Takwimu za tozo za miamala mbona hatupewi tena kulikoni

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,303
29,864
Ilikuwa ni kawaida ya kila baada ya wiki mbili wanaita press, mwigulu na genge lake la tamisemi wakijimwambafai kuwa kila senti itaenda kunakostahili na wakasema kuwa kila baada ya wiki mbili watakuwa wanatupa mrejesho wa mapato na matumizi ya tozo za miamala ya simu.

Mbona kimya tena hatusikii chochote au ndolinapigwa panga la maana wakisubiri CAG alambishwe asala asije vumbua madudu siku ikifika. Hii Serikali bhana kila kitu kinaishia nusu nusu tu. Tahadhari za kovidi kumi na tisa zilikuja kwa vitisho lakini sijui imeyeyukia wapi ilihali ummy anasema korona ipo bado, standard gauge iki wapi tena simlisema kabla ya April mwaka huu, lile bwawa la rufiji mbona hamtupi mrejesho kulikoni, Royal tour mumeshamaliza kuhamasisha mbona Hao wazungu hatuwaoni na mabegi yao KIA.

Mama acha dharau basi na maisha ya watu itakughalimu bora uwe mkweli tu kuliko kuleta ngonjera kila siku. Unaingiza mikataba ya kihuni kila siku, unaweka matapeli tupu kwenye kila wizara ili umege asali vizuri bila kurupushani ya kung'atwa na nyuki au vipi. Sawa kuleni rasilimali za watanzania ila tamaa mbele Mauti nyuma. Sisi tutakula shubiri nyinyi lambeni asali lakini upepo wenye vumbi utakuja hata kufumbua jicho hutaweza tena forever. Tubu kwa muumba wako, mwambie upo Tayari kuacha dhuruma, tamaa ya madaraka na maisha ya utapeli nae Mungu atakusamehe wewe na uzao wako.
 
ukiona manyoa jua kashaliwa
 
Back
Top Bottom