ushuru

  1. A

    Ushuru wa kutoa gari aina ya IST bandarini ni bei gani?

    Habarini wana jamvi naombeni kujua gharama za kutoa gari aina ya Toyota ist badarini baada ya kuwa nimelipa kodi ya TRA, kuna tozo gani nyingine za ziada na bei zake zikoje?
  2. World Logistics Company

    Ushauri: Usiagize chochote nje ya nchi bila kujua gharama halisi za kodi na ushuru utakaolipia

    Moja ya changamoto kubwa wanayokutana nayo wateja wetu ni kuagiza bidhaa kwa njia ya mtandao halafu kukutana na kodi/ushuru mkubwa wa kutoa mzigo pale Bandarini, Uwanja wa Ndege au mipakani. Bei za viwandani (supplier) zinazowekwa mitandaoni huwa ni rahisi na zinavutia kuagiza. Mfano bei za...
  3. buffalo44

    Naomba kujua ushuru wa yeboyebo na viatu ukiagiza toka China

    Hello wakuu. Naomba kujua ushuru wa yeboyebo na viatu ukiagiza toka China. Import duty ya bidhaa aina hizo. Nitashukuru sana.
  4. Shujaa Mwendazake

    Amos Makalla: Hakuna kulipa ushuru kwa miezi miwili, hicho ndio kifuta machozi kwa wahanga wa soko la Kariakoo

    "Nitoe wito kwa wale wanaowapokea kwenye masoko, kwamba utaratibu ni ule ule wale ambao wametoka Kariakoo, wakiratibiwa wakifika maeneo hayo hakuna kulipa ushuru kwa miezi miwili, na hicho ndio kifuta machozi kwa wale walioathirika" - RC Dar es Salaam, Amos Makalla
  5. Shujaa Mwendazake

    Waziri wa Fedha: Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’

    Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’, “hili ni eneo jipya ambalo tunalifanyia kazi, katika bajeti zinazofuata litakuwa ingizo jipya. Mataifa mengi yanageukia kodi hii.” Kazi na iendelee!
  6. mirindimo

    Mnashusha ushuru wa betting na pombe mnaongeza ushuru wa mafuta!

    Mnataka baba zetu waendelee kubet sio? Wahamie kabisa na mashuka na magodoro? Hii nchi hii yaani kuna mtu yuko bungeni kimkakati kuhakikisha betting hata inafutiwa ushuru, mwingine yeye ahakikishe pombeee pombeee zinakaa pazuri shida za wananchi na kero zao acha wafie mbali. Aiseee we are finished
  7. Scolari

    Msaada kuhusu ushuru TRA

    Je hiyo amount iliyowekwa hapo ambayo imeeleza kuhusu clearing na forwarding ni tofauti na ile ya TRA? Maana yake ukitoka hapo ndio unaenda TRA tena? Mungu tusaidie sisi watanzania wenye ndoto za kumiliki magari.
  8. KIMOMWEMOTORS

    Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
  9. GeoMex

    Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

    Inafurahisha kwakweli hii ndio Tanzania tunayoitaka. Gari sio anasa,gari ni chombo muhimu kurahisisha shughuli za kiuchumi. Naomba na marekebisho mengine kwenye kodi yawe hivi hivi. Hii ni Ford Ranger kabla ya mwezi March. Mabadiliko kidogo yalifanyika lakini yana unafuu mkubwa. Hii hapa...
  10. J

    Baada ya hayati Magufuli kuzikwa, Halmashauri ya Handeni wapandisha ushuru wa mifugo, wafugaji wamlilia Rais Samia awasaidie

    Ikiwa ni siku moja tu baada ya hayati Magufuli kuzikwa halmashauri ya wilaya ya Handeni imepandisha ushuru wa mauzo ya mifugo mnadani kuwa sh 3000 kwa mfugo mmoja iwe umeuza au haujauza ilmradi tu umefika mnadani. Wafugaji wameiona hiyo ni kama hujuma kwa Rais mpya hivyo wamemuomba Rais Samia...
  11. RRONDO

    MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

    Baada ya kusikia watu wengi 'wakiumizwa' na 'kupigwa' wakiwa kwenye harakati za kutafuta usafiri uliotumika nchini, nimeona sio mbaya nikitoa ushauri ni jinsi gani unaweza kuepuka majanga kwenye zoezi hilo. Naandika kama mnunuzi au muuzaji wa aina hio ya magari, kwahio siegemei upande wowote na...
  12. Lameckjr

    Ushuru wa Mazao

    Habari wana jamvi!!! MH rais amekuwa akisisitiza kuwa mkulima anapaswa atozwe ushuru na mamlaka husika ikiwa tu amebeba mzigo unaozidi Tani moja!! Lakini Mbona tunaendelea kutozwa tu na Mamlaka husika!! Mfano mimi nasafirisha viazi ulaya kutoka mbeya kwenda mwanza kila Gunia natozwa 2000...
  13. J

    Lukuvi tembelea na Ununio beach kuna ushuru unatozwa kuanzia Halima Mdee alipokuwa Mbunge

    Nisiongee mengi tembelea tu wewe mwenyewe mh waziri Lukuvi utagundua hapo Coco beach ni " cha mtoto" Yaani ni mwendo wa ushuru tu, ukiingia na gari ushuru, ukitaka kupiga picha ushuru yaani ni full ushuru. Maendeleo hayana vyama.
  14. V

    Mliotuma CV Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kazi ya ushuru, mmeshaitwa?

    Imepita wiki sasa baada ya Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kufunga pazia la kupokea maombi ya kazi ya ukusanyaji ushuru je, kuna mtu alishaitwa au connection ni muhimu pia.
  15. Analogia Malenga

    TRA yafafanua ongezeko la ushuru wa magari

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetolea ufafanuzi taarifa juu ya kupanda kwa gharama za kodi za magari yaliyotumika yanayoingia nchini. Ufafanuzi huo umekuja wakati kukiwa na malalamiko ya wafanyabiashara ya magari wakidai kuwepo kwa ongezeko la kodi za magari ya mitumba. Taarifa ya TRA...
  16. Miss Zomboko

    Wanaofanya biashara mtandaoni waanza kutozwa ushuru

    Kuanzia mwezi huu biashara za mtandaoni zitatozwa ushuru wa aslimia 1.5 kutokana na shughuli hizo za kidijitali. Kwenye taarifa mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini-KRA imesema kuwa sheria ya mwaka 2020 ilianzisha aina mpya ya ushuru wa kidijitali-DST ambao ulianza kutozwa tarehe Mosi mwaka...
  17. Guantanamoh

    Kodi, ushuru na tozo za Tanzanua ni kero kubwa

    Tanzania yetu hii Mungu atusaidie tufanye kazi kwa pamoja tukishirikiana vizuri na vyombo vya mamlaka.
  18. J

    Waziri Jaffo hao Wakurugenzi walikuwa wanasimamia uchaguzi, huo ushuru wangekusanya muda gani? Usiwafute kazi tafadhali!

    Tunakumbushana tu waziri wa Tamisemi Mh Jaffo kwamba 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na hao wakurugenzi ni wasimamizi wa uchaguzi. Kusema kwamba wasipofikisha 50% ya lengo la makusanyo ya mwaka ifikapo Devember 31 wajitathmini kama wanatosha kubaki ofisini ama uwatimue ni kuwaonea bure. Kwa...
  19. Miss Zomboko

    Namibia: Serikali yafuta riba ya ushuru kwa asilimia 95 kutokana na athari za janga la CoronaVirus

    Wizara ya Fedha ya Namibia imepanga kufuta asilimia 95 ya riba zilizopo, na kubatilisha adhabu zote kwa walipa kodi ambao watalipa gharama zote ndani ya miezi 3 kuanzia Februari 2021 Msamaha huo unakusudia kuwasaidia raia wa Namibia na Wafanyabiashara wanaokabiliwa na matatizo ya Kiuchumi...
  20. IAfrika

    Njama ya wanaokwepa kulipa ushuru Kenya kupitia Namanga kutoka bandari za Tazania watibuliwa

    The country is losing millions of shillings daily in a tax evasion scheme between Kenya Revenue Authorities employees and crafty importers. And as Sam Ogina reports importers and KRA officials at the Namanga border are now using fake import declaration forms to fraudulently allow trucks from...
Back
Top Bottom