Kwa nini Wazungu hutumia Uislam kutengeneza magaidi badala ya dini nyingine?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,587
15,373
Kwa mtazamo wangu katika dini zenye misimamo mikali Uislam ni wa mwisho. Ukifuata misimamo ya Yesu tu utakuwa zaidi ya tishio.

Kwa mujibu wa nadharia za njama (Conspiracy theories) inaonekana magaidi karibu wote huwa ni project za Wazungu.

Mfano Osama Ibn Laden alitengenezwa na US ili kuithibiti USSR Afganstan. ISIS inaonekana ni kazi ya Mossad, hata Hamas inaonekana ilianzishwa na Israel ili kumtuliza Yasser Arafat.

Najiuliza tu kwanini mabeberu wanapenda kutumia uislam kutimiza kazi zao mbaya? Kwanini wasitumie ukristo ambao wanaujua zaidi Au kutumia Uyahudi (Judaism)? Ikumbukwe Kulikuwa na vikundi vingi vya kigaidi vya kiyahudi enzi za Yesu wakiwemo Mazealoti, Wakina Barkokeba.

Najiuliza, Msingi wa mada sio uislam, ni nadharia kwamba vikundi vingi vya kigaidi ni project za Wazungu, kwa niniwatumie uislam?
 
Na kwanini waislamu wanapenda kutengenezwa magaidi?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtazamo wangu katika dini zenye misimamo mikali Uislam ni wa mwisho. Ukifuata misimamo ya Yesu tu utakuwa zaidi ya tishio.

Kwa mujibu wa nadharia za njama (Conspiracy theories) inaonekana magaidi karibu wote huwa ni project za Wazungu.

Mfano Osama Ibn Laden alitengenezwa na US ili kuithibiti USSR Afganstan. ISIS inaonekana ni kazi ya Mossad, hata Hamas inaonekana ilianzishwa na Israel ili kumtuliza Yasser Arafat.

Najiuliza tu kwanini mabeberu wanapenda kutumia uislam kutimiza kazi zao mbaya? Kwanini wasitumie ukristo ambao wanaujua zaidi Au kutumia Uyahudi (Judaism)? Ikumbukwe Kulikuwa na vikundi vingi vya kigaidi vya kiyahudi enzi za Yesu wakiwemo Mazealoti, Wakina Barkokeba.

Najiuliza, Msingi wa mada sio uislam, ni nadharia kwamba vikundi vingi vya kigaidi ni project za Wazungu, kwa niniwatumie uislam?
Una uhakika/ushaidi wa hivi ulivyoandika au umetoa story za kuambiwa vijiweni kwenu tu
 
Kwa mtazamo wangu katika dini zenye misimamo mikali Uislam ni wa mwisho. Ukifuata misimamo ya Yesu tu utakuwa zaidi ya tishio.

Kwa mujibu wa nadharia za njama (Conspiracy theories) inaonekana magaidi karibu wote huwa ni project za Wazungu.

Mfano Osama Ibn Laden alitengenezwa na US ili kuithibiti USSR Afganstan. ISIS inaonekana ni kazi ya Mossad, hata Hamas inaonekana ilianzishwa na Israel ili kumtuliza Yasser Arafat.

Najiuliza tu kwanini mabeberu wanapenda kutumia uislam kutimiza kazi zao mbaya? Kwanini wasitumie ukristo ambao wanaujua zaidi Au kutumia Uyahudi (Judaism)? Ikumbukwe Kulikuwa na vikundi vingi vya kigaidi vya kiyahudi enzi za Yesu wakiwemo Mazealoti, Wakina Barkokeba.

Najiuliza, Msingi wa mada sio uislam, ni nadharia kwamba vikundi vingi vya kigaidi ni project za Wazungu, kwa niniwatumie uislam?
Basi ikiwa nihivyo hao waislamu wanaotumika ndo hawana akili
 
Kwa mtazamo wangu katika dini zenye misimamo mikali Uislam ni wa mwisho. Ukifuata misimamo ya Yesu tu utakuwa zaidi ya tishio.

Kwa mujibu wa nadharia za njama (Conspiracy theories) inaonekana magaidi karibu wote huwa ni project za Wazungu.

Mfano Osama Ibn Laden alitengenezwa na US ili kuithibiti USSR Afganstan. ISIS inaonekana ni kazi ya Mossad, hata Hamas inaonekana ilianzishwa na Israel ili kumtuliza Yasser Arafat.

Najiuliza tu kwanini mabeberu wanapenda kutumia uislam kutimiza kazi zao mbaya? Kwanini wasitumie ukristo ambao wanaujua zaidi Au kutumia Uyahudi (Judaism)? Ikumbukwe Kulikuwa na vikundi vingi vya kigaidi vya kiyahudi enzi za Yesu wakiwemo Mazealoti, Wakina Barkokeba.

Najiuliza, Msingi wa mada sio uislam, ni nadharia kwamba vikundi vingi vya kigaidi ni project za Wazungu, kwa niniwatumie uislam
Asili ya uislamu ni ugaidi, uislamu ulienezwa kwa vita, watumwa, wizi na uchafu mwingine karne hizo.
 
Screenshot_20231108-213027.png
 
Msikilize vizuri huyu hapa gaidi wa ISIS alikamatwa Libya utapata jibu lako.
 
Ndio maana tunasema uislam umetoka maabara za kizungu pia,ukiwa na mission maalumu hapa ulimwenguni.

Imefikia hatua muislam mwenye akili pana akikosoa mienendo ya wenzake kama hao hamas anaumizwa au kuuawa kabisa.

Juzi kati kuna jamaa muislam youtuber wa mijadala ya kidini anitwa shamsi,alikemea tabia mbovu za hamas,cha moto alikiona na wako na ajenda maalumu ya kumtenga ktk huduma yake,imagine.
 
Back
Top Bottom