Jaribio la Israel kuitawala Gaza limeshindwa na vita vinaendelea eneo lote katikati ya njaa kali

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,192
10,927
Taarifa zinazotolewa na vyomba kadhaa vya habari vinatoa picha ambayo si nzuri kwa Israel ikiwa ni mwezi wa tano tangu vita vianze.

Mfano mapigano makali yameripotiwa kaskazini ya Gaza ambapo pande zote mbili zimepata hasara.Vita hivyo vimepiganwa karibu na hospitali ya Alshifaa eneo ambalo halikutarajiwa tena kusikika Hamas wakipigana.

Kundi la Alquds limetoa taarifa la kupiga kikundi cha askari wa Israel na kuwasababishia vifo na majeruhi kadhaa.

Upande ambao Israel imeshindwa vibaya ni katika kupata vikundi vya koo za kipalestina ili ivipe nguvu dhidi ya Hamas na kuwa mawakala wao katika kuitawala Gaza.

Vikundi kama hivyo vimepatikana na baadhi kupokea vifaa vya kazi lakini vyote vimeonekana kujikurubisha na utawala wa Hamas badala ya Israel.

Mtego kama huo uliwanasa Marekani kule Afghanistan na hatimae pesa yote ya walipa kodi wa Marekani ikapotea au kuangukia mikononi mwa Taliban.

1710870164232.png

Palestinian clans and factions step in to protect Gaza aid, sources say

Raia wa Gaza wanateseka mno na hii Vita.

Pande zinazohusika na huu mzozo zimeonyesha kutojali usalama wa raia wa kawaida.
 
Ukiona mpaka huyu amekwambia wamegawana hasara pande zote katika mapigano

Ujue moto uliwawakia kisawasawa hao Khamasi

Kuna taarifa Kiongozi wao mmoja kawahishwa huko kwa mabikra
 
Wainjilisti hawaamini kuwa Ndo hili Israel iliyosheheni sifa nzito nzito za kijeshi ambapo mpaka Sasa wanamgambo wenye bunduki TU wanawanyima usingizi.
 
Ukiona mpaka huyu amekwambia wamegawana hasara pande zote katika mapigano

Ujue moto uliwawakia kisawasawa hao Khamasi

Kuna taarifa Kiongozi wao mmoja kawahishwa huko kwa mabikra
Hasara kwa Hamas haishangazi.
Hasara kwa IDF ndio inaleta maswali na majibu.
 
Taarifa zinazotolewa na vyomba kadhaa vya habari vinatoa picha ambayo si nzuri kwa Israel ikiwa ni mwezi wa tano tangu vita vianze.

Mfano mapigano makali yameripotiwa kaskazini ya Gaza ambapo pande zote mbili zimepata hasara.Vita hivyo vimepiganwa karibu na hospitali ya Alshifaa eneo ambalo halikutarajiwa tena kusikika Hamas wakipigana.

Kundi la Alquds limetoa taarifa la kupiga kikundi cha askari wa Israel na kuwasababishia vifo na majeruhi kadhaa.

Upande ambao Israel imeshindwa vibaya ni katika kupata vikundi vya koo za kipalestina ili ivipe nguvu dhidi ya Hamas na kuwa mawakala wao katika kuitawala Gaza.

Vikundi kama hivyo vimepatikana na baadhi kupokea vifaa vya kazi lakini vyote vimeonekana kujikurubisha na utawala wa Hamas badala ya Israel.

Mtego kama huo uliwanasa Marekani kule Afghanistan na hatimae pesa yote ya walipa kodi wa Marekani ikapotea au kuangukia mikononi mwa Taliban.

Palestinian clans and factions step in to protect Gaza aid, sources say

Hasara gani kwa israel wakati gaza imegeuzwa vumbi hivi
 
Marafiki wa Israel ni NATO, na marafiki wa Hamas ni Iran,Turkey na RUSSIA, kwahyo msidhani ni vita ya paka na panya... Israel anapigana na vikundi zaidi ya 7 vinavyoratibiwa na Iran na uturuki.
na cha mwisho uwanja wa vita ni katikati ya watu, ni ngumu kupiga kipigo cha haja kama wapiganaji wanajificha kwenye maeneo ya waty, labda sirael afunge macho aigeuze gaza "hiroshima" ila kwa kupigana na hamas huku unakwepa watu lazma vita vichukua muda.
 
Tathmini halisi ni kuwa Israel anapigana na maiti na watu waliofungwa mikono na bado hajawashinda.
Ingekuwa kweli anapigana na vikundi vyote hivyo na vinaungwa mkono na nchi hizo kwa kuwapelekea misaada na silaha basi vita hivi vingemalizika kwa kushindwa Israel mapema sana.
 
Marafiki wa Israel ni NATO, na marafiki wa Hamas ni Iran,Turkey na RUSSIA, kwahyo msidhani ni vita ya paka na panya... Israel anapigana na vikundi zaidi ya 7 vinavyoratibiwa na Iran na uturuki.
na cha mwisho uwanja wa vita ni katikati ya watu, ni ngumu kupiga kipigo cha haja kama wapiganaji wanajificha kwenye maeneo ya waty, labda sirael afunge macho aigeuze gaza "hiroshima" ila kwa kupigana na hamas huku unakwepa watu lazma vita vichukua muda.
Gaza ni kama gereza kubwa tu ..huo uungwaji mkono unaosema unaratibiwa je ikiwa tu chakula hawana
 
I have no words. This world is doomed. More specifically, this Ummah. We are all watching a genocide in real time but unable to act. The sad truth is most "people" are 🐑 that just don't care. They are lost souls with no purpose, only living to fulfill their temporary desires of love, music and alcohol. They have no moral compass and no aspirations. The only thing they desire is temporary pleasure because they are slaves to their own sins.

🤔🤔🤔🤔😳😳😳😳🤐🤐🤐
 
Taarifa zinazotolewa na vyomba kadhaa vya habari vinatoa picha ambayo si nzuri kwa Israel ikiwa ni mwezi wa tano tangu vita vianze.

Mfano mapigano makali yameripotiwa kaskazini ya Gaza ambapo pande zote mbili zimepata hasara.Vita hivyo vimepiganwa karibu na hospitali ya Alshifaa eneo ambalo halikutarajiwa tena kusikika Hamas wakipigana.

Kundi la Alquds limetoa taarifa la kupiga kikundi cha askari wa Israel na kuwasababishia vifo na majeruhi kadhaa.

Upande ambao Israel imeshindwa vibaya ni katika kupata vikundi vya koo za kipalestina ili ivipe nguvu dhidi ya Hamas na kuwa mawakala wao katika kuitawala Gaza.

Vikundi kama hivyo vimepatikana na baadhi kupokea vifaa vya kazi lakini vyote vimeonekana kujikurubisha na utawala wa Hamas badala ya Israel.

Mtego kama huo uliwanasa Marekani kule Afghanistan na hatimae pesa yote ya walipa kodi wa Marekani ikapotea au kuangukia mikononi mwa Taliban.

Palestinian clans and factions step in to protect Gaza aid, sources say

Yani Iran na mashia wanawatukana na kuwadhalilisha maswahaba? Iran na Shia bila aibu wanamwita mke wa mtume ni kahaba? Na umma wa uislam tumenyamaza tu.

adriz Mufti kuku The Infinity
 
Back
Top Bottom