu ambae katoka huko mkoani anataka kiwanja na kujenga Dar. Ndugu yangu kafika hapa tayari alishachagua eneo analolitaka kua ni Goba, basi tukatafta madalali na kuanza...
  4. John Haramba

    Kingatiba ya Mabusha na Matende yatolewa Dar, Kata ya Tandale yaongoza kwa maambukizi

    Zaidi ya wananchi milioni nne wa Dar es Salaam katika Halmashauri za Temeke, Kinondoni na Ilala kuanzia wenye umri wa miaka mitano wameanza kupatiwa tibakinga dhidi ya ugonjwa wa matende na mabusha kuanzia Kata ya Tandale ambayo ina idadi kubwa ya wagonjwa kwa Manispaa ya Kinondoni. Kauli hiyo...
  5. britanicca

    Hivi unamjua huyo Eruc Oslon? Ambaye wa Rusi wa Tandale wanasema ni Mjeshi wa NATO alokamatwa Ukraine? Ni uongo Huyo jamaa ni ;

    Mwanajamvi . Hivi unamjua huyo Eric Oslon Ambaye wa Rusi wa Tandale wanasema ni Mjeshi wa NATO alokamatwa Ukraine? Ni uongo Huyo jamaa ni ; - four star General, halafu was the tallest in the Navy SEAL (wakati huyo hapo mbele ya hao Russians andunjes anaoneka mufti - Olson anajulikana zaidi...
  6. FRANCIS DA DON

    Leo Mlimani city imekuwa kama Tandale kwa mfuga mbwa, nyie wenzetu hamna ustaarabu?

    Taka zimetapakaa hovyo kila sehemu wakati dustbin zipo, watu wamekaa hovyo hovyo kama wapo kijiweni, yaani pako hovyo hovyo...
  7. Sky Eclat

    Mwenyekiti wa tawi la ACT wazalendo Tandale pamoja na wanachama wote watangaza kujitoa katika chama hicho

    Mwenyekiti wa Tawi la ACT Wazalendo la CMILICAN Kata ya Tandale, Said Omary Tengeneza, Kinondoni, pamoja na wanachama wake wote wamejiondoa rasmi ndani ya Chama hicho kupitia kikao Cha pamoja baada ya kufanya tathimini ya mwenendo wa viongozi wakuu wa Chama hicho
  8. mgt software

    Tulikotoka: Hamisa Mobetto akimaliza Masomo yake Kidato cha Nne Tandale Sekondari

    Wana JF Napenda kuona mpambanaji HM anavyochanja mbuga kuliko watoto wa ushuani, mtoto huyu kipindi cha nyuma alipotoka shule zote Saint Kayumba Tandika Secondary. Ona sasa anavyoizingua dunia, kupata mchumba mwenye hadhi duniani sio mchezo.
  9. M

    Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa

    Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa (Mkuu wa Jopo la Mawakili) wa hovyo hovyo waliojitutumua Kupambana na Wakili Msomi Mmoja tu Raia wa Ghana huko CAS Bernard Morrison na leo Kawaumbua. Kuna Wakili Msomi Mmoja (tena Mwandamizi tu) aliwahi kunipa Takwimu za Kesi...
  10. Amina68

    SoC01 Manka binti mrembo, Mzaliwa wa Machame na mkazi wa Tandale alivyobahatika kuacha ukahaba mpaka kuwa dereva Ikulu

    Kwa majina naitwa Manka, Mzaliwa wa Moshi Machame, mkazi wa Tandale Dar es salaam. Nilifanikiwa kuanza masomo yangu ya msingi Dar, na kufanikiwa kujiunga masomo ya Sekondari shule wanafunzi wenye vipaji maalumu Tabora Girls, ambapo nilisoma mpaka kidato cha nne, na kufanikiwa pia kuendelea na...
  11. Mr Dudumizi

    Kati ya Tandale na Manzese ni wapi unapoweza kuchagua kuishi?

    Mmeshindaje ndugu zangu. Ikitokea ukaambiwa uchague sehemu moja ya kuishi kati ya Tandale na Manzese ni wapi utapokuwa tayari kwenda kuishi? Na kwanini? Pia ningependa mtu au watu waeleze utofauti wa sehem hizo mbili ki miundo mbinu, kimazingira, kibiashara na pia sehem inayoongoza kwa kuwa na...
  12. Kigoma Independent

    WCB wapewe heshima kwa kuandaa albums za viwango: A boy from Tandale, sound from Africa na sasa definition of love

    Habarini Wana Jamvi Inatakiwa ifike sehemu watanzania na Wana JamiiForums celebrity waipe heshima kubwa sana WCB kwa kuendelea kutoa ALBUMS Kali na zenye viwango vya juu sana. WCB ikiwa kama label namba moja AFRICA na isiyokuwa na mpinzani kwa sasa maana wanigeria wameshainyoshea mikono...
Back
Top Bottom