UWT yawajengea uwezo wanawake viongozi kutoka mikoa 9 ya Kanda ya Ziwa na Ziwa Magharibi

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
UWT YA CHATANDA MOTO USIOPOA, YAJENGEA UWEZO WANAWAKE VIONGOZI KUTOKA MIKOA 9 YA KANDA YA ZIWA NA KANDA YA ZIWA MAGHARIBI

🗓️ 27/3/2024
📍 Winterfell, Mwanza

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Chatanda kwa kushirikiana na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa serikali wametoa mafunzo maaalum kwa viongozi wanawake kutoka mikoa 9 ya Kanda ya Ziwa na Kanda ya Ziwa Magharibi. Dhima kuu ikiwa ni kuwajengea uwezo Wanawake namna ya kutumia matokeo ya Sensa katika kuchochea maendeleo sanjari na Kuleta ufanisi wa Utendaji wa kazi katika kujikwamua kiuchumi na kijamii.

Mafunzo hayo ya Siku moja yamehusisha viongozi wanawake pamoja na Waheshimiwa Madiwani Viti Maalum kutoka mikoa ya Mwanza, Kagera, Katavi, Shinyanga, Simiyu, Geita, Kigoma, Tabora pamoja na Mkoa wa Mara leo tarehe 27/3/2024 Katika Ukumbi wa Winterfell Mkoani Mwanza.

Kadharika mafunzo hayo yamehudhuriwa na Mhe. Anne Makinda Spika Mstaafu wa Bunge La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kamisaa wa Sensa, Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Jokate Mwegelo, Naibu katibu Mkuu UWT Bara Ndg. Riziki Kingwande pamoja na Mhe. Amina Makilagi Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.

#UWTImara
#JeshiLaMamaSamia
#KaziIendelee
IMG-20240327-WA0039.jpg
IMG-20240327-WA0040.jpg
 
📌 UWT YA CHATANDA MOTO USIOPOA, YAJENGEA UWEZO WANAWAKE VIONGOZI KUTOKA MIKOA 9 YA KANDA YA ZIWA NA KANDA YA ZIWA MAGHARIBI

🗓️ 27/3/2024
📍 Winterfell, Mwanza

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Chatanda kwa kushirikiana na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa serikali wametoa mafunzo maaalum kwa viongozi wanawake kutoka mikoa 9 ya Kanda ya Ziwa na Kanda ya Ziwa Magharibi. Dhima kuu ikiwa ni kuwajengea uwezo Wanawake namna ya kutumia matokeo ya Sensa katika kuchochea maendeleo sanjari na Kuleta ufanisi wa Utendaji wa kazi katika kujikwamua kiuchumi na kijamii.

Mafunzo hayo ya Siku moja yamehusisha viongozi wanawake pamoja na Waheshimiwa Madiwani Viti Maalum kutoka mikoa ya Mwanza, Kagera, Katavi, Shinyanga, Simiyu, Geita, Kigoma, Tabora pamoja na Mkoa wa Mara leo tarehe 27/3/2024 Katika Ukumbi wa Winterfell Mkoani Mwanza.

Kadharika mafunzo hayo yamehudhuriwa na Mhe. Anne Makinda Spika Mstaafu wa Bunge La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kamisaa wa Sensa, Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Jokate Mwegelo, Naibu katibu Mkuu UWT Bara Ndg. Riziki Kingwande pamoja na Mhe. Amina Makilagi Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.

#UWTImara
#JeshiLaMamaSamia
#KaziIendelee
IMG-20240327-WA0074.jpg
IMG-20240327-WA0072.jpg
 
Back
Top Bottom