Benki kubwa ya Urusi yasitisha miamala ya hela ya China - hali mbaya

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,863
48,960
China ndio taifa linalofaidi pakubwa kwa Urusi kwa hili anguko la Urusi, ila pia nao wameanza kuathirika, benki kubwa ya Urusi imesitisha haitofanya miamala inayohusu hela ya Uchina....
Na pia inapata tabu kutumia hela ya India

==================

June 8 (Reuters) - Russian lender Sberbank (SBER.MM) suspended settlements in yuan for corporate clients from June 7, the bank said on Wednesday.

"Currently, the bank is working with Chinese partners on solving the situation and renewal of the settlements," a company spokesperson said.

It was not immediately clear what lead to the stoppage of the operations in the Chinese currency.

According to several sources, Sberbank also has had difficulties in processing payments in Indian rupees as well.
 
Hiyo ni vita ya kifedha kati ya Urusi ,China na India

Mrusi anataka alipwe kwa pesa yake yaani Ruble tu.China na India na wao wamegeuza kibao nao wanataka walipwe kwa pesa zao yaani mrusi akinunua chochote India au China anatakiwa awalipe kwa pesa za nchi zao yaani rupees za India na Yuan za china

Sasa kivumbi kinakuja Mrusi yeye ana ubinafsi anataka pesa yake pekee ndio iwe medium of exchange anataka India na China lazima wakubali hilo. Wamemgomea

Sasa mrusi anaona akipata hiyo mipesa mi Yuan na mi Rupia ya kihindi hawezi itumia sana ni kujaza mikaratasi takataka kwenye maghala ya benki

Kifupi China na India wamemkomalia Mrusi kuwa ukitaka tukulipe kwa Ruble na wewe utulipe kwa pesa zetu
 
Hebu acha upotoshaji,unalipwa shilling ngapi?. Hebu soma hii paragraph.⇓

Currently, the bank is working with Chinese partners on solving the situation and renewal of the settlements," a company spokesperson said.

Kama huwezi kiingereza, omba msaada.
Ha ha ha!! Ona mnavyojiliwaza, sasa hapo umesahihisha nini haswa kwa kusema benki wanashirikiana na China kurekebisha, hayo ni matamko ya kidiplomasia tu, ila sote tunaona kinachotendeka.
Urusi wenu anaendelea kuangukia pua.
 
Hiyo ni vita ya kifedha kati ya Urusi ,China na India

Mrusi anataka alipwe kwa pesa yake yaani Ruble tu.China na India na wao wamegeuka kibao nao wanataka walipwe kwa pesa zao yaani mrusi ukinunua chochote India au China anatakiwa awalipe kwa pesa za nchi zao yaani rupees za India na Yuan za china

Sasa kivumbi kinakuja Mrusi yeye ans binafsi anataka pesa yake pekee ndio iwe medium of exchange anataka India na China lazima wakubali hilo. Wamemgomea

Sasa mrusi anaona akipata hiyo mipesa mi Yuan na mi Rupia ya kihindi hawezi itumia sana ni kujaza mikaratasi takataka kwenye maghala ya benki

Kifupi China na India wamemkomalia Mrusi kuwa ukitaka tukulipe kwa Ruble na wewe utulipe kwa pesa zetu
... na hapo ndipo USD na Euro zinapo-resolve tatizo na kujitwalia heshima duniani kama standard of financial exchange.

Anyway, waanzishe fedha ya mataifa hayo matatu baina yao au ya BRICS wakitaka. Hao watu ni wabinafsi sana.
 
Yes, ku resolve waanzishe sarafu moja ya hayo mataifa matatu yaani Urusi,China na India lakini kama mrusi anataka kuendelea kukomaa kuwa Ruble yake ndiyo iwe pesa pekee ya kulipana kibiashara India na Chins hawawezi kukubali
 
Hebu acha upotoshaji,unalipwa shilling ngapi?. Hebu soma hii paragraph.⇓

Currently, the bank is working with Chinese partners on solving the situation and renewal of the settlements," a company spokesperson said.

