johannesburg

Johannesburg ( joh-HAN-iss-burg, also US: -⁠HAHN-; Afrikaans: [jʊəˈɦanəsbœrχ]; Zulu and Xhosa: eGoli), informally known as Jozi, Joburg or "the city of gold", is the largest city in South Africa and one of the 50 largest urban areas in the world. It is the provincial capital and largest city of Gauteng, which is the wealthiest province in South Africa. Johannesburg is the seat of the Constitutional Court. The city is located in the mineral-rich Witwatersrand range of hills and is the centre of large-scale gold and diamond trade. It was one of the host cities of the official tournament of the 2010 FIFA World Cup.
The metropolis is an alpha global city as listed by the Globalization and World Cities Research Network. In 2019, the population of the city of Johannesburg was 5,635,127, making it the most populous city in South Africa. In the same year, the population of Johannesburg's urban agglomeration was put at 8,000,000. land area of the municipal city (1,645 km2 or 635 sq mi) is large in comparison with those of other major cities, resulting in a moderate population density of 2,364 per square kilometre (6,120/sq mi).
The city was established in 1886 following the discovery of gold on what had been a farm. Due to the extremely large gold deposit found along the Witwatersrand, within ten years, the population had grown to 100,000 inhabitants.
A separate city from the late 1970s until 1994, Soweto is now part of Johannesburg. Originally an acronym for "South-Western Townships", Soweto originated as a collection of settlements on the outskirts of Johannesburg, populated mostly by native African workers from the gold mining industry. Soweto, although eventually incorporated into Johannesburg, had been separated as a residential area for Blacks, who were not permitted to live in Johannesburg proper. Lenasia is predominantly populated by English-speaking South Africans of Indian descent. These areas were designated as non-white areas in accordance with the segregationist policies of the South African government known as Apartheid.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Tatizo siyo Kushinda Dar es Salaam ila je, tuna timu na Mikakati ya kushinda Cairo na Johannesburg?

    Hakuna Timu ambazo Naziogopa hasa zikifika katika hatua ya Robo Fainali kama za Al Ahly na Mamelodi Sundowns FC. Ninadhani tumeelewana vyema tu.
  2. GoldDhahabu

    Basi gani linaenda Johannesburg Afrika Kusini kutokea Dar es Salaam, Tanzania?

    Tafadhali mwenye taarifa anisaidie. Kuna basi jingine tofauti na Mkombe Luxury Coach? Asanteni🙏
  3. kidonto

    Ajari mbaya ya Bus la Mkombe Bus Service toka Johannesburg to Dar es salaam.

    Habari Wakuu! Nipo hapa kuwajurisha Ajari mbaya ya Bus la Mkombe Bus Service, ambayo imetokea jana Zambia, eneo linaloitwa Serenje, 400 km and almost 5 hrs from Lusaka. Inasadikika Watu zaidi ya 15 Wamefariki on the spot...! Kile nashukuru Mungu, ilibaki kidogo Nifanye booking ya hili Bus...
  4. Mhaya

    Raia 7 wa Kigeni wachomwa moto wakiwa hai katika Jiji la Johannesburg, chini Afrika Kusini

    Hofu ya ghasia na mauaji ya chuki dhidi ya wageni imerejea Johannesburg ambapo Jumamosi iliyoisha nyakati za asubuhi takriban wageni saba walichomwa moto wakiwa hai katika kitongoji cha Diepsloot nje ya mji wa Johannesburg. Hii ilifuatia msako mkubwa wa wanajamii kutafuta waharifu Ijumaa usiku...
  5. BARD AI

    Watanzania 5 waripotiwa kufariki kwenye ajali ya Moto Afrika Kusini

    Watu wasiopungua 70 wamepoteza maisha na wengine 52 wamejeruhiwa kufuatia moto uliozuka katika jengo la ghorofa tano katikati ya mji wa Johannesberg nchini Afrika Kusini. Moto huo umetokea katika jengo lililopo katika eneo lenye shughuli nyingi za kibiashara la jiji hilo kubwa la Johannesburg...
  6. Teknocrat

    Moto kwenye jengo la wahamiaji Johannesburg

    Kumetokea moto katika jiji la Johannesburg kwenye jengo linalotumika na wakaazi na idadi kubwa ya wahamiaji, na kuua watu 74 ambapo kuna uwezekano wa ndugu zetu wa Tanzania. Pia huwa wanajibanza haya majengo ni maarufu kwa wahamiaji kwa sababu, wengi huwa hawalipi kodi kuishi au kulipa kodi...
  7. TODAYS

    Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

    Mkombe Luxury siijui hii kampuni ilikotokea ila nimeona tangazo lao kuanzia tarehe 20 mwezi huu wa May chombo inaanza kukata 4000 kilometers. Na njia itayopita ni kwenye nchi za Botswana, Msumbiji, Zimbabwe, Malawi na Zambia kupitia mpaka wa Tunduma na kuishia jijini Dar Es Salaam. Nauli yao...
  8. GENTAMYCINE

    Kama Rais wa Kenya Ruto aliikuta Kenya ina Deni Kubwa kutoka Nairobi hadi Johannesburg wa Jirani alikuta Deni la wapi na wapi?

    "Kwa Miezi hii Mitano tu nimefanikiwa Kupambana na Uchumi wa Kenya kwani Serikali iliyopita imetuachia Deni Kubwa la Urefu wa kutoka hapa Nairobi hadi Johannesburg" amesema Rais wa Kenya Ruto. Chanzo Taarifa: Radio One Nipashe GENTAMYCINE sijashangaa sana kwani kuna Rais wa nchi moja (...
  9. Root root AE

    Niende Capetown, Pretoria au Johannesburg?

    Wakuu heshima zenu. Moja kwa moja kwenye mada husika. Nataka kwenda South Africa kujaribu bahati yangu huko pia,maana uwanja wa nyumbani naona maji yananizidi kina kila uchwao...simaanishi kwamba nimejaribu kila kitu hapa nyumbani bongo "hapana" ,ila kuna baadhi ya vitu ambavyo huwa wanaume...
  10. N

    World travel awards name Nairobi as Africa's leading business travel destination ahead of Lagos, Cairo, Johannesburg

    VICTOR OLUWOLE October 25, 2021 3:57 PM World Travel Awards – the leading authority that recognises and rewards excellence in travel and tourism – has named Nairobi the continent’s leading business travel destination during the 2021 Africa and Indian Ocean World Travel Awards. An aerial...
  11. Africaboy

    Dar es Salaam ni miongoni mwa majiji muhimu na ya kuvutia sana Afrika nzima

    Katika episode hii ambayo imeangazia 'MEGA CITIES' ama ukipenda majiji ambayo yako developed na yenye mvuto. Jiji la Dar ni miongoni mwa majiji haya 7. itazame video yenyewe unipee maoni yako. DISCLAIMER: Maelezo yamefanywa kwa lugha ya Kiingereza 👇 The Most Beautiful & Developed African mega...
  12. Tanzanianiano

    Usafiri wa Basi from Dar es Salaam to Johannesburg

    Habari wanaJF, Nipo na plan ya kusafiri Dar -Jo'burg kwa bus. Naomba msaada kufahamu yafuatayo: Safari inachukua siku ngapi? Route ipi ni the best kati ya kupitia Lusaka au lilongwe? Nauli ni bei gani, kampuni ipi ya mabasi ipo vizuri? Na kingine chochote cha kuzingatia kwenye safari.
Back
Top Bottom