GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,892
- 109,610
Sasa ni mwendo wa Mafumbo na Kukomoana tu..
Baadhi ya Maaskofu wa Katoliki..
"Wakatoliki mnaokwenda kwa Mwamposa ni Wendawazimu na tutaanza Kuwatenga Kanisani Kwetu kwani hatupendi Waumini wanaotangatanga wakati katika Ukatoliki kuna kila Kitu"
Mtume Mwamposa wa Kanisa lisilo na Jina na linalozoa kila Mtu.
"Wakiwatisheni kuwa mkija Kwangu mkifa hawatowazikeni msiogope njooni Kwangu nitawapeni Huduma ya Kimaombi na Mbinguni mtafika. Wameshindwa kuwashibisha Imani na Neno la Mungu na Mimi sasa naifanya Kazi hiyo"
Kama Serikali haitoingilia kati baina ya hawa Wawili naiina Hatari ya Kiimani, Kijamii na kubwa ya Kiusalama.