Kama huwezi kiingereza, omba msaada.
Duuu kumbe na wewe umeshindwa kujua kilichoandikwa kumbe!
Kwa tafsiri isiyo rasmi ni
"Hapo awali bank ilikuwa inafanya kazi Kwa ushirikiano na China kwajili ya kutatua Hali ilivyo na kufanya upya uwekezaji" msemaji WA kampuni alisema....
Hayo yalikuwa mazungumzo akieleza wakati uliopita jinsi bank ilivyokuwa inashirikiana na China Ila Kwasasa hakuna tena miamala inayofanyika wala uwekezaji haupo tena ndiyo maana kilakitu kimesimama na kusitishwa.
 
Mtoa mada ni Futuhi wakukurupuka
images (2).jpeg
 
BEIJING (AP) — China’s credit card processor has refused to work with banks in Russia for fear of being targeted by sanctions over its war on Ukraine, cutting off a possible alternative after Visa and Mastercard stopped serving them, according to the Russian news outlet RBC.

UnionPay’s decision affects Sberbank, Russia’s biggest commercial bank, and smaller institutions, RBC reported Wednesday. It cited five unidentified sources in large Russian banks.

Mastercard and Visa suspended operations in Russia after the United States and other governments imposed trade and financial sanctions on President Vladimir Putin’s government for its attack on Ukraine.

Sberbank and another institution, Tinkoff Bank, announced they were looking at switching to UnionPay, which is operated by Chinese state-owned banks. UnionPay is one of the biggest global payments processors but does almost all its business in China.

American officials have warned that governments or companies that try to undermine sanctions will face consequences. RBC said UnionPay wanted to avoid such “secondary sanctions.”

Chinese President Xi Jinping’s government has called Russia its “most important strategic partner” and criticized sanctions on Moscow. But Chinese companies and banks appear to be complying with trade and financial restrictions.

Other banks cited by RBC include Alfa Bank, VTB, Otkrytie and Promsvyazbank.
 
Hebu acha upotoshaji,unalipwa shilling ngapi?. Hebu soma hii paragraph.⇓

Currently, the bank is working with Chinese partners on solving the situation and renewal of the settlements," a company spokesperson said.

Kama huwezi kiingereza, omba msaada.
Mkuu wewe unaejua kiingereza unatakiwa ufahamu kwamba hiyo ni hali ya kutapatapa kwa hiyo bank, lakini hiyo renewal settlements tayari ni pigo jengine kwa hizo nchi., elewa vikwazo vya magharibi ni hatari kwa nchi iitwayo Russia tutegemee anguko kubwa zaidi la urusi baada ya miaka kadhaa.
 
EXCLUSIVE -India Potash's rouble-rupee payment deal stumbles in Russian bank​

Logo Nasdaq
Nasdaq
By Reuters

By Nidhi Verma and Aftab Ahmed

NEW DELHI, June 6 (Reuters) - Russia's Sberbank SBER.MM has yet to process the first payment from Indian Potash Ltd (IPL) under a deal set up before the Ukraine war to enable IPL to pay for Belarusian potash using rupees rather than dollars, according to a letter seen by Reuters and two sources familiar with the issue.

The faltering pre-war payment deal bodes ill for India's plan to create rupee-rouble trade mechanisms that can bypass dollar and euro payments to avoid U.S. and Western sanctions imposed after Moscow's Feb. 24 invasion of Ukraine.

IPL set up a rupee account with Sberbank's New Delhi branch in early February at the request of Belarusian Potash Company (BPC), as Belarus faced steadily tougher U.S. sanctions since a 2020 election Washington called fraudulent. Minsk disputes this.
State-owned BPC was targeted by U.S. sanctions in December.

IPL made its first payment of 1.77 billion Indian rupees ($23 million) to the Sberbank branch in India after setting up an account, according to an IPL letter addressed to the chief executive of Sberbank in India, Ivan Nosov, and seen by Reuters.

The letter, dated May 23, said only a “negligible” amount of rupees had been converted to roubles to pay BPC and said IPL could not wait indefinitely for the transaction to be processed.

It said that, if the bank confirmed it could not complete the transaction, “we are afraid, we will call back our funds.”

IPL said in the letter it wanted a response from the Russian bank within two days of the letter being sent.

“But Sberbank has not yet responded,” one of the sources, speaking to Reuters on condition of anonymity, said on Monday, June 6.

