Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 421
- 1,583
Boss ashampoo niliyumba kibiashara hapo kati kati mimi miaka mingi toka 2013 nakaa posta tu kisutu. Baada ya kuyumba kidogo nikahamia uswahilini nje ya mji, pia niliwapa story ya shemeji yenu kunikimbia.
Kiukweli mimi nilizaliwa familia flani ya kati, sio ushua wala umasikinini. Baada ya kuingia chuo nikawa mshua mwenyewe sasa niliwapa story kuwa nilishika hela nikiwa na 22 tayari nilikuwa na million 100 na ushenzi, sasa basi maisha yangu mengi ya ujana nimekaa posta kisutu apartments za mitaa ile sijawahi kaa nje ya mji.
Sasa baada biashara zangu kuyumba nikahamia nje ya mji kwenye sehemu nusu uswazi nusu ushuani.
Kiukweli maisha haya ni mazuri sana no stress, huku jamani kuna vikuku vya kienyeji nikitumia laki baa kwa mkupuo vinashangaa basi na mimi nashangaa kuwa watu wanaisha maisha ya kawaida huwa inakuaje ila ndo hivyo kiukweli nikihonga 50000 tu vitoto vinashangaa, najilia tu sema na condom.
Kiukweli mimi mwenyewe nashangaa jinsi kuku wa kienyeji wanavyonitunuku boss ashampoo mtoto wa mjini.
Shida za kuku za kienyeji sio romantic sana pia haziwe kuvaa kisasa.
Sikuwahi ishi uswazi na hapa nakaa sio uswazi ni nusu uswazi.
Je, huko uswahili original kama mbagala hali ikoje? Comment!