Kama unatumia GB WhatsApp soma hapa

lui03152

JF-Expert Member
Nov 27, 2020
250
338
Kampuni ya META kupitia mtandao wao wa WhatsApp, wameanza operation maalum ya kuzipiga Ban number zote zilizosajiliwa kwenye WhatsApp GB.

Mwanzoni kampuni ya WhatsApp ilikuwa inawapiga Ban watumiaji wa GB WHATSAPP kwa muda wa saa moja au zaidi, lakini bado watu wengi hawakuona umuhimu wa kuachana na hizo WhatsApp fake.

Hivyo basi kuanzia mwezi huu mwanzoni hadi kufikia December mosi, Wale wote ambao wanatumia WhatsApp GB namba zao zitapigwa Ban na hawataweza kuzisajili popote hata kama ata download WhatsApp original.

Na kama hii haitoshi, na wale ambao hawaja Update WhatsApp yao ili kuupata muonekano mpya walioutoa sasa, kuanzia December mosi hawataweza kutumia WhatsApp hadi watakapo update. Hii itawalazimisha wale ambao hawapendi muonekano mpya wa status ulivyowekwa kutumia kwa lazima.

Hivyo basi, kama unataka usalama wa akaunti yako ya WhatsApp basi ni vema uka Update kama unatumia original au ukaifuta GB WHATSAPP na uka download WhatsApp original kupitia Play Store.

Wapo wengi walioanza kukumbana na kadhia hii.. Epuka isikukute .

Source: Mtandao
 
GB whatsapp nao wanajua watulinde vipi watumiaji wake

ile team yao ni hatari na nusu unaweza hisi ni wafanyakazi wa Official Whatsapp.

November 29 nategemea Updates za GB whatsapp ambazo zitaniwezesha kutopgwa BAN. hatoki mtu GB whatsapp huko utumwani bakini wenyewe.

Mtu anakutumia msg na ana uwezo wa kuifuta, ndio manini hayo simu yangu mtu mwingine ana i control..mpka nipigwe BAN ndio ntaachana na Gb.
 
Nakushauri tu fanya backup ya taarifa zako muhimu maana unaweza kuzikosa....
 
IMG_20231127_112247.jpg

Meta yatangaza banning kwa wateja wao wote wanatumia Whatsup GB.

Uamuzi huu umefikiwa baada ya complaints nyingi kuhusu Accont hizo
 
GB whatsapp nao wanajua watulinde vipi watumiaji wake

ile team yao ni hatari na nusu unaweza hisi ni wafanyakazi wa Official Whatsapp.

November 29 nategemea Updates za GB whatsapp ambazo zitaniwezesha kutopgwa BAN. hatoki mtu GB whatsapp huko utumwani bakini wenyewe.

Mtu anakutumia msg na ana uwezo wa kuifuta, ndio manini hayo simu yangu mtu mwingine ana i control..mpka nipigwe BAN ndio ntaachana na Gb.
Hata mie nina imani hiyo kwamba watakuja kivingine
 
Na kama namba yako ikilipotiwa na watu kwenye whatsapp tambua mpaka simu inakula ban kwenye whatsapp.ishatokea kwenye simu ya iphone ilipigwa ban
 
Back
Top Bottom