Sberbank declined to comment. IPL and India’s finance and fertilizer ministries did not respond to Reuters requests for comment. BPC was not immediately available for comment.

The second source said sanctions imposed on Russia after its invasion of Ukraine had hindered processing of the IPL payment. “That made it difficult to settle payment in roubles as Russian banks were barred from using SWIFT mechanism,” the source said.

Since the invasion, India and Russia have discussed setting up a rupee-rouble payment mechanism to smooth trade, including a proposal for Russian banks and companies to open accounts with Indian state banks to settle trade deals.
 
BEIJING (AP) — China’s credit card processor has refused to work with banks in Russia for fear of being targeted by sanctions over its war on Ukraine, cutting off a possible alternative after Visa and Mastercard stopped serving them, according to the Russian news outlet RBC.

UnionPay’s decision affects Sberbank, Russia’s biggest commercial bank, and smaller institutions, RBC reported Wednesday. It cited five unidentified sources in large Russian banks.

Mastercard and Visa suspended operations in Russia after the United States and other governments imposed trade and financial sanctions on President Vladimir Putin’s government for its attack on Ukraine.

Sberbank and another institution, Tinkoff Bank, announced they were looking at switching to UnionPay, which is operated by Chinese state-owned banks. UnionPay is one of the biggest global payments processors but does almost all its business in China.

American officials have warned that governments or companies that try to undermine sanctions will face consequences. RBC said UnionPay wanted to avoid such “secondary sanctions.”

Chinese President Xi Jinping’s government has called Russia its “most important strategic partner” and criticized sanctions on Moscow. But Chinese companies and banks appear to be complying with trade and financial restrictions.

Other banks cited by RBC include Alfa Bank, VTB, Otkrytie and Promsvyazbank.
Bora umefafanua juu ya upotoshoji Kwa baadhi ya wachangiaji sidhani kama kuna debates zingine zitaendelea
 
Hebu acha upotoshaji,unalipwa shilling ngapi?. Hebu soma hii paragraph.⇓

Currently, the bank is working with Chinese partners on solving the situation and renewal of the settlements," a company spokesperson said.

Kama huwezi kiingereza, omba msaada.

Sasa wewe hapa ndiyo umeonyesha kuelewa kiingereza?
 
China ndio taifa linalofaidi pakubwa kwa Urusi kwa hili anguko la Urusi, ila pia nao wameanza kuathirika, benki kubwa ya Urusi imesitisha haitofanya miamala inayohusu hela ya Uchina....
Na pia inapata tabu kutumia hela ya India

==================

June 8 (Reuters) - Russian lender Sberbank (SBER.MM) suspended settlements in yuan for corporate clients from June 7, the bank said on Wednesday.

"Currently, the bank is working with Chinese partners on solving the situation and renewal of the settlements," a company spokesperson said.

It was not immediately clear what lead to the stoppage of the operations in the Chinese currency.

According to several sources, Sberbank also has had difficulties in processing payments in Indian rupees as well.
Kitu kitakacho tokea sasa ni urusi kuwa tajiri maana watalazimika kununua mafuta na gesi kwa kutumia dhahabu
 
Mpaka uwe Super power lazima uwe na ushawishi mkubwa sana, technology na wadau wenye pesa kama america na ndugu zake wazungu wa ulaya kama alivyo sasa, hata huyo mchina akizuiwa asiuze kwy soko la ulaya anaanza kutapa tapa tuuuu

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
China ndio taifa linalofaidi pakubwa kwa Urusi kwa hili anguko la Urusi, ila pia nao wameanza kuathirika, benki kubwa ya Urusi imesitisha haitofanya miamala inayohusu hela ya Uchina....
Na pia inapata tabu kutumia hela ya India

==================

June 8 (Reuters) - Russian lender Sberbank (SBER.MM) suspended settlements in yuan for corporate clients from June 7, the bank said on Wednesday.

"Currently, the bank is working with Chinese partners on solving the situation and renewal of the settlements," a company spokesperson said.

It was not immediately clear what lead to the stoppage of the operations in the Chinese currency.

According to several sources, Sberbank also has had difficulties in processing payments in Indian rupees as well.
Wewe jamaa kwa fake news tu haujambo!
 
Back
Top Bottom