mkarimani feki

JF-Expert Member
Nov 8, 2023
302
1,136
Jamani katika harakati za kutafuta kazi, vibarua na ajira rasmi. Wengi tumeangukia sekta binafsi.

Aloo huku watu wanasota mbaya, kuna viwanda hapo vingunguti malipo ni bukutano per day. Unaingia asubuhi mpaka saa 12 jioni. Wengine wanaingia usiku.

Ili upate hizo kazi lazima uhonge mlinzi wa gardaworld ama section foremen na hiyo bukutano yenu mtapewa mwisho wa wiki.

Kuna taasisi pia nilifanya nayo kazi, ilifikia hatua unasaidiwa hela ya msosi na client wako na mkilia kwa Manager kuwa mshahara hautoshi, Manager anasema kama hauna njaa acha kazi!

Hivi najiuliza maofisa kazi, wizara ya kazi na ajira, Osha, WCF na watu wa haki za binadamu mnaijua hali wanayopitia Watanzania wenzenu humo viwandani na sekta binafsi?
 
jamani katika harakati za kutafuta kazi, vibarua na ajira rasmi. wengi tumeangukia sekta binafsi.

Aloo huku watu wanasota mbaya, kuna viwanda hapo vingunguti malipo ni bukutano per day. unaingia asubuhi mpaka saa 12 jioni. wengine wanaingia usiku.

Ili upate hizo kazi lazima uhonge mlinzi wa gardaworld ama section foremen na hiyo bukutano yenu mtapewa mwisho wa wiki.

Kuna taasisi pia nilifanya nayo kazi, ilifikia hatua unasaidiwa hela ya msosi na client wako. na mkilia kwa Manager kuwa mshahara hautoshi, Manager anasema kama hauna njaa acha kazi!

Acheni kupiga kelele badala yake njooni tuchimbe madini.
 
Na huko hakuna anayejali sheria za kazi kuhusu kuwajali wafanyakazi ikiwemo kuwalipa maslahi bora, waziri husika yupo anarandaranda huku na kule ndani ya vieeite.
 
jamani katika harakati za kutafuta kazi, vibarua na ajira rasmi. wengi tumeangukia sekta binafsi.

Aloo huku watu wanasota mbaya, kuna viwanda hapo vingunguti malipo ni bukutano per day. unaingia asubuhi mpaka saa 12 jioni. wengine wanaingia usiku.

Ili upate hizo kazi lazima uhonge mlinzi wa gardaworld ama section foremen na hiyo bukutano yenu mtapewa mwisho wa wiki.

Kuna taasisi pia nilifanya nayo kazi, ilifikia hatua unasaidiwa hela ya msosi na client wako. na mkilia kwa Manager kuwa mshahara hautoshi, Manager anasema kama hauna njaa acha kazi!

Hivi najiuliza maofisa kazi, wizara ya kazi na ajira, Osha, WCF na watu wa haki za binadamu mnaijua hali wanayopitia Watanzania wenzenu humo viwandani na sekta binafsi?
Bora uuze uji, kuliko kwenda kuzeeka kwa mo dewji au bakhresa.

Au bora mahindi mwisho wa mwezi Nina pesa zaidi hio ya kuzeesha
 
Back
Top Bottom