supu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    Supu is overrated

    Supu ya nyama ina nini cha ziada Mimi naona kama ni maji tu,unakuta mtu anakunywa mapombe too much akiamini supu yenye kakipande kamoja cha nyama inasaidia kutibu madhara ya pombe alizokunywa. At least Ki dogo iwe supu nzito yenye viazi, karotihohonyama pc 5 ila sio supu hizi za uswahilini za...
  2. Selemani Sele

    Supu ya pweza inanimalizia hela nashindwa kuiacha

    Za jioni wakuu, supu ya pweza ni maarufu sana Dar es salaam mida ya jioni ambapo tunaona watu wanauza supu kwenye vimeza vyao. Sasa kitu kinachofanya nije leo ni ulevi wa supu ya pweza aisee nimejitahidi kuacha nimeshindwa yaani kila nikitoka kazini njia ya kwenda nyumbani kuna kibanda...
  3. P

    Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi

    Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive. Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema. Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
  4. NALIA NGWENA

    Mashabiki wa Yanga wajitokeza Kwa wingi mitaa ya Jangwani Kwenda kupata supu

    Karibuni wananchi tuongeze nguvu baada ya kushinda goli tano dhidi ya mtani. Hata wana Simba mnaruhusiwa kuja kupoza machungu ya kipigo cha goli tano.
  5. J

    Wanasiasa na tabia za kizandiki ni Kama chapati na supu

    Nadhani kama ningepewa task ngumu zaidi ni kutafuta mwanasiasa mmoja asiye mzandiki. Nalazimika kuhukumu kwamba pengine siasa ni uzandiki na uzandiki ndio siasa yenyewe. Mjadala wenye afya kwa taifa unakuwa mzuri, Hadi pale wanasiasa wanapouteka nyara. Hoja ya katiba mpya na bandari ni...
  6. Mortence djuma

    Nahitaji mtu wa IT kuna kazi anifanyie

    Nahitaji mtu wa IT Kuna kazi nataka anifanyie, 0624835630 Kuna maokoto yake apa chap
  7. Idugunde

    Watu wa Dar hivi supu ya maharage inakata Hangover? Au ndio kufosi mambo kwa sababu ya ugumu wa mambo?

    Vijiwe kibao vinauza eti supu ya maharage. Unakuta watu wa Dar wanakatakata chapati na kuchanganya na maharage nao wanaona wanapata supu kukata hangover Mbona sisi huku Igunga ni mwendo wa supu ya kuku, mbuzi n.k Dar mbona kila kitu tabu?
  8. babukijana

    Supu mapupu, Kichwa Mbuzi Kiria Bar na Euro Pub

    Enzi hizo mnatoka Jolly mnakesha Las Vegas Casino au Billz kunakucha sa kumi na mbili kijua hichoo, mko nyanganyanga mnachomoka hadi kino wale tuliokaa mitaa hiyo Mnaishia Kiria Bar. Sufuria kuubwa lina supu mabichwa ya mbuzi, bandama, mikia, mapupu, ulimi Linachemka Unapewa waya, unachomoa...
  9. Black Opal

    Nini tofauti kati ya supu na mchemsho?

    Wakuu, Hiki kitu kinanichanganya kwakweli na sijawahi kuelewa tofauti zake, maana nikiaambiwa kupika supu ama mchesho upishi wangi ni mmoja, lakini kuna sehemu supu na mchemsho ni vitu viwili tofauti! Hizi picha nimetoa mtandaoni, moja ni supu nyingine ni mchemsho, lakini mimi sioni tofauti...
  10. Msanii

    Maadhimisho miaka miwili ya SSH ni wazi CCM na Serikali wanalazimisha shibe ya supu ya mawe

    EWURA ni jipu la Taifa, ikulu iliangalie hili kwa jicho la kuwajali wananchi TANESCO inatumika kisiasa, na hili limefanikisha wananchi kukosa imani na serikali. Polisi imeshapoteza uadilifu wake. Sheria na muundo wake vibadilishwe kwani ushshidi ni mwingi wa maovu yanayofanywa na polisi kuliko...
  11. Nyendo

    Niweke viungo gani kwenye supu yangu iwe na ladha ya kuvutia?

