ushuru

  1. Gotze Giyani

    Serikali kuanza kutoza ushuru wa bidhaa wa 5% kwenye magari yenye uwezo wa injini kati ya 1,000CC-2,000CC

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaanza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia tano kwenye magari yenye uwezo wa injini (Engine Capacity) wa kati ya 1,000 CC hadi 2,000CC. “Ushuru huo utatozwa ili kuwianisha na magari mengine yenye ukubwa unaofanana...
  2. Suley2019

    Dkt. Mwigulu: Tusamehe ushuru wa magari ya umeme na Gesi

    Ili kuiwezesha Nchi kuwa na Sera za Kodi zinazotabirika na kuweka mazingira bora ya uwekezaji, Serikali imependekeza kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Ushuru Kwa kuanzisha utaratibu wa kurekebisha viwango vya Ushuru wa Bidhaa kila baada ya miaka mitatu (3) Kuanzia mwaka wa fedha 2023/24...
  3. ChoiceVariable

    Wakati Wa Tanzania Wakipinga Tozo ya Barabara za TARURA, Wafanyakazi wa Umma Kenya Kukatwa Asilimia 3% ya Mishahara Kujengea Nyumba za Watu Maskini

    Huwa nasema mara nyingi sana kwamba Tanzania hii Serikali inadekeza sana Watu hasa wa Mijini.. Imagine mtu anakataa tozo ya mafuta Shilingi 100 ambayo inatakiwa Kujengea Barabara ila Barabara anazitaka. Kama Mfanyakazi wa Umma anakatwa Asilimia 3% Kila Mwezi hiyo ni zaidi ya 10,000 Kila Mwezi...
  4. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru

    WAZIRI ASHATU KIJAJI AAHIDI KUTATUA KERO YA UTOZAJI USHURU KWA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOA WA MANYARA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru wa Shilingi...
  5. BARD AI

    Ripoti: Ushuru kwenye 'Bando' za Intaneti' ni balaa Tanzania

    Ripoti ya robo mwaka unaoishia Machi 2023 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha gharama za ushuru wa bando la intaneti zimeongezeka ikiliganishwa na kipindi kama hiko Machi 2022. Machi 2022 kwa kila MB moja ushuru uliokuwa unakatwa ni shilingi mbili ambayo imeongezeka hadi...
  6. GENTAMYCINE

    Hawa Wadada wa NPS wanaotoza Ushuru Gari zinazopaki Barabarani wamefaulu vyema Somo la Customer Care?

    Wengi wao..... 1. Wana Hasira (Usununu) 2. Wakali 3. Wajeuri (Ngumi Mkononi) 4. Wana PhD"s za Matusi 5. Hawajui Kutabasamu 6. Wana Stress na Frustrations 7. Mabingwa wa Kugongea Misosi ya Watu na Kulazimisha kupewa Lifti nyakati za Jioni / Usiku Kuna Mmoja nimekutana nae mahala nimemchanganyia...
  7. Candela

    Naomba kujuzwa kuhusu ushuru bandarini kutokea Zanzibar

    Wadau anaejua taratibu za ushuru wa bidhaa pale bandarini kama umenunua vitu zanzibar inakiwaje anijuze. Kama wanachaji kwa asilimia za bei ya bidhaa au wanakuangalia unafananaje ndio wanakuchaji. Nataka nikafanye shopping huko naona vitu bei imekaa poa.
  8. JanguKamaJangu

    Wakusanya ushuru wa maegesho Dar es Salaam wagoma

    Makusanyo ya maegesho ya magari jijini Dar es Salaam yanayokadiriwa kufikia Sh 25 milioni kwa siku huenda yakatoweka kutokana na mgomo wa wakusanya ushuru huo kutoka kampuni ya Excel Parking Service (EPS). Wakusanya ushuru hao wamegoma wakidai kutolipwa mishahara yao miezi miwili. Tofauti na...
  9. Titicomb

    TRA kwanini kodi (ushuru) hutozwa kodi tena kwa jina lingine? Wabunge mko wapi?

    Nimejaribu kuisoma kanuni iliyotolewa na TRA ya kukokotoa kodi inayolipiwa bidhaa zinaoingizwa toka nchi za nje nimepata maswali mengi sana. Mojawapo ya maswali ni kwanini Ushuru wa Forodha unatozwa Ushuru wa Bidhaa pia unatozwa Ushuru wa Ongezeko la Thamani (VAT)? Kwanini Ushuru wa Bidhaa...
  10. comte

    TRA matumizi yenu ya mitandao ya kijamii yana mapungufu na ni upotevu wa raslimali

    sasa bandiko kama hili linajibu swali la bwana yule mliyemtoza mamlioni kwa pampas na viguo vya mtoto. Hamuwezi kutumia mifano rahisi kuwafanya wananchi waelewe? Mfano shida ya watanzania wengi iko hapa; Mtu kanunua gari kwa dola 1000 sawa na TZS 2,270,000 inakuwaje anaishia kulipa TZS...
  11. vvm

