Serikali ya awamu ya Sita iliachana na mfumo wa kujaza OPRASS kwenye makaratasi (nakala ngumu) badala yake ikatambulisha PEPMIS kupitia mfumo Employee Self Service kwa kifupi ESS.
Ikiwa na maana kwamba taarifa muhimu na za Msingi kuhusu Mtumishi zitakua kwenye mfumo huu.
Ikiwemo
Kujaza...
#UWAJIBIKAJI: Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda amesema katika ziara zake alizofanya katika Mikoa 23 nchini, amebaini matatizo na kero kubwa zinazowakabili Wananchi ikiwemo Watu kudhulumiwa Ardhi na tatizo la Hati Batili.
Amesema Ipo dhulma kubwa kwenye Sekta ya Ardhi, huko...
Kinachofanyika Kibaha Kidimu ni dhuruma ya mabavu ya waziwazi, watu wanapokonywa umiliki wa maeneo yao hata baada ya kuyamiliki kwa zaidi ya miaka ishirini na kuambiwa wayanunue, wakati wapo watu waliouziwa na wenyeji kwa usimamizi wa serikali ya kijiji na wamefanya maendeleo ya kudumu vikiwemo...
Wiki hii baadhi ya wakazi wa Mbagala wamebadilishiwa mita za umeme, baadhi ya mita zilikuwa na salio la unit za umeme, hizo uniti TANESCO wamezichukua badala ya kuziweka kwenye mita mpya, huu ni wizi, warudishieni uniti zao mliowabadilishia mita.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imewahukumu watu watatu kifungo cha miaka jela miaka 120 na kuchapwa viboko 48 kila mmoja baada ya kutiwa hatiani kwa makosa manne ya unyang'anyi wa kutumia silaha.
Hata hivyo, ingawa kila mshatakiwa amehukumiwa miaka 30 jela na viboko 12 kwa kila kosa, kwa makosa...
Habari za leo wakuu, tusiende mbali ningeomba mamlaka kama humu JF zinapata pita basi zipitie hili, maana hata pakulalamikia hatuna nilishaenda TAKUKURU zaidi ya mara moja ila ninaambiwa niende polisi hukohuko Wilayani BAHI sasa swali langu ni je tangu lini mtuhumiwa akapewa nafasi ya kujitolea...
Wakati kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa DC wa Hai, Lengai ole Sabaya na wenzake ,ikielekea ukingoni kumalizika ,imefahamika kwamba wakili wa Sabaya ,Mosses Mahuna anadaiwa kulipwa sh, milioni 80 kumwokoa sabaya.
Pesa hiyo inadaiwa kupitia kwa mpenzi wa sabaya aitwaye...
Arusha .
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro Lengai o Sabaya amemkana mshirika wake katika kesi hiyo ya unyang'anyi wa matumizi, Sylvester Nyegu, kuwa hakuwa msaidizi wake.
Sabaya na wawili wawili, Nyegu ambaye anadaiwa na upande wa mashtaka kuwa msaidizi wake binafsi na...
Shahidi wa sita katika kesi ya Unyang'anyi wa Kutumia Silaha na uporaji inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkaoni Kilimanjaro,Lengai Ole Sabaya(34) na wenzake wawili,Bakari Rahibu Msangi ameieleza Mahakama kuwa kipigo alichokipata ni sawa na nusu kifo kwani alipoteza fahamu kwa muda...
Pasipo kumung'unya maneno Hali ya usalama wa raia na Mali zao imetikiswa kwa kipindi hiki, matukio ya ujambazi, unyang'anyi, ukwapuaji, na ukabaji yameendelea kushamiri sasa licha ya kuwepo na matamko mbali mbali kutoka kwa wenye dhamana na usalama wa raia.
Kama halijakukuta Basi fanya simple...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.