    Kuna siku nilisikia kuna vidonge vya supu ili kuifanya kuwa na ladha lakini niliyemsikia akisema siweza kupata fursa ya kumuuliza kwa kuwa nilikuwa safarini na yeye ni muuzaji wa njiani na alikuwa amezongwa na wateja wengi. Je, ni kweli kuna vidonge vya supu? Au niweke nini kwenye supu ili iwe...
  12. BARD AI

    KWELI Nyama na supu ya Pweza inasaidia kuongeza nguvu za kiume

    Changamoto ya wanaume kuhangaikia nguvu za kiume imekuwa kubwa. Baadhi huamini kuwa supu ya pweza ni jawabu tosha, jambo lililomfanya samaki huyu ajipatie umaarufu mkubwa katika kunusuru ndoa na urafiki wa kimapenzi wa vijana wengi. Kuna ukweli wowote kuwa supu ya pweza husaidia kuongeza...
  13. MakinikiA

    Moshi-Kilimanjaro: Kuna watu wana tabia ya kuchinja mbwa na kuuza supu

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Moris Makoi amesema kuna tabia ya baadhi ya watu kuchinja mbwa na kuuza nyama kwenye mabucha huku wengine wakichemsha supu ya mbwa na ndizi na kuwauzia watu wakidai ni supu ya nyama ya ng’ombe. Akizungumza kuhusu tatizo hilo Makoi...
  14. Sildenafil Citrate

    Rais Samia: Vumbi la Mkongo na Supu ya pweza ni matokeo ya lishe duni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa changamoto inayowapata vijana wanapotaka kuongeza jamii inatonakana na uwepo wa lishe duni. Ametolea mfano wa matumizi makubwa ya vumbi la mkongo na supu ya pweza kwa vijana wa kiume, pamoja na matumizi makubwa ya chips...
  15. Lycaon pictus

    Watu wangeruhusiwa kupata supu ya bangi

    Kiukweli bangi haina shida kama inavyotangazwa vibaya. Bangi haina tofauti na kahawa. Tena bangi inafaida sana. Moja ya faida ya bangi ni kukata hangover. hakuna dawa nzuri ya hangover kama bangi. Napendekeza watu waruhusiwe kupata supu ya bangi ili kukata hangover. Assume supu ya mbuzi imeungwa...
  16. Idugunde

    Supu na michemsho kwenye mabaa ya Dar es salaam hazina kiwango ukilinganisha na tunazokula mikoani.

    Huwa nashangaa sana nikiwa kwenye ziara zangu huko jijini Dar es salaam. Utakuta supu ya ng'ombe au kuku inauzwa buku nne mpaka sika. Tena kwenye baa za kiwango kikubwa lakini ukionja unakuta hazina kiwango kabisa. Husikii harufu ya ya supu ya kuku au ng'ombe. Supu yenyewe majimaji tu yaani...
  17. Bushmamy

    Hili la watu kula supu ya ngozi ya ng'ombe/mbuzi lina usalama kiasi gani?

    Tulizoea bidhaa kama ngozi ya ng'ombe ikitumika katika utengenezaji wa bidhaa mbalimbali kama vile mikanda, Mabegi nk. Nina mwezi mzima na zaidi naweka oda ya ngozi ya ng'ombe kwa ajili ya kumchemshia mbwa nakosa nashindwa kujua kwanini. Basi ikabidi nimuulize huyo muuza bucha kwanini zimekuwa...
  18. Frumence M Kyauke

    Kenya: Mchungaji awaamuru waumini wa kiume kulamba supu iliyotapakaa kwenye vidole vyake

    Mchungaji mwingine kijana ni gumzo baada ya kuwaamuru waumini wake wa kiume kulamba vidole vyake baada ya kuvitumbukiza kwenye supu na ugali. Washarika wa kiume wanaweza kuonekana kuwa wanyenyekevu sana na kulamba vidole vya mhubiri bila wasiwasi. Ni video ambayo imeibu hisia tofauti...
  19. Red Giant

    Jinsi walivyokunywa supu ya nywele

    Miaka kadhaa iliyopita nilisoma kitabu kimoja juu ya wafungwa wa kivita wakati wa WWII. Huyu jamaa alikuwa ni mmarekani aliyekuwa anaishi Ujerumani. Baada ya Warusi kuingia Berlin, wakambeba wakimtuhumu kuwa mNAZI. Akiwa gerezani njaa ilikuwa kali sana. Walikuwa kila siku wakati wa msosi...
  20. The Evil Genius

    Supu ya utumbo

Back
Top Bottom