    Tetesi: TARURA MWANZA: Huu ni wizi, mkaliangalie hili haraka sana

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri, Kwanza kabisa mimi na raia mwema na sina nia ya kukwepa ushuru wa tarura tena ukizangitia fees zao ni ndogo sana kwa sasa (reasonable). Niendelee, leo nimeangalia ushuru wa maegesho kwenye website ya TARURA nakukuta nadaiwa nilipoangalia maelezo ya Tiketi...
  12. Mparee2

    Ushuru wa maegesho Mijini

    Nimeambiwa ushuru wa maegesho unakatwa mijini kuanzia saa moja na nusu hadi saa kumi na mbili jioni (07h30 hadi 18h00) 1. Sasa kama ushuru unalipwa kwa Lisaa (shs 500); Kwa nini wasiishie saa kumi na moja (17h00) ili walio lipia wapate muda wa kutumia walicholipia ; hii ni kama tunataka kuwa...
  13. BARD AI

    Wafanyabiashara wadai Ushuru umechangia Kondomu kuadimika Kenya

    Wafanyabiashara wameilalamikia Serikali kwa kuweka Kodi kubwa kwenye uingizaji wa bidha hiyo hali inayosababisha uhaba mkubwa nchini kote Kenya inahitaji Kondomu Milioni 455 kila mwaka wakati Serikali ikinunua na kusambaza Kondomu Milioni 150 pekee, pia imeripotiwa kwa miaka 2 iliyopita...
  14. JanguKamaJangu

    Mama lishe walikimbia soko la Kisutu, warudi mtaani kisa ushuru wa shilingi 500

    Uongozi wa soko la baba na mama lishe Kisutu jijini Dar es Salaam wamesema Serikali iwashughulikie kundi la mama lishe na baba lishe ambao wanaondoka sokoni hapo na kurejea mitaani kwa kigezo cha kushindwa kulipa ushuru wa shilingi mia tano. Akizungumza nasi katibu wa soko hilo, Bakari Hussein...
  15. N

    China imeondoa ushuru kwa bidhaa za Tanzania

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Kwa mara ya kwanza Jamhuri ya watu wa China imepitisha uamuzi wa kuondoa kodi (Zero-Tarrif) kwa asilimia 98 ya bidhaa zinazotoka Tanzania kuanzia Mosi Disemba 2022. Msamaha huu kwa bidhaa za Tanzania ni matokeo ya juhudi za Rais Samia katika kukuza diplomasia...
  16. BARD AI

    Moto wateketeza ghala lenye mizigo ya magendo na waliokwepa ushuru Tanga

    Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa Omary Mgumba, ghala lilikuwa na mizigo ya Mamlaka ya Mapato (TRA) ikiwemo Vitenge vilivyokamatwa kwa Magendo baro 370 pamoja na Sukari, Mafuta ya Kula, Baiskeli na Pikipiki Kamanda wa Jeshi la Zimamoto Mkoa, Fatuma Ngenya amesema wamefanikiwa kuudhibiti Moto ulianza...
  17. BigTall

    Zanzibar: Waziri wa Fedha aelezea sakata la Mbunge Toufky Turky, asema amekamilisha kulipa ushuru wa Marcedes Benz G Wagon, ampongeza

    Baada ya awali kuelezwa kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ipo mbioni kuuza mali za Mbunge Toufky Turky ambaye ni Mfanyabiashara aliyedaiwa kushindwa kulipa ushuru wa Gari aina ya Marcedes Benz G Wagon aliloliingiza Nchini Januari 2022, fafanuzi umetolewa. Waziri wa Fedha na Mipango wa...
  18. Mwande na Mndewa

    Mwembamba akutana na Zakayo mtoza ushuru

    MWEMBAMBA AKUTANA NA ZAKAYO MTOZA USHURU., Ndugu yangu mwembamba nikupe siri kali, ukiwa mkubwa usifanye kama ngosha kuwasumbua sumbua "wanene" wanaokuweka mjini. Ukiwasumbua "wanene" kuwadai kodi ni sawa na kumkumbatia papa nyangumi ndani ya maji halafu utake kumuua,atakuua wewe. Ukiwa mkubwa...
  19. Notorious thug

    Kisa cha Zakayo mtoza ushuru na Mwigulu Nchemba kwa ufupi

    Zakayo kwa Kiebrania Zakai(msafi,mnyoofu) alikua mkuu wa watoza ushuru na tajiri, alipata kibali cha kutoza kodi na mapato na kiasi kilichozidi alikiingiza mifukoni mwake. Aliishi maisha ya kifahari na kuponda mali. Zakayo alimsaliti Mungu na taifa lake . Wakati Yesu...
Back
Top Bottom