Ilikuwa ni kawaida ya kila baada ya wiki mbili wanaita press, mwigulu na genge lake la tamisemi wakijimwambafai kuwa kila senti itaenda kunakostahili na wakasema kuwa kila baada ya wiki mbili watakuwa wanatupa mrejesho wa mapato na matumizi ya tozo za miamala ya simu.
Mbona kimya tena hatusikii...
China ndio taifa linalofaidi pakubwa kwa Urusi kwa hili anguko la Urusi, ila pia nao wameanza kuathirika, benki kubwa ya Urusi imesitisha haitofanya miamala inayohusu hela ya Uchina....
Na pia inapata tabu kutumia hela ya India
==================
June 8 (Reuters) - Russian lender Sberbank...
Mwezi wa Saba serikali iliweka tozo kwenye miamala ya simu na kukawa na lawama nyingi sana huku wengi wakiamini wananchi wangeacha kutumia huduma hiyo ya kutoa na kupokea fedha.
Hata hivyo kwa kutumia takwimu inaoneshwa wananchi walisusa kidogo halafu hali imerudi kama kawaida watu wameanza...
Nimejikusanya kiasi cha kupata laki nane, kazi kibarua (dayworker) kwa sasa nimeona kujiajiri ni vena Sana.
Sasa nauliza je kwa ongezeko kubwa la vibanda vya mobile money je itafaa kupambana hapo kukuza mtaji Kama kujiajiri.
Je, laki nane ikizunguka vizuri inaweza toa faida Bei gani kwa...
Bunge liko Dodoma tayari kujadili kama sio kupitisha mapendekezo ya budget za wizara mbalimbali.
Kwa mwaka wa fedha 2021/2022 tuliona bunge likichukua mapendekezo ya Zungu kuweka tozo kwenye miamala ya simu ili kugharamia ujenzi wa zahanati, je mwaka huu wa fedha 2022/2023 tutegemee tozo...
Serikali imeeleza kuwa ongezeko la matumizi ya miamla ya fedha kwa njia ya simu imewapa wazo la kutunga sheria kutambua njia hizo zitambulike ikiwezekana kwa kuangalia uchumi wa mtu na itumike kama dhamana wakati wa kukopa benki.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape...
Kusaidiana ni njia mojawapo ya Kudumisha Upendo Baina yetu sisi na watu wengine ikiwemo ndugu zetu, jamaa na Marafiki.
Kukua na kuongezea kwa matumizi ya Huduma za Kifedha kwa njia ya simu imesaidia na kurahisisha kwa kiwango Kikubwa sana ndugu, jamaa na marafiki kutumiana fedha pindi...
Ni suala ambalo watanzania bado linawaumiza kichwa maana kwa tozo tunazokamuliwa alafu tukaambiwa na Ummy Mwalimu kuwa tozo zinatumika kujenga madarasa, zahanati vituo vya afya na kununua vifaa tiba.
Ghafla bin vuu tukasikia ili kukabiliana na uhaba wa madarasa mkopo wa Uviko upatao tril 1.3...
Naombeni uzoefu jamani..hizi laini za uwakala wa miamala ya simu unaweza kutumia muda gani kuipata baada ya kuwa umeshapeleka vile viambatanisho wanavyovitaka mfano leseni ya biashara, TIN namba na namba ya nida?
.....Naomba kuwasilisha.
Hii ndo maana sahihi ya Muongoza njia. Hatimaye Serikali ya Ghana imemuiga Mama asiye na maneno mengi bali matendo mengi, asiye na mbwembwe za kujitangaza hovyo na promo za kijinga anayependa vitu kwenda kwa usahihi na kupata matokeo sahihi, Si mwingine ni Rais Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan...
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tozo za miamala ziliwekwa na serikali katika bajeti ya serikali ya mwaka 2021/2022 ili kuwezesha ujenzi wa madarasa nchini.
Hivi karibu Serikali imepata fedha kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) ambazo zimetangazwa kutumika kujenga vituo na...
Kenyans voice fury over fuel price hikes
Kenyans voiced fury on Thursday at a jump in fuel prices, which threaten to pile on the misery for a population already suffering economic hardship because of the Covid-19 pandemic.
Fuel prices are now at record levels after the country's energy...
Uhaba wa walimu kimekuwa kilio kikubwa na hatimaye kimegeuka wimbo wa taifa unaoimbwa kila kukicha.
Juzi kwenye taarifa ya habari tumesikia mkoa wa geita ukilalamikia ukosefu wa walimu wa masomo ya sayansi. Ukienda shinyanga kilio ni hicho hicho, tabora kilio hicho hicho, ukienda kusini huko...
Serikali ya Tanzania imesema watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha.
Hayo yamesemwa leo Septemba mosi, 2021 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba katika mkutano wake na wanahabari akibainisha kuwa lengo ni...
Toka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa.
Hakuna tarafa yoyote nchi nzima ambayo haitakuwa na kituo cha afya kwasasa. Kodi yetu imeleta matokeo, Watanzania...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesaini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya kutuma na kutoa Fedha na kupunguza viwango vya tozo kwa 30%
Pia Serikali imejadiliana na watoa huduma za simu ambao nao wameridhia kupunguza viwango vya tozo wanazotoza kati ya mtandao na mtandao mwingine kwa...
Tozo la miamala limepitishwa na bunge, kwa unyonge tunaishi nalo. Kero ikiyopo ni ucheleweshwaji wa miamala mpaka wakate tozo lao.
Wengi tunatumia njia mbadala kutuma pesa ingawa zina usumbufu katika muda na usalama. Juzi nimepata dharura ilibidi nirushe pesa iwafikie walengwa. Mpaka leo...
TOZO YA MIAMALA na KODI YA MAJENGO.
Mwigulu Ayaone haya:
1. Wasamaria wema wamemuokota aliyegongwa na gari barabarani. Wakamkimbiza hospitali. Daktari anataka laki tatu kumtibu. Linaundwa group kuchangisha. Serikali inakata tozo badala ya kulipia matibabu ya raia wake!
2. Wawili wamependana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.