RC Chalamila chunga mdomo ni huruma tu imekuweka hapo

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,468
11,184
Hello JF,

Natuma salamu na onyo kali na tahadhari kali na ya uhakika kwa RC wa DSM Chalamila chunga mdomo ni kawaida baada ya haya majigambo December hutafika, ukiwa kwenye nafasi hio hapo ulipo maisha ni zaidi ya hayo.

Hata nyegere huchokoza kibwege ndio aweze kupata mlo, nyuki wakali lakini nyegere awapapasa na kuwala nyuki wakali na asali yao.

DSM ni mkoa unaohusudiwa na sasa haina shaka Chalamila aanza kuvembewa.

Wakati ukuta.

Inshallah 🙏🙏🙏

Wabillah Tawfiq
 
Sheria zetu mbovu sana, yaani huyo jamaa mwenye domo kubwa na chafu asingekuwa kwenye nafasi hiyo mpaka saa hizi
Kwa jinsi anavyoongea I swear siwezi kuongea hata na wonangu hivyo let alone watu baki

Aisee acha kiburi hayo majukumu yanataka hekma na utulivu na sio papara, kejeli na vitisho

Wamepita wwngapi wenye kibri na wakazikwa na kisahaulika na kubaki historia tu

Waombe radhi
 
Hello JF,

Natuma salamu na onyo kali na tahadhari kali na ya uhakika kwa RC wa DSM Chalamila chunga mdomo ni kawaida baada ya haya majigambo December hutafika, ukiwa kwenye nafasi hio hapo ulipo maisha ni zaidi ya hayo.

Hata nyegere huchokoza kibwege ndio aweze kupata mlo, nyuki wakali lakini nyegere awapapasa na kuwala nyuki wakali na asali yao.

DSM ni mkoa unaohusudiwa na sasa haina shaka Chalamila aanza kuvembewa.

Wakati ukuta.

Inshallah

Wabillah Tawfiq
Nilimsikiliza zaidi ya mara mbili., ila nikagundua siyo yeye ni ulevi tu na shibe. Kiongozi mwenye busara na hekima hawez kuongea vile as if anaongea na mbwa wake. Wawe wanafikiri kwanza kabla yakuongea, maana wapo hapo kwa mda tu nasiyo milele.
 
Tuwekeeni hayo maneno basi mbona mnataka kuifanya jf kuwa sawa na chama fulani cha siasa kilichomkasirikia msanii diamond!!!
 
Anatakiwa Awe na lahaja ya ulimi, alafu sometime hata mjinga akikaa kimya ataonekana anabusara.
 
Hello JF,

Natuma salamu na onyo kali na tahadhari kali na ya uhakika kwa RC wa DSM Chalamila chunga mdomo ni kawaida baada ya haya majigambo December hutafika, ukiwa kwenye nafasi hio hapo ulipo maisha ni zaidi ya hayo.

Hata nyegere huchokoza kibwege ndio aweze kupata mlo, nyuki wakali lakini nyegere awapapasa na kuwala nyuki wakali na asali yao.

DSM ni mkoa unaohusudiwa na sasa haina shaka Chalamila aanza kuvembewa.

Wakati ukuta.

Inshallah 🙏🙏🙏

Wabillah Tawfiq
Kumekucha, wewe lazima utakuwa dalali wa soko la Mahakama ya Ndizi.
 
Nilimsikiliza zaidi ya mara mbili., ila nikagundua siyo yeye ni ulevi tu na shibe. Kiongozi mwenye busara na hekima hawez kuongea vile as if anaongea na mbwa wake. Wawe wanafikiri kwanza kabla yakuongea, maana wapo hapo kwa mda tu nasiyo milele.
Wengine hatukumsikia, alisemaje?
 
Kwanza alikuwa muhuni tu kule Bongo, Msasani... alikuwa Kocha wa mpira chunguzeni historia yake vyema... tuna vijana tele smart vichwani wanahangaika mitaani. Kweli bongo ushindwe wewe tu kulamba asali 😔
 
Back
Top Bottom