Takriban watu milioni 55 wanakabiliwa na kitisho cha njaa katika kanda ya Afrika Magharibi na Kati kutokana na kupanda kwa bei za vyakula.
Taarifa ya pamoja iliyotolewa na Shirika la Mpango wa Chakula duniani WFP, Shirika la kuhudumia watoto UNICEF na lile la Chakula na Kilimo, imesema kuwa...
Kwa nyakati mbalimbali nimekuwa nikiona masekeseke mengi nchi za umoja wa ECOWAS ila kinachonichanganya kwanini? Ma-first lady wengi wa kizungu
Mfano mwaka jana kulitokea mapinduzi ya kijeshi ya NIGER baada ya kufuatilia niligundua Rais alikuwa na mke mzungu aliyesadikika ni mfaransa
Juzi tena...
Nilianza kumsikia Ibrahim Bakayoko akiwa mchezaji wa Ivory Coast akitamba Ulaya miaka kama 18 iliyopita. Nikamsikia Camara akitamba pale Liverpool miaka zaidi ya 22 iliyopita, alikuwa akirudi afrika anachezea timu ya Taifa ya Guinea.
Nikamsikia Souleymane Sane akichezea Ivory Coast miaka 30...
Tuna kizaz cha wanaume wanaopenda kutumia hisia sana instead ya kutumia logics and facts.
Unakuta Mwanaume 30+yrs Bado ana stress za mapenzi yupo single hisia zote ziko kwa Wadada mwenye makalio makubwa mwanamke akimkataa tu anakua full stressed blaza tumia logic.
Mwanaume anacare sana...
Kila tarehe 22 ya Mwezi Septemba, nchi ya Mali inaadhimisha siku ya uhuru, ambapo kwa mwaka huu 2023, Kikosi tawala cha Mali, kimefutilia mbali sherehe zilizopangwa kuadhimisha kumbukumbu ya uhuru huo, kufuatia kuongezeka kwa wasiwasi wa mashambulizi yaliyotokea Kaskazini mwa nchi hiyo.
Nchi ya...
Zama za wanajeshi kukurupuka na kuchukua uongozi wa nchi zimepitwa na wakati, ndio mojawapo wa sababu Afrika huonekana kama bara la njaa na vita vita vya kijinga. Inapaswa tulumbane kwa hoja kama raia lakini malumbano yenyewe yabaki kwenye ndani ya wananchi, sio hawa wavaa magwanda ghafla...
Kumekuwepo na fununu za muda mrefu juu ya kuwepo kwa wapiganaji wa kikundi cha Wagner kilichohusishwa na kiongozi wa Urusi,Vladmir Putin.Hii ilikuwa ni kabla hata ya kuanza kwa vita vinavyoendelea sasa baina ya Ukraine na Urusi.
Katika kipindi kifupi fununu hizo ziliongezeka baada ya kutokea...
Unakumbuka nini ukisikia jina Djemba Djemba.
M Cameroon aliye lamba deal la kusajiliwa Manchester united na Alex Ferguson at his age of 21
Alisajiliwa akitokea Nandes ya ufaransa.
Alipo sign deal na Manchester united akaenda kununua magari matano Kwa mkupuo.
Inasemekana Sir Alex Ferguson...
Ufaransa kama ilivyo huruka ya nchi za kimagharibi alikuwa anajiona ndo Mungu na mmiliki wa nchi za Africa magharibi.
Alikuwa ndo kila kitu ndani ya nchi hizo lakini sasa mambo yana muendea kombo ndani ya nchi hizo, hasa tangu Urusi ijiingize kwenye eneo hilo imevuruga kabisa ushawishi wa...
Umoja wa Mataifa (UN) imetoa angalizo hilo katika ripoti yake kuhusu biashara haramu ya bidhaa za matibabu.
Biashara hiyo inaweza kusababisha dawa za kuua wadudu kutofanya kazi au maambukizi ya magonjwa hatari, pia kudhoofisha mifumo ya afya kwa watumiaji.
Kati ya Januari 2017 hadi Disemba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.