Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 1,704
- 5,480
Mama yetu mpendwa, najua upo humu jamvini kama ulivyosema hapo awali.
Mama, hali ya maisha huku mtaani ni mbaya sana.
Bidhaaa zote zimepanda mara dufu, sukari kilo moja kutoka 2600 hadi 4000 hivi sasa, mchele ule choka mbaya unaupata 2500 kwa kilo.
Maharage choka mbaya unayapata kwa 3600 kwa kilo, samaki watatu wadogo unawapata kwa 2000, nyama kilo moja unaipata kwa 12,000.
Mahindi ndio balaaa kabisa mama, unga wa ngano ni hatari haushikiki, nauli nazo ni kizungu mkuti.
Umeme ndio hatari kabisa mama, tunakutegemea mama yetu utuvushe, sisi wananchi wako hatutaki kutumia ule msemo, kuwa sisi ni pipo tutakutana.