balaa

Balaa (Urdu: بلا, lit. 'Monster') is a 2018 Pakistani thriller television series aired on ARY Digital. It is produced by Fahad Mustafa and Dr. Ali Kazmi under their banner Big Bang Entertainment. It stars Bilal Abbas Khan, Ushna Shah, Azekah Daniel, Samina Peerzada, Sajid Hassan, Ismat Zaidi and Mehar Bano. The series follows the story of a limping girl who destroys the lives of people around her due to her own insecurities and imperfections.

View More On Wikipedia.org
  1. rajiih

    Kama iliwahi kukukuta, nambie ulijinasua vipi kwenye hili balaa?!

    Wana JF mko poa tupeane pole juu ya hizi mvua zinazoendelea Nchini. Kwa muda sasa hii hali imekua ikinitatiza huku nikibaki bila kujua hatma ya hii hali itanitoka lini na sijui hata ni nini kimenipata mpaka sasa. Kama miezi saba {7} imepita nilikua katika PENZI strong sana, Ambalo lilidumu kwa...
  2. M

    Kanisa la Kilokole Lavunja ndoa baada ya Bibi harusi kukutwa hana Uke!

    Habari wadau, Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa ndoa yake. Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Pentecostal Assemblies of God (PAG) na kuvunjwa...
  3. lee Vladimir cleef

    Msemaji wa Simba Ahmed Ally ni balaa

    Katika taasisi kubwa hapa duniani Kuna Maafsa habari au wasemaji wa taasisi hizo.Achilia mbali taasisi pia Kuna wasemaji wa serikali hususan katika masuala ama jambo Fulani. Simba sports club ni club ya mchezo wa mpira wa miguu. Mpira wa miguu ni burudani,ni starehe ni furaha na anasa...
  4. Manyanza

    Januari Makamba akanusha Afrika Mashiriki kutambulisha pesa ya pamoja

    Naona January kakanusha khs Hela ya Afrika Mashariki(Shearfanc)
  5. Erythrocyte

    Tanzania: Zigo la madeni ni balaa

    Hivi ndivyo vyombo vya habari vilivyoripoti , hatujui kama huko ndio kuupiga mwingi au la !
  6. P

    Pantoni moja tu ndio linafanyakazi Kigamboni leo, nyingine ziko wapi? Kashikashi ya kusukumana kuwahi kuingia ni balaa!

    Wakuu, Hali ya usafiri Kigamboni leo sio shwari. Kama mnavyoona watu wapo wa kutosha. Pantoni linalotumika ni moja tu, likipakia tunasubiri ligeuze kuja kutufate wengine huku. Utafikiri sio weekend. Hakuna backup ikitokea kuna shida kama hivi? Maana jinsi watu wanasukumana kuingia ni balaa...
  7. Candela

    Hili jiji ni balaa

    Jamani Dar es salaam ni noma, nimeona clip kuna club za usiku watu wanacheza uchi wa mnyama na wengine wanaenda mbali zaidi wanavunja mri ya sita hadharani. Mungu atunusuru na kuzimu.
  8. D

    Nimeona review ya Honor Os ni balaa

    Katika pita pita zangu mtandaaoni, nimekutana na review ya device za Huawei na Harmony OS kwa who is the boss. Aisee Harmony OS ni kali sana, hasa devices zake zinavyopair na kuinteract yani ni instantly. Mfano unasikiliza mziki kwa kutumia wireless earpods zikiwa connected kwa simu halafu mara...
  9. Kididimo

    Mwanza mvua inashuka ni balaa. Wakazi wa mabondeni chukueni tahadhari

    Ni maji kila kona. Mvua imeanza ya nguvu almost masaa 3 sasa. Hali si shwari. Nimeamua kukatisha safari.
  10. Liverpool VPN

    Kuna Video vixen ni watamu balaa, wananiumiza roho mwenzenu

    INTRODUCTION Hamjambo bandugu... Leo nimejiuliza "Nikishapata sanaa hela NINI KINAFATA?" Nikajijibu "Ni stareheeee" Sasa nikiwaza, hivi Hawa Video Vixen watoto warembo wanapatikana wapi? BODY: Ngoja twende mdogomdgo MTANIELEWA TUU... Mi bwana pamoja ya kwamba sitaki kuoa ila hawa watoto...
  11. B

    Msaada voxy engine 1az fse inakula mafuta balaa. 1 litre per 3km

    Naombeni msaada. Nimenunua Voxy first generation engine ya 1az fse wengine wanaiita D4. Inakula mafuta balaa. 1 litre kwa 3km. Na kwenye mlima haina nguvu kabisa hada ukiwa na watu. labda uwashushe ndio uendelee na ni mwinuko mdogo tu. Nimejaribu kuuliza mafundi mbalimbali sijapata jibu...
  12. Mhafidhina07

    Mbwa wamezua balaa!usiku wa manane mtaani kwetu

    Heshima zenu wakuu! Wanajamvi jana imetokea sokomoko mtaani mida ya saa 9:05 usiku kundi la mbwa linatembea huku wakibweka, wengine huenda waliachwa nyuma wakawa wanipita mmoja na wengine wawili nakumbuka kuna wengine walikuja dirishani kubweka dah! Sijawah experience hili jambo, hivi wajuzi...
  13. Ironbutterfly

    Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

    Habari za asubuh wana ukumbi, Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishi Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu). Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM...
  14. Maleven

    Mwenye gari ana gari tu, hili jua linanipiga balaa

    Hata kama gari ina CC 500, bado wapewe heko wenye nayo, huu mwezi wa tisa umekua na jua kali balaa, na linanipiga vilivyo, ifike hatua sasa nitafute hata ya mil 3.5 kwakweli, jua litaniua
  15. Maleven

    "Wazuri ni wengi ila kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndo balaa" kasema kweli diamond

    Yani wazuri ni wengi sana ila ndo pasua kichwa, hasa mjini, warembo kila kona lakini ni nightmare. Vijana watabisha
  16. Wadiz

    Wale wadau wa kutembelea Uvinza kwenye UGA wa mahaba tuzungumze hali halisi na balaa lake

    Hello nawasalimu kwa bashasha za ubaharia. Kama rejea ya kichwa Cha habari ilivyo karibu tuseme machache kuhusu mazuri na maswahibu ya mzamo katika wilaya maarufu sana kwenye UGA wa mahaba wilaya pendwa ya Uvinza. Binafsi Mimi nyakati za mazingira masafi huwa nainjoy matembezi ya eneo lote la...
  17. MK254

    Ukraine wapasua ngome ambayo Warusi walikua wamejichimbia na kujihami balaa

    Kwa ngome ya supapawa kupasuliwa licha ya miezi yote waliyotumia kujichimbia na kujihami sio kitu cha mchezo, wazalendo wa Ukraine wanasonga mbele kwa mbele..... =========================== Hanna Maliar, Deputy Defence Minister, has reported that Ukrainian defenders had broken through the...
  18. K

    Yanga inafanya balaa huko Avic Town kimya kimya

    Yanga imeendelea na maandalizi yake kuelekea msimu ujao ambapo leo itakuwa na mechi mbili za kirafiki za kujipima nguvu. Asubuhi ya leo Yanga imecheza na timu ya Friends Rangers ya jijini Dar es Salaam na mabingwa hao wa Ligi Kuu msimu uliopita wakishinda kwa mabao 6-1. Mabao ya Yanga...
  19. MK254

    Balaa ya HIMARS, wanajeshi Warusi wafumuliwa 200 kwa mkupuo

    Haya madubwana ni hatari sana..... UKRAINE has reportedly wiped out hundreds of Russian soldiers who thought they were out of the range of danger. Sources say five US-made HIMARS missiles slammed into the squaddies who were gathered on a beach in the Kherson region. 7 Up to 200 of Putin's...
Back
Top